Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Mimi miaka yote wala si mchapa kazi. Wala sina bidii. Sijawahi kukesha hata wakati nasoma. Nlifaulu. Na sikuwa na bidii... Ntakudanganya nikisema hivyo.
Nliajiriwa Serikalini miaka ya 90s. Nikawa napanda panda vyeo nahama wizara na sasa nazunguka zunguka nchi kadhaa. Nina bidii? Ninajituma? Nachapa sana kazi? Hapana. Nina connections tu. Najua kula na watu mambo mengine yanajiset.
Huwa nawaonea huruma baadhi ya watu. Wanajituma sana, wanabidii na wana uwezo mkubwa. Lakini nawazidi kila kitu. Safari napata mimi tena kabla barua haijaja napigiwa simuu kuulizwa nipo tayari kwenda Oman au Saudi au Egypt au China au Uk? Nikisema yes. Naambiwa barua inatuma keshokutwa jiandae. Kweli napata emails nikiwa copied kuwa natakiwa enda na msafara xxxx... Basi naenda.
Kwa kweli siwezi hata washauri watoto wangu wafanye juhudi au wajitume. Nawaambia tu wawe na connection. Hayo mengine si issue ya msingi. Na wakiwa na kauwezo kidogo tu kakuzugia. Ukibebwa nawe bebeka sasa. Usiwe mtupu sana.
Kufanikiwa hakuhitaji sana juhudi na maarifa. Kunahitaji watu. Niamini mimi. Watu tu wanatosha sana. Mi nafanya kazi kwa ku relax sana. Naona watu wanavyoteseka na GPA zao kubwa sana. Mimi yangu ni Gentleman. Ila nina watu wana masters wapo chini yangu na wananiita Boss. Nami sivimbi sababu ni mhuni sina uvimbaji.
Ila ukileta ujuaji utajuta kunifahamu. Maana nazijua hila na fitna sana. Sana siyo kidogo. Nielewe sana. Maana nmekua na wahuni na wapwani naelewa sana uhuni. Nyie endeleeni kunywa mtori nyama tunakula mtazikuta tukibakiza.