china

  1. DENG XIAOPING

    JamiiForums Tanzania Ndege za kivita za China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja

    -Ndege za kivita za china na urusi zilifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya Japan na bahari ya china mashariki siku ya jumanne ya tarehe 24 May 2022 wakati viongozi wa “Quad”walipokutana Tokyo, waziri wa ulinzi wa Japan alisema. - Nobuo kishi alisema Tokyo imeeleza “wasiwasi mkubwa” kwa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China yaanza mazoezi ya kijeshi kuzunguka Taiwan ili kutoa onyo kwa Marekani

    China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan. China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kenya Itaanza kusafirisha Maparachichi yake Nchini China Mwaka huu

    Kenya Itaanza kusafirisha Maparachichi Yake Nchini China Mwaka Huu Na Tom Wanjala Halmashauri ya Kilimo na Chakula nchini Kenya imefanya mabadiliko kwenye matakwa ya maparachichi ya kuuzwa nje ya nchi ili kufikia viwango vya kimataifa vinavyohitajika. Baadhi ya masuala ambayo wakulima wa zao...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yazindua mfuko wa maendeleo kusaidia jamii nchini Sierra Leone

    Kampuni moja ya uchimbaji madini ya China jana ilitangaza kuzindua mfuko wa maendeleo ya kijamii ili kusaidia kuhimiza maendeleo ya jamii nchini Sierra Leone. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na kampuni ya Leone Rock Metal, kampuni hiyo itachukua asilimia 1 ya mapato yake ya kila mwaka kwenye...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alikutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu Bibi Michelle Bachelet mjini Guangzhou, China. Wang Yi amemkaribisha Bachelet kwa ziara yake ya kwanza nchini China, akisema hii ni mara ya kwanza kwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa China atoa mwito wa kuboresha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia

    Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Dai Bing jana alitoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kuimarisha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia wakati nchi hiyo ikifanikisha uchaguzi wa rais na wabunge. Bw. Dai Bing amesema China inatarajia kuwa Somalia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yamtishia China: Eti Marekani itaipigania Taiwan kama China ikitaka kuichukua kwa nguvu

    Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu wa kujiingiza vitani na taifa lolote lenye nguvu ya nyuklia kama China!! Kwa asili Marekani ni...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China yatoa takwimu mpya za viumbe anuai

    China imetoa takwimu mpya za kitaifa za spishi za viumbeanuai, ijulikanayo kama Katalogi ya Orodha ya Mwaka 2022 ya Viumbe hai vya China. Kwa mujibu wa Taasisi ya Sayansi ya China (CAS), orodha ya mwaka huu imeongeza spishi 10,343 ikilinganishwa na ya mwaka jana, na kufanya jumla ya spishi kuwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama haya huyajui, hata tweets za Martin Maranja Masese kuhusu China Civil Engineering Company na kumuhusu Waziri wako Mwigulu huzioni?

    Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu. Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa. Baadhi ya tweets...
  10. Einsten

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China

    Habari za muda wakuu, Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China na South Korea maana kuna chimbo nimepata ya kupata Refurbished phones kwa bei kitonga sana ila nmejaribu kuwasiliana na ARAMEX wameniambia wao hawaSHIP vitu vyenye battery kutoka china na korea labda USA (usa gharama). Maana...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bidhaa za Afrika kwa njia ya mtandao wa Internet kupanua mauzo ya bidhaa za Afrika nchini China

    Fadhili Mpunji Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
  12. ward41

    JamiiForums Tanzania Sehemu kubwa ya pesa inaenda USA na simu ni kampuni ya China

    Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA. Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA...
  13. ward41

    JamiiForums Tanzania The wright brothers

    Ndege ya kwanza kupaa angani na marubani wa kwanza kurusha chombo hicho. Hiyo ilikuwa 1903 pitty hawk Marekani. Beberu katika ubora wake
  14. ward41

    JamiiForums Tanzania Wa Russia, Uingereza, China, Arab, German, Hindi, Afrika wote wanatamani kuishi USA

    Hata pro Russia, China wote wanatamani kuishi USA. Kwa hiyo tusidanganyane. Beberu USA ataendelea kututawala tu
  15. DENG XIAOPING

    JamiiForums Tanzania China wameweza kutengeneza jua la bandia [artificial sun]

    - Wanasayansi wa China wemeweza kutengeneza jua la bandia kwa ajili ya kuuzalisha umeme.picha[emoji116] - Jua la bandia [ Artificial Sun ] hiki Ni kinu cha kuzalisha umeme kinachofanya kazi kwa nguvu ya nuklia[nuclear fusion]. - Mfumo wa ufanyaji kazi wake ni katika mfumo wa nuclear fusion...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa China ukweli ambao wengi hawaujui

    Watanzania wengi ambao ni wavivu wa kutafuta maarifa, huiongelea sana China kama nchi iliyofanikiwa sana kiuchumi, kwa wao kujifungia na kwa kutegemea ubunifu wao na mitaji yao. Wengine wanaenda mbali zaidi, na kushauri Tanzania ifuate mfano wa China. Kwa wale wasiojua, wafahamu yafuatayo: 1)...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wakinga wamejazana mno mji wa Guangzhou nchini China, wengine hawana muamko au wameridhika ?

    Yani unaambiwa huko Guang zhou wakinga wamejazana si mchezo aisee, wapo ambao ndugu zao wana maduka kariakoo, huwa wanapelekwa huko ili kusaka machimbo ya bidhaa na kuzisafirisha. wapo ambao familia zao hazina biashara ama zinataka kupanuka, kinachofanyika wanamchangia hela ya vibali na nauli...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yaendelea kukumbuka na kuenzi mchango mkubwa unaotolewa na timu za madaktari wa China

    Ikiwa dunia inaadhimisha siku ya Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali nyekundu kila ifikapo Mei 8, nchi mbalimbali hasa hza Afrika zitaendelea kukumbuka na kuenzi mchango mkubwa unaotolewa na timu za madaktari wa China katika barani humo, ambao wamekuwa mstari wa mbele kupambana na...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China yaadhimisha Siku ya Vijana Kitaifa ya Mei 4 ikiweka kipaumbele zaidi kwa vijana

    Vijana ni hazina na nguzo muhimu inayotegemewa na taifa lolote lile duniani. Nchi inapaswa kuweka kipaumbele na kutoa fursa kwa vijana ili waweze kuonesha uwezo wao wa kulitumikia taifa. Tangu enzi na dahari inajulikana kuwa vijana ndio chachu ya uzalishaji, ulinzi wa taifa, siasa, ubunifu na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Uzalendo na moyo wa kuchapa kazi ndio sifa kubwa ya vijana wa China

    Wakati wachina wanaadhimisha siku ya taifa ya vijana, vijana kutoka nchi za Afrika ambao wamekuwa wakiishi China na kufanya kazi pamoja nao, wamekuwa wakitoa maoni mbalimbali kuhusu wanavyowaona wenzao wachina. Maoni ya vijana wengi kutoka Afrika kuhusu vijana wa China yanafanana, na karibu kila...
Back
Top Bottom