cheti

  1. D

    SoC01 Mikopo ya wanafuzi wa vyuo iwe katika makundi mawili na yaingie kwenye akaunti ya mwanachuo kwa pamoja, pia cheti cha chuo kitumike kama dhamana

    WANAFUZI WA VYUO VYOTE WAPEWE MIKOPO YA AINA MBILI KWA WAKATI MMOJA PIA CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA YA MUHITIMU WA CHUO KUPATA MIKOPO. HABARI WANAJUKWAA WA JAMIIFORUMS, NALETA MADA HII KWENU ILI IJENGEWE HOJA IWEZE KUFIKA MAHALI HUSIKA NA KUFANYIWA KAZI KWA FAIDA KUBWA ZA JAMII NZIMA...
  2. Askari waliopambana na Hamza wapewa zawadi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ametoa zawadi ikiwemo fedha na vyeti kwa maaskari polisi walioshiriki katika tukio la kupambana na Hamza aliyezua taharuki karibu na zilipo ofisi za ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam Agosti 25 mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 20...
  3. Swali muhimu: Hivi mwenye cheti cha VETA analipwa sh. ngapi kwa mwezi?

    Mimi huwa nashangaa baadhi ya watu wakishauri kwamba vijana wetu wasomee VETA wasiende degree, Je mtu akiwa na cheti cha VETA analipwa mshahara sh. ngapi kwa mwezi. 😅😅😅😅😅
  4. Wakazi wa Shinyanga piga namba hizi kama una changamoto ya cheti cha UVIKO-19

  5. Kuhusu Cheti cha Kuzaliwa

    Wakuu cheti cha kuzaliwa siku hizi ndio kipo hivi au hiki ni provisional tu? Hapa nimemwambia manzi wangu anitumie cheti cha kuzaliwa cha mwanae ili nifuatilie masuala ya bima ya afya akanitumia kinachofanana na hiki. Sasa sijui kama hiki ndio cha siku hizi au inakuwaje. Naomba mwenye...
  6. Guinea: Watumishi wa Umma watakiwa kuwa cheti cha kupata chanjo ya COVID-19

    Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri Mkuu kuhakikisha Mawaziri wote pamoja na Watumishi wengine Serikalini wanapata Cheti ili kuruhusiwa...
  7. Japo Chanjo ni hiyari, ila ni muhimu. Hupandi Ndege bila cheti cha Kupima COVID19. Kama unasafirisafiri, Chanjo ni Muhimu

    Wanabodi, Déclaration of Interest. Mimi Pascal Mayalla ni pro Vaccination ya Covid 19 na nimechanja chanjo ya Corona, na nawahimiza Watanzania, tuchanje. Niko hapa Terminam 3 Airport ya DIA, nimeshuhudia baadhi ya watu wachache wakirudi makwao kwa kakataliwa kusafiri kutokana na kutokuwa na...
  8. Wastani wa watu 38,400 kupata chanjo katika kila Mkoa

    Wadau, chanjo zilizopo ni chache, wastani katika mikoa 26 watakao choma ni 38400 kila mkoa Kila kituo watachoma wastani watu 1800 kumbuka kuna vituo 550 Swali ni Je, ikitokea ukachoma then ukapoteza cheti inabidi ujipange upya kugongwa nyingine au inakuwaje? wataalamu plz help
  9. A

    Niliacha chuo mwaka wa tatu, je naweza kupata hata cheti?

    Niliacha chuo kikuu mwaka wa tatu kozi yenye miaka minne.Je kuna uwezekano nikapata hata cheti kwa miaka hiyo mitatu?
  10. Changamoto za safari nje ya nchi na covid19 | delta, chanjo, cheti mambo yako vipi?

    Habari, Kufuatia wimbi jingine la ugonjwa huu na maambukizi mapya ya covid19 delta. Baadhi ya Nchi zimeingia kwenye travelling ban , mfano nchi kadhaa zimeiban India , Kenya na nyinginezo kusafiri... Karibu uwasilishe changamoto zozote ulizokutana nazo hivi karibuni kama ulisafari kutoka tz...
  11. Je, tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?

    Baba mlezi amefariki ila sisi tupo wawili yaani mimi na mwanaye wa kumzaa; wote tunaomba mkopo wa elimu ya juu. Je, sote tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?
  12. Zanzibar: Kila Mzanzibar anayetaka Chanjo ya COVID-19 atapata, hakuna mgeni ataingia bila cheti cha Vipimo vya Corona

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao watahusishwa au la . Chanzo : ITV ==== WANAOINGIA ZANZIBAR SHURTI CHETI CHANJO YA COVID-19...
  13. F

    Je, 'serial namber' ya cheti cha ndoa inafanana kwa mume na mke?

    Habari wadau Swali kwa wanandoa ama waliowahi kufunga ndoa. Ninatambua ndoa inakuwa na vyeti original copy mbili baada ya kufungwa. Moja ya mke na moja ya mme. Je, vinakuwa na serial namba inayofanana?
  14. S

    Vigezo vya chuo vilivyo chini ya NACTE kwa mwenye cheti cha form 4 na form 6

    Tafadhali nisaidie : Mhitimu ambaye ana cheti cha kidato cha nne Div 1 pt12 ya pure science na cha sita Div 3 (PCB-EED) akiomba kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE say Clinical Medicine course watamchagua kwa kigezo kipi? Kuna addaed advantage ya form six over form 4?
  15. Baada ya cheti cha shule ya upili ulipata cheti gani?

    Mimi binafsi baada ya cheti cha form four nimeendelea kupata vyeti vya mandatory training.
  16. Ummy Mwalimu: Ni marufuku Shule kuwadai cheti wanaoanza Darasa la kwanza

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema ni marufuku Shule kudai Certificate (Cheti) ya Awali kwa Wanafunzi wanaoanza Darasa la Kwanza Akiwa Bungeni Dodoma leo Mei 03, 2021 amesema "Bado hatujafanya vizuri katika kuongeza 'access' ya Watoto kuanza Elimu ya Awali kwahiyo haileti mantiki kusema...
  17. T

    Bodi ya Mikopo HESLB waanza kuwakata watumishi wa TGTS B kabla hawajabadilishiwa muundo wa utumishi

    Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree. Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa...
  18. A

    Ili kuboresha elimu, Serikali iachane na mpango wa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti 'grade A'

    Katika kuboresha sekta ya elimu nchini, ni wakati sahihi wa serikali kupitia wizara ya elimu na tamisemi kuachana na mpango wa kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti almaarufu 'grade A' Sababu ni hizi, 1. Mafunzo ya ualimu wa 'grade A' hayawaandai walimu hao kuendana na soko la dunia kwenye...
  19. J

    BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

    Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri. Cheti hicho kimetolewa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir. Pia soma > Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…