#COVID19 Uganda: Wataalamu wathibitisha baadhi ya raia walichomwa sindano zenye maji badala ya chanjo dhidi ya Corona

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,938
25,282
ug1-data.jpg

Mamlaka za nchini Uganda zimesema zaidi ya watu 800 na wateja wa idadi siyojulikana kutoka kampuni kadhaa katika jiji la Kampala walipokea chanjo feki za ugonjwa wa Covid-19.

Ripoti hiyo imetolewa baada ya kufanya uchuguzi kwenye kundi la chanjo zilizopokelewa nchini humo.

Dr. Warren Naamara, Mkurugenzi wa kitengo cha ufuatiliaji wa masuala ya Afya Ikulu, amesema kuwa watuhumiwa katika suala hili akiwemo dakatri wamekimbia.

Aidha Dr. Naamara alisema watu walipewa chanjo hiyo bandia kati ya May 15 na June 17.

====
Ugandan authorities say more than 800 people and an undisclosed number of clients from several companies in the Kampala Metropolitan area received fake Covid-19 jabs.

The report followed release of test results for samples taken from the batch of vaccines.

Dr Warren Naamara, director of the State House health monitoring Unit, told Daily Monitor that suspects in the matter, including a doctor currently on the run, duped several people and companies.

He said they were injected with the fake vaccines between May 15 and June 17.

Source: Experts confirm Ugandans got water for Covid-19 vaccine
 
Na tazania tujifunze isijekuwa na sisi tukaingia huu mmamba sio mkenge tena
 
Back
Top Bottom