chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. MK254

    Poleni majirani kwa kupoteza matajiri watano ndani ya siku 6; pokeeni chanjo muache mzaha

    Utani pembeni, kitumbua kimeingia mchanga, huu sio muda wa ukaidi tena, haijalishi una hela au wewe mlalahoi hapo kwa Mpalange. ======= What next after demise of five Tanzanian tycoons? Leaders of the business community yesterday expressed sadness over the loss of five business tycoons that...
  2. kavulata

    Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

    Nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa na wasiwasi kuhusu kuchanja chanjo ya covid 19. Hofu yangu kubwa kuliko zote ilikuwa kuganda kwa damu yangu baada ya kuchanja. Lakini Mimi ni miongoni mwa watu waliochanjwa chanjo ya COVID-19 Johnson And Johnson siku ya pili tu baada ya zoezi la kuchanja...
  3. T

    Tathmini yangu juu ya muenendo wa chanjo ya COVID-19 Tanzania

    Leo wizara ya Afya imetangaza kuwa hadi jana, tarehe 14, jumla ya watu 207,391 wamechanjwa kati ya chanjo 1,008,400 tulizoletewa na watu wa Marekani. Chanjo zilizinduliwa rasmi tarehe 28 July, 2021, karibu wiki 3 zilizopita. Tathmini yangu inajikita kwenye muitikio wa watu kuchanjwa. Leo hij...
  4. Informer

    Wizara ya Afya: Watanzania 207,391 wamepatiwa Chanjo ya UVIKO-19 hadi Agosti 14, 2021

  5. Memento

    Kuna mambo tuache siasa, Steve Nyerere hafai kuwa balozi wa chanjo

    Kuna vitu vinashangaza sana, wizara ya afya inashangaza sana. Wote tumeshuhudia duniani kote suala la chanjo likiwa mjadala mkubwa sana ambapo kila aina ya utaalam unatumika kwa wanaokubali na wanaoipinga. Hivyo si suala la kisiasa wala propaganda bali ni la kisanyansi, ndio maana niliona hata...
  6. The ricco king

    SoC01 Makosa ya Serikali kufuatia mapambano dhidi ya UVIKO-19 na chanjo yake

    Utangulizi Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila namna ili kunusuru wananchi wake na madhara yatokanayo na ugonjwa huu hatari, zipo nchi zilizozuia...
  7. T

    Kampuni ya kutengeneza chanjo za COVID-19, Moderna inatarajia kuanza majaribio ya Chanjo za UKIMWI mwezi huu

    Kampuni inayotengeneza chanjo ya Covid ya Moderna inatarajia kuanza majaribio ya chanjo ya UKIMWI Jumatano ijayo. Mordena wana matumaini makubwa kwamba kutokana na teknolojia mpya ya mRNA ambayo imesaidia kupambana na virusi wa Covid, wanaamini kua chanjo ya Ukimwi kwa kutumia teknolojia hiyo...
  8. beth

    Bunge: Taarifa za Wabunge wasiopata chanjo kutoruhusiwa Bungeni hazina ukweli

    Bunge limekanusha madai ya Wabunge wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kuingia Bungeni, likisema kuchanja ni hiari yao na wanahimizwa kufanya hivyo Imeelezwa, utaratibu umeandaliwa kuwawezesha wapate Chanjo katika Viwanja vya Bunge kwa hiari yao ili wajikinge na kuwakinga wengine
  9. F

    Kisa cha kuanguka kwa Dkt. Bulugu inaweza kuwa ni "staged event" ya ku-ruin mkakati wa Chanjo ya COVID 19 kwa Watanzania

    Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe! Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza Taifa hili kufuatia kifo cha ghafla cha Hayati Rais Magufuli. Hivyo viongozi wetu wanapaswa kuwa si...
  10. beth

    Rwanda: Huduma ya chanjo kutolewa nyumba hadi nyumba

    Taifa hilo limeanzisha utaratibu wa utoaji chanjo dhidi ya COVID19 nyumba hadi nyumba kwa makundi maalum ya watu ikiwemo Wazee Mamlaka zimesema huduma hiyo imesogezwa nyumbani kutokana na uhitaji mkubwa wa chanjo hususan kwa Vijana, lakini hakuna chanjo za kutosha hivyo wameamua kuanza na watu...
  11. mshale21

