Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
132,034
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
132,034 2,000
Tunaishukuru awamu ya tano kwa kuileta hii meli
Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza.

Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.Jr
 

Forum statistics

Threads 1,390,954
Members 528,320
Posts 34,067,910
Top