The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,983
- 21,573
Guys
Kwa ambao huwa.hamfuatilii mambo ya kisiasa kiufupi Russia ni mpuuzi tu mbwa asiyekuwa na meno.
Russia kashawaingiza wengi mkenge kama South africa, Cuba, Zimbabwe na Venezuela hata hiyo BRICS haina lolote la maana wamekutana wanafiki tupu.
Naomba mfuatilie hali ya maisha ya CUBA kama case study.mshirika mkuu wa russia mtatoa machozi hata Tanzania kujinasibisha na Russia ni kupoteza mda na kujitia katika matatizo zaidi umaskini.
Russia na china hawajawhi kuwa na msaada wowote wa maana kwa yeyote