Sisi Ajira mpya bado tunadai stahiki yetu ya hela ya kujikimu, pia tumekuta watumishi wanalalamikia hali ya kutopewa stahiki zao kwa wakati, stahiki hizo ni pamoja na Call, Extra & Refferal allowarence hali hii imekuwa ikididimiza utendaji kazi wa watumishi na motisha ya kazi.
Tunahitaji...