Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,312
Ume peleka gari yako vizuri waoshe umetoka zako umefika dukani kuchukua maji ukirudi una kuta gari yako imegongwa ukiuliza muushaji ana kwambia gari ilipakiwa