china

  1. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kuwa China inazalisha umeme mwingi zaidi ya Marekani, Ulaya na India kwa pamoja?

    China imeongeza sana uzalishaji wa umeme wake tangu mwaka 2014. Katika kipindi cha miaka 10, uzalishaji wa umeme umeongezeka kwa karibu 74%, jambo ambalo ni ongezeko kubwa sana. Mwaka 2014, China ilizalisha takriban 5,795 TWh ya umeme, na tayari ilikuwa mbele ya Marekani. Kufikia mwaka...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Baada ya Trump kuondoka China ,sasa mbabe Putin ameitwa China ili kuchambua yaliyojadiliwa na Jin ping na Trump

  3. H

    JamiiForums Tanzania Pigo Kubwa Kwa Iran: Rais Xin Ping wa China Amesema China na Marekani Zinatakiwa Kuwa Washirika na Siyo Washindani

    Siku zote tunasema kuwa China haiwezi kukubali kuingia uhasama na USA, jambo ambalo linaweza kuathiri uchumi wa China kwa kiasi kikubwa sana. Kwa nchi ya China, kipaumbele chake kikubwa ni uchumi wa China. Nchi ikiwekewa vikwazo, China inawahi haraka ili kujipatia bidhaa kwa bei nafuu isiyo na...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania China Yabadili Jina la Rubio: "Marco Lu" kwa Diplomasia

    👉 China imeonekana kutumia mbinu ya kipekee ya kidiplomasia kwa kubadili jina la Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuwa "Marco Lu" ili kurahisisha safari yake ya kuingia nchini humo. 👉 Hatua hiyo imeibua mjadala mkubwa kimataifa kuhusu namna siasa na diplomasia zinavyoweza kubadilishwa...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Marekani na China ni mkutano wa wanaume tu!

    Tulipotea njia kulazimisha usawa wa jinsia katika uongozi, viti maalumu vya ubunge vifutwe.
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Feminists wana vituko. Au mpaka iwe China au Marekani ?

    Feminist na malalmiko katika mkutano kati ya Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Marekani Donald Trump. Kwa nini hawana wawakilishi ? Je, anayo hoja azingatiwe au apuuzwe ? https://x.com/i/status/2054907301652287954 Huyu feminist ni nani ? Hii hapa biography yake pitia.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Trump nchini China: mambo matatu umefuatilia?

    Trump amewasili. Mei 13, kutokana na mwaliko wa rais Xi Jinping wa China, rais Trump aliwasili Beijing kwa ajili ya ziara ya siku tatu nchini China, ambayo ni ziara ya kwanza ya kiserikali nchini China katyika wa muhula wake wa pili. Katika miaka ya hivi karibuni, uhusiano kati ya China na...
  8. X

    JamiiForums Tanzania China yaiburuza Marekani kwenye vita vya madini muhimu kwenye ulimwengu wa teknolojia

    Kila mara Marekani inaposhindana na China kwenye vita vya kiuchumi na kiteknolojia China inakuwa na karata za ushindi dhidi ya Marekani. Hasa kupitia uwezo wake wa kusafisha na kuchakata (processing/refining) madini muhimu yanayotumika kwenye teknolojia, silaha, magari ya umeme, na vifaa vya...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Donald Trump anatua Beijing, na pamoja na Wakurugenzi Wakuu kuomba "mikataba" na Rais wa China Xi Jinping: hali ya uchumi Marekani ngumu

    Wanaukumbi. Rais wa Marekani Donald Trump anatua Beijing, na pamoja naye analeta Wakurugenzi Wakuu wafuatao kuomba "makubaliano" na Rais wa China Xi Jinping: – Elon Musk, Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla na SpaceX – Jensen Huang, Mkurugenzi Mtendaji wa Nvidia – Tim Cook, Mkurugenzi Mtendaji wa...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Safari ya Trump yaonyesha Marekani inaihitaji sana China

    Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping. Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane. Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO Jensen Huang...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Samsung yaacha kuuza vifaa vyake vyote vya kielektroniki vya nyumbani nchini China

    Kampuni ya Samsung hivi karibuni ilitangaza kuwa itaacha kuuza vifaa vyake vyote vinavyotumika nyumbani nchini China. Chapa ya Samsung ilikuwa alama ya vifaa vya kielektroniki vya nyumbani vya hali ya juu na vyenye ubora wa juu zaidi, lakini sasa imeshindwa kabisa na kampuni za ndani za China...
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Safari ya Trump china kwenda kuomba huruma ya vita

    Je unahisi hapa Raisi Jinping anafikiria nini hapa baada ya kutembelewa na Trump
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Israeli anataka kuzichapa sasa na China

    Nisiongee sana Sababu ni kwamba Waziri Mkuu Netanyahu kapata kisingizio kwamba bila china wangeweza kumaliza vita Iran Wanamshutumu kwamba China wanatoa msaada wa picha za satelite kuonyesha maeneo ya kupiga Wanashutumu kwamba China wanawapa Iran makombora ya hypersonic missile Stay tuned
  14. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

    Dunia yabaki midomo wazi! Hii si mito ni mfereji ya China! Maajabu yanayowashangaza wahandisi wengi Duniani. Mifereji yao ni mikubwa kuliko mito mingi ya asili Afrika. Ukiona utadhani ni bahari zinazopita katikati ya nchi. China mpaka sasa imetumia zaidi ya dola bilioni 10 kujenga mfereji...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Naona vyuma vya China tutaanza kuvizoea sio muda. Ona ili Zeekr 9X SUV!

    Kuna hii plugin-hybrid (engine + kuchaji) full sized SUV Zeekr 9X kitu cha 2025. Engine yake ni 2.0L turbo i4, battery la 55 kWh au 70 kWh, kwa pamoja (full tank + full charge) unaenda kilometa 1,200+ Ni full SUV, kwahiyo kubwa karibia urefu wa mita 5.2, seat arrangement 2:2:2 so ni nzuri kwa...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kijeshi China yahukumu mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi adhabu ya kifo

    Mahakama ya kijeshi nchini China imewapa adhabu ya kifo yenye kusimamishwa kwa miaka miwili mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi, Wei Fenghe na Li Shangfu, kutokana na makosa ya rushwa, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Taarifa za Xinhua News Agency zinasema kuwa hukumu hiyo...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tru.mp aibembeleza china imshauri Iran afungue Horms

    Nilishasema hapa kama Trump angejua ana dili na nani asingepoteza muda kuweka mikwara mingi pasipo suruhisho sasa akili imemkaa na ameamua kwenda china kupiga magoti na kumsihi china amshawishi Iran afungue Horms Ngoja nicheke kwa chini chini kwi kwi kwi kwi kwi......
  19. L

    JamiiForums Tanzania Vita nchini Iran vyaibua swali kuhusu usalama wa nishati duniani, na vinu vya upepo mjini Pingtan vimetoa jibu la China

    Kwenye mapumziko ya siku ya Mei Mosi, kwenye fukwe za Pingtan, mji uliopo kusini mashariki mwa China kulijaa watalii wengi. Vinu vikubwa vya upepo vyeupe vimesambaa kando ya ukanda wa pwani wa kilomita 5, mapangaboi yake makubwa yanazunguka polepole katika upepo. Hata hivyo, wakati watalii hao...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi zitakazonufaika na fursa hii ya soko wazi la China

    china wameamua kuweka soko lao wazi kwa nchi za kiafrika kuingiza bidhaa zao bila ya ushuru (zero tariffs) kuanzia sasa. Pamoja na kuwa bidhaa nyingi kutoka afrika ni mali ghafi. ikiwa ni pamoja na mazao ya kilimo, madini na bidhaa nyinginezo; badala ya kuwa mazao yaliyoongezwa thamani, hatua...
Back
Top Bottom