    Serikali: Kilichompata Dkt. Sospeter Bulugu kilitokana na kushuka kwa Sukari, na siyo madhara ya chanjo

    Pia soma > Kwanini Waziri Gwajima anaficha taarifa ya Dkt. Sospeter Bulugu kuzidiwa ghafla wakati akitoa hotuba? Kwa hiyo ndugu zangu: #Twendeni Tukachanje
  12. N

    Spika Ndugai shikilia hapo hapo, Mbunge asiyetaka chanjo aachie Jimbo

    Yaani safari hii nitanenepa sana sina wasi wasi na Serikali ya Rais Samia Chaguo la Mungu! Katika zama ambazo nchi inaendeshwa kisomi ni zama hizi za serikali ya awamu ya 6, Nchi inaendeshwa kisomi sana, watu kama ndugai wameamua waachane na siasa za kiki warudi kwenye taaluma zao ila...
  13. beth

    Marekani: FDA yaidhinisha utoaji wa dozi ya tatu ya chanjo kwa kundi maalum

    Kutokana na kuwepo Kirusi cha Delta kinachosambaa kwa kasi zaidi, Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) imeidhinisha utoaji wa Chanjo za ziada za Pfizer na Moderna kwa watu ambao kinga yao ya mwili imeathiriwa. Mbali na Marekani, Nchi nyingine ambazo zimepanga kutoa au zimeshatoa dozi ya tatu ya...
  14. Sarikiaeli

    Askofu Kakobe: Chanjo ya COVID-19 siyo chapa ya 666

    TAZAMA VIDEO YA SOMO CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA YA 666 Baada ya maombi ya Maaskofu na Wachungaji kadha wa kadha, wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo; jana Alhamisi 12.8.2021, akiwa ofisini kwake Askofu mkuu Zachary Kakobe amefundisha Somo muhimu, lenye kichwa, "CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA...
  15. P

    Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
  16. B

    Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa

    Baada ya kuchukua muda kufuatilia maoni na mitizamo ya wajumbe mbalimbali kiroho safi, nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa: "Pana wajumbe wenye kujawa na hasira kali isiyokuwa na maelekezo kuhusiana na Mh. Mbowe, Chadema, Chanjo za Corona na tahadhari zake." Wajumbe hao wakisikia moja...
  17. Analogia Malenga

    Ndugai: Chanjo ni hiyari ila hauna hiyari kuambukiza wenzako

    Wakati kukiwa na mjadala wa baadhi ya wabunge kuhusu chanjo ya corona inayoendelea kutolewa nchini, Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema pamoja na chanjo kuwa hiari, haimfanyi mtu kuwa na hiari ya kuambukiza wengine. Kauli hiyo imekuja kukiwa tayari kuna wabunge walioonyesha wazi kupingana na...
  18. JU60_tz

    Chanjo ya Corona imetengenezwa kwa vitu gani?

    Je, vitu hivyo ni siri? ni kwanini viwe siri wakati haya ni mapambano ya Dunia nzima na tunasema kuwa tunashirikiana kupambana na janga hili!? Je, wataalamu wetu wa Afya Tanzania wanavifahamu vitu hivyo? kama ndiyo kwanini wasimwambie MAMA ili tuvipate tuweze kutengeneza chanjo yetu wenyewe...
  19. Mtemi mpambalioto

    Ushauri kwa Serikali: Kupima COVID-19 iwe bure baada ya hapo ndio mtu akachome chanjo

    Huu ni ushauri mkubwa kwa serikali: Kitaalamu chanjo inatakiwa uchanjwe kama hauna vimelea vya ugonjwa husika. Sasa iweje watu wanaenda wanachoma chanjo tu bila kujua status zao? Je, Serikali hamuoni kuwa hili ni tatizo? Hata vifo vinavyotokea kwa walichoma chanjo vinachangiwa na tatizo hili...
  20. beth

    Marekani: CDC yapendekeza wajawazito kupata chanjo ya Covid-19

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimesema Wanawake Wajawazito wanaweza kupata Chanjo dhidi ya COVID19 ikisema hakuna hofu yoyote ya usalama wao katika Uchambuzi mpya uliofanyika. CDC imesema inatambua kauli kuhusu uzazi ambazo zimekuwa zikisambaa, lakini maneno hayo hayana ushahidi...
Back
Top Bottom