chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  2. R

    Kama kujiua au kuwaua wengine ni kosa la jinai, basi na kukataa chanjo ya Corona ni kosa la jinai, HOW?

    Simple logic inaniongoza hivi: 1. Kwa ugonjwa wa corona, kama kuna reservoir/hot spots/potential hotspots ambao ni unvaccinated individuals herd immunity will not be attained. 2. It follows then that in order to get herd immunity and eliminate the virus, all should be vaccinated 3. And to...
  3. Dkt. Kigwangalla adungwa chanjo ya Corona aina ya Sputnik V

    Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Afya ya Jamii, apata chanjo yake ya corona, Sputnik Light, kutoka ya Urusi. Dr. Kigwangalla aliwahi kupinga vikali matumizi ya chanjo katika kukabiliana na ugonjwa wa...
  4. Unajua kwanini Covid 19 haina kinga wala tiba?

    Wataalam wa History wanasema binadamu alitokana na nyani au sokwe siju miaka maelfu Kwangu hili halina ubishi maana wengi wetu hapa ukiangalia picha ya bibi yako na ukajiangalia wewe au mtoto wako utagundua kuwa wewe au mtoto wako ni mzuri sana kwa sura na umbo kuliko bibi yako. Kuna familia...
  5. New Jersey Marekani: Watu 50 waliopata chanjo yote ya Covid 19 wafariki kwa Covid 19

    Huko New Jersey Marekani, watu 50 ambao wamepata chanjo yote ya Covid 19, yaani wamepata chanjo zote 2 wamefariki kwa Covid 19. Hivyo kupata chanjo haina maana kua hautaugua covid 19 na haina maana kwamba hutafariki kwa Covid 19. Ndio maana ukisoma ile form ya kupata chanjo ya serikali...
  6. B

    Mawaziri waachie Ngazi kutoa Nafasi kwa Mwanzo Mpya

    Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri. Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini. Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu: 1. Kuhusiana na...
  7. Nilitarajia USA watusaidie ujenzi wa kiwanda cha chanjo

    Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi. Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo? Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na...
  8. Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

    Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
  9. COVID-19: Chanjo ya vidonge ya Israel kuanza majaribio

    Oramed kampuni ya utengenezaji dawa, imetengeneza Chanjo ya Uviko19 kwenye muundo wa Kidonge. Kwa sasa Inasubiri kibali cha Wizara ya Afya ya Israel wiki mbili zijazo. ==== Israeli COVID vaccine in pill form to start clinical trial in Tel Aviv By Nathan Jeffay A prospective oral...
  10. Wizara ya Afya Tanzania: Usiyoyajua kuhusu chanjo ya COVID-19

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa maelezo kuhusu chanjo ya corona kama ifuatavyo, ambapo imewahakikishis wananchi kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani wataalamu wamejiridhisha.
  11. M

    Wataalam wetu wazalendo watuambie 'content' ya chanjo ya COVID-19

    Najua si rahisi sana lakini ni vema kama nchi ikapambana kujua vema na kuwaongoza wananchi wake:- Maabara zitambue kwa makini chanjo hizo ziko na vitu gani hasa(content) Tutafsiri kila kimoja na faida au madhara yake. Bado dunia haikimbilii sana hizi chanjo. Bado vifo vimeripotiwa kwa hizi...
  12. Mwalimu sichomwi chanjo ng'o na wakibadilisha utaratibu kuwa lazima basi nitakuwa tayari kuacha hata kazi

    Kuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari) Na hata kama mkibadili gia angani (na kufanya ni lazima kwa makundi fulani- ambapo kivyovyote walimu wataingia) basi nitakuwa radhi kuacha kazi nikafanye...
  13. J

    Chanjo ni kama kofia ngumu (Helmet)

    Wataalamu wa #Afya wameifananisha Chanjo dhidi ya Magonjwa mbalimbali ni kama #Helmet anayovaa Dereva na Abiria wa Pikipiki. Ufafanisho huo umemaanisha chanjo kama ya #COVID19 umetokana na ukweli kwamba inasaidia kukukinga dhidi ya maambukizi ya #CoronaVirus. === A vaccine is an additional...
  14. Serikali yakusudia kuchanja asilimia 60 ya Watanzania Chanjo ya Coronavirus

    Dar es Salaam. Baada ya chanjo ya Covid-19 kuwasili nchini Serikali imejiweka lengo la kuwachanja asilimia 60 ya Watanzania wote. Waziri wa Afya, Dk Doroth Gwajima amesema awamu ya kwanza ya chanzo hiyo itatolewa kwa makundi ya mstari wa mbele ambayo yatawekwa wazi siku ya kesho. Amesema kwa...
  15. Profesa Lipumba apata chanjo ya Covid-19, ashauri wananchi wachangamkie fursa

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi(CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amepata chanjo ya kwanza ya kujikinga na ugonjwa wa corona. Profesa Lipumba amepata chanjo hiyo leo Jumatano Julai 22,2021 katika kliniki ya Umoja wa Mataifa zilizopo Masaki. Akizungumza na waandishi baada ya kutoka kupata chanjo...
  16. Uganda: Wataalamu wathibitisha baadhi ya raia walichomwa sindano zenye maji badala ya chanjo dhidi ya Corona

    Mamlaka za nchini Uganda zimesema zaidi ya watu 800 na wateja wa idadi siyojulikana kutoka kampuni kadhaa katika jiji la Kampala walipokea chanjo feki za ugonjwa wa Covid-19. Ripoti hiyo imetolewa baada ya kufanya uchuguzi kwenye kundi la chanjo zilizopokelewa nchini humo. Dr. Warren Naamara...
  17. Waziri Mkuu: Chanjo ipo anayetaka akachome

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa miaka miwili waislamu wameshindwa kwenda kuhiji kwa kuwa walioruhusiwa ni wanaotoka kwenye nchi zinazofuata taratibu zote za kudhibiti maambukizi Aidha amesema baadhi ya wafanya biashara na wenye ndugu nje ya nchi wamekuwa wakipata changamoto ya...
  18. M

    Fomu ya kuridhia chanjo ya corona (conset form) irekebishwe. Serikali ikubali kuwajibika kwa madhara ya chanjo kwa watu

    Kamati ya corona pamoja na majukumu mengine ilipewa kazi ya kuzifanyia utafiti chanjo za corona ili kujiridhisha kwa ubora na usalama wake kabla ya kuziruhusu kutumika kwa watanzania. Kamati hiyo ilijitokeza mbele ya watanzania wakiwa wameficha nyuso zao kwa kisingizio cha kuvaa barakoa, na...
  19. Uganda: Watu zaidi ya 800 wachomwa maji badala.ya chanjo

    Uganda imethibitisha kuwa watu zaidi ya 800 walichomwa maji badala ya chanjo ya #COVID19 Watu hao wamechomwa kati ya Mei 15 hadi Juni 17. Wataalamu wamesema hawako katika hatari kwa kuwa ni maji tu Manesi wa Naamawa, Kampala wanaotuhumiwa kuwachoma watu chanjo feki wamekamatwa === Ugandan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…