Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 261
Jeshi la polisi lifanye uchunguzi mapema ,tuwahakikishe usalama wawekezaji.
Suala la mchina aliyeuawa mabibo Dar ni suala ambalo linaweza kuwapa hofu wawekezaji juu ya usalama wao nchini kwetu na kufanya tukose wawekezaji hasa wa nchi kubwa kama china.
Lakini kampuni hizi zisimamiwe kampuni kubwa kama hiyo ilitakiwa iwe na walinzi wanaotambulika sio kulindwa na wamasai.
Soma

Mtu mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Baozhang Ge, Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na Urejeshaji wa Makopo, kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam amekutwa ameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni walinzi wa Kampuni hiyo Morani wa Kimasai, kisha kutomekea kusikojulikana na begi la shilingi milioni 10.
Baadhi ya viongozi waliozungumza na ITV kiwandani hapo wameeleza namna tukio hilo lilivyotokea huku wakiomba vyombo vya usalama kufanya uchunguzi kufuatia mauaji hayo.

- Mafyangula
- auawa raia wa china walinzi
- Replies: 63
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko