Kwa niaba ya sisi wanywa soda na vinywaji laini, naomba kufikisha malalamiko yetu kwa mheshimiwa mwenyekiti kuhusu vitendo visivyo vya staha ambavyo tumekua tukifanyiwa na jamii. Kati ya kadhia kubwa tunazokutana nazo ni hizi zifuatazo;
1. Kudharaulika na kuonekana hatuna hela/tumefulia. Hili...