Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,262
- 21,466
Hivi ni lazima wafanyabiashara wote wakawa wanakimbilia china kufata mizigo yao?
Kwanini wengi hawakimbilii usa au europe kufata bidhaa na kuzileta nchini ilihali jeans saivi ya china dukani unaipata kwa 30k. Na jeans kama levi unaipata kwa kuanzia 40k kuendelea?
Tshirt pia nyingi unazipata kwa 15k-20k zile za china, wakati tshirt kutoka kirkland signature za usa unazipata kwa shs 10,000/=?
Upande wa raba pia unazipata kwa bei ya 45k kuendelea madukani, ila zipo brand kama reebok unazipata mpaka kwa 70k na ni nzuri sana.
Kumekuwa na mkumbo wa wafanyabiashara kuamini bidhaa zote lazima ziendewe china, wakati unaeza kwenda US ukasomba mzigo wa kutosha tena genuine maana huwa pia kunakuwaga na sale.
Na hata katika uagizaji, wengi unakuta anaenda china anaagiza container zima, ila wakijichanga wafanyabiashara wawili au watatu wanaeza kuagiza kontena kutoka US na wakaja kutuuzia vitu genuine kabisa.
Masoko yapo mengi, nadhani wengi wamekariri kuwa china ndio sehemu affordable pekee. Ila lazima pia mtu ukonside na watumiaji wengine ambao wao wanahitaji genuine products na sio bora tu bidhaa.