The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,451
- 17,154
Kampuni inayotengeneza chanjo ya Covid ya Moderna inatarajia kuanza majaribio ya chanjo ya UKIMWI Jumatano ijayo.
Mordena wana matumaini makubwa kwamba kutokana na teknolojia mpya ya mRNA ambayo imesaidia kupambana na virusi wa Covid, wanaamini kua chanjo ya Ukimwi kwa kutumia teknolojia hiyo itakua na mafaikio makubwa kwani hii teknolojia mpya ina faida kubwa zaidi kuliko chanjo nyingine zilizokua zinatengenezwa huko nyuma.
Mordena wanasema chanjo utaanza mwaka huu na inatarajia kuisha mwaka 2023. Kampuni nyingi za madawa ya binadamu ziko ama zimeanza majaribio ya chanjo ya ukimwi na kuna matumaini makubwa ya kufanikiwa.
Hii ni habari njema.