Kuna mtu kilometer 200 hatembei lazima apate njaa atake kula na biscuits na juice na tunda hazimtoshi yeye hutaka mayai,mahindi,samaki,kuku ,chipsu n.k
Tatizo sasa wengine hutapika ukikaa naye seat moja utashuhudis..Nini chanzo cha Hali hii na victim yampasa azingatie Nini haswa