changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya mafanikio kujua kusoma na kuandika bado ni changamoto kwa baadhi ya watu katika nchi za Afrika

    Tarehe 8 Septemba ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kujua kusoma na kuandika, ambayo pia inafahamika kama siku ya kisomo. Siku hii inaadhimishwa ili kufuatilia maendeleo ya sekta ya elimu katika nchi mbalimbali, duniani hasa elimu ya msingi ambayo lengo lake kuu ni kufuta ujinga. Lakini...
  2. JamiiForums Tanzania NACTE: Tuna changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa, Watanzania wengi wanavipenda kwa ada yake ya chini

    Mkurugenzi wa udhibiti NACTE, Geofrey Oleke amesema ipo changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa pamoja na wao kuhakikisha havipo kwa kuvifuta na kwakuwa huwa vina ada ya chini, watanzania wengi wanavikimbilia bila kujua kwamba vimesajiliwa ama La. Pia mkurugenzi huyo amesema vipo ambavyo...
  3. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Shinyanga piga namba hizi kama una changamoto ya cheti cha UVIKO-19

  4. JamiiForums Tanzania Changamoto katika biashara ya nyumba ya wageni (Guest House)

    Nyumba ya wageni ikiwa kwenye location nzuri, penye shughuli za kibiashara, ni biashara iitakayo kuingizia pesa ya kula hata na ya ada ya watoto. Sikuhizi watu wanapenda vyumba ensuite, hivyo uwe na uhakika wa kupata maji. Maji yakikosekana fanya jitihada ya kujaza matank ya akiba. Kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Kuchumbia kunanipa changamoto sana kwa wakati huu

    Habari wakuu.. Mimi ninakutana na changamoto kubwa Sana ktk swala la kutongoza, ..Kama munavyojua shida iliyoko mtaani hasa kwa wale tuliomaliza vyuo ajira ikawa shida kimsingi tunaendelea kuparangana mtaani kusaka mkate wa kila siku vurugu mbalimbali na kimsingi wengi wetu maisha hayajakaa...
  6. JamiiForums Tanzania Changamoto katika malezi ya mtoto kiziwi anapokuwa nyumbani na kwenye jamii

    Ripoti ya Deaf Women Included iliyochapishwa 2021 ilifanya utafiti na kugundua, Asilimia kubwa ya watoto wanaopatwa na changamoto ya uziwi mara nyingi huwa wahanga wa ukatili katika jamii kwa sababu wanaoamua kuwafanyia ukatili hujua hawawezi kusema. Inahitaji ufuatiliaji wa karibu kufahamu...
  7. JamiiForums Tanzania Safari za mabasi usiku kusitishwa: Changamoto ni nini?

    Habari wanabodi! Hivi karibuni tumeona baadhi ya watoa huduma za usafirishaji abiria kuendelea kutatuna huduma zao na kuwa wabunifu kwa kuanza safari za usiku na kufika asubuhi. Lakini ghafla tukaona safari zimesitishwa kwa taarifa wamezuiwa na mamlaka husika. Tumeona kampuni ya KAPRICON...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Pendekezo: Serikali iweke Tozo kwa Wamachinga kukabiliana na changamoto kwenye Majiji na Miji

    Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es salaam, imekuwa sasa ni kawaida kuona mabanda ya wamachinga karibu kila kona unayokatiza. Ni kweli...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

    Wapendwa habari! Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate. Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
  10. JamiiForums Tanzania Changamoto 10 zinazosababisha watu kutokuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi. Na nini kifanyike?

    1. Umbali Kutokana na umbali ulipo kati ya mataifa mbali mbali. Ni vigumu kupata na kuanzisha mawasiliano na wasafirishaji kwa haraka na ukaribu. Wanunuaji na wauzaji huwa mara nyingi hawapati mda wa kukutana na mawasiliano binafsi huwa sa nyingine ni vigumu. Umbali pia husababisha...
  11. JamiiForums Tanzania Ni heri kupambana na changamoto za chanjo kuliko kupambana na changamoto za kuugua COVID-19

    Ninachokiona ni kwamba watu hawajaweza kufikiri na kutafakari kwa umakini na wengi pia wanashindwa kutambua ikiwa ni habari zipi za kuamini kwani habari ni nyingi za uongo na uzushi ambao unaosemwa kwenye mitandao na baadhi ya vyombo vya habari na watu ambao ni wapotoshaji pengine kwa maksudi...
  12. JamiiForums Tanzania Uzi maalum changamoto katika mifuko ya mafao

    Wadau ebu Leo naomba tuweke na tujadili hapa changamoto tunazokutana nazo katika mifuko ya mafao kipindi tunafatilia mafao ya aina yoyote iwe yako au mzee wako maana wafanyakazi wa hizi taasisi awajui Kama hizi hela zilikatwa sio Kama Mtu unapewa bure Ni jasho lako
  13. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto juu ya chanjo iliyotokea miaka ya 1950s ndio inayojitokeza sasa, ila mwishoni utafika tu

    Nianze kwa kusema kuwa wenzetu ambao ni jirani zetu hapo kenya nao walianza kwa kusema kuwa chanjo ya Corona ni hiyari na sio lazima , lakini tamko lilitoka jana kutoka serikalini ni kwamba kila Mkenya ambaye ni mtumishi wa Umma lazima apate chanjo ndani ya wiki mbili zijazo na mwisho ni tarehe...
  14. JamiiForums Tanzania Changamoto za kuwa uchumi wa kati ni maumivu ya kodi kuwa juu

    Wakati tunashangilia kuingia Uchumi wa Kati basi ujue Tulikuwa tunashangilia yafuatayo; 1.Nchi kuhama kutoka kupewa mikopo nafuu na ya mda mrefu na kukopeshwa mikopo ya Kibiashara. 2.Kukoma au Kupungua kwa misaada ya wahisani.kama misaada ya kibajeti nk 3.Kuanza kujitegemea kwa kila...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto za nchi za Afrika kwenye michezo ya Olimpiki

    Kwenye michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020 iliyomalizika hivi karibuni, kumekuwa na mambo mengi mapya ya kushangaza na kufurahisha, ikiwa ni pamoja baadhi ya nchi kupata medali kwa mara ya kwanza kwenye baadhi ya vitengo, na hata uwakilishi wa baadhi ya nchi kwenye michezo hiyo kuwa wa...
  16. JamiiForums Tanzania Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu

    Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu 1) Maji 2) Umeme 3) Barabara 4) Afya 5) Uongozi 6) Biashara 7) Katiba 8) Chakula 9) Ajira 10) Elimu
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tembelea wananchi wako wa Mji wa Kisesa wanateseka na Changamoto ya Umeme na Maji

    Mji wa Kisesa katika jiji la Mwanza ni Mji mkubwa unakua kwa kasi ambao kipindi cha Marehemu Magufuri aliahidi kuwa halmashauri ya Mji wa Mwanza ,wananchi wake wanalia kwa kutofungiwa umeme na shirika la Tanesco ,huku likionesha hilo shirika katika kituo chake cha Nyakato kuzidiwa nakuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda! Umepata changamoto ?

    Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika mafanikio

    ✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile. Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa baadhi ya changamoto. 🙏🙏 Naomba ni bainishe baadhi ya changamoto ili uzijue na ukabiliane nazo. 1. KUPOTEZA NDGU NA MARAFIKI: Unapo anza...
  20. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa mazoezi na faida zake kwa watoto wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni. (a)Kabla ya Kuzaliwa. (b) Wakati wa kuzaliwa. (c) Baada ya kuzaliwa. (A)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…