strong star
Member
- Jul 15, 2021
- 36
- 42
Wasaidizi wa kazi ( almaarufu wafanya kazi za ndani ) hawa ni watu muhimu sana katika familia na ustawi wake kwani huwapunguzia wanafamilia hasa baba na mama majukum ya nyumbani na kuwa na mawanda mapana ya kufanya shughuli zao za kiuchumi na maendeleo hata kama wana watoto nyumbani.
Pamoja na mchango wao huu muhim na mkubwa katika familia nzima bado wanapitia changamoto kama vile :-
*Mateso makali na unyanyasaji.
Moja kimwili ,wafanya kazi za ndani wanakutana na mateso makali kutoka kwa waajiri wao kimwili hasa ikitokea amekosea au kuhalibu vitu fulani ndani ya nyumba basi ukutatana na kichapo kikali na wakati mwingine kupunguziwa mshahala,kupewa kazi nyingi, kunyimwa chakula ,kunyimwa mda wa kupumzika na mengine mengi.
Pili kihisia, wasaidizi wa ndani pia ukutanana na ukatili wa kihisia kupitia kusemwa maneno makali au matusi mazito, kutengwa hasa wakati wa kula au kulala, kusingiziwa makosa mengine ambayo hawajafanya na kupelekea msongo wa mawazo pengine kujiuwa kabisa pia wakati mwingine kuhusishwa kingono na mabosi zao.
*Kudhalaulika na kutoishimika kama binadamu wengine .
wafanya kazi za ndani wanakutana na changamoto ya kutoonekanana kama binadamu na mwanafamilia kwani wakati mwingine haalusiwi ata kula na watoto au wanafamilia ,haalusiwi kusogea ata sebuleni kuzungumza na familia hivyo uonekana kama takataka tu ndani ya nyumba kisa tu analipwa mshahara.
*Unyonyaji na ukandamizaji .
Wasaidizi wana kumbwa na unyonyaji mkubwa katoka kwa mabosi zao kwani ufanya kazi zote hizo na kuvumilia mateso yote ayo lakini mwisho wa mwezi inawezekana kabisa ata asipate ata mshahala wenyewe kwa kigezo alivunja kikombe na kuumwa wakati furani.
Kunyimwa haki zao za msingi .
Wafanya kazi za ndani hukutana na changamoto ya kunyimwa au kuchelewa kwa haki zao za msingi kama vile mishahara yao ,Uhuru wa kujieleza, ulinzi na wakati mwingine kuuwawa kabisa kimya kimya na mabosi kumleta mfanya kazi mwingine
Pamoja na haya yote wasaidizi hijitoa na kutimiza majukum yao ya kila siku, wapo wengine ambao uweka malengo yao na kufanikiwa mwishowe kutafuta kazi nyingine .
Jinsi ya kutatua changamoto hizi na kuwawekea wafanya kazi za ndani mazingira bora ya kufanya kazi na kufurahia kazi yao, ni kama vile :-
-Kuundwa kwa Shelia kali itakayo walinda na kuwatunza dhidi ya mabosi zao.
-Kuwepo kwa mikataba itakayo walinda dhidi ya haki zao na kutambulika .
-Kutolewa kwa elimu ya kutosha kwa wanajamii wote juu ya wafanya kazi za ndani na haki zao.
-Ufuatiliaji wa kutosha na wakalibu juu yao kulinda maslai yao.
Hakika hawa nao ni watu muhim na ni wafanya kazi kama watu wengine hivyo yapasa waeshimike na kulindwa pia hasa katika jamii zetu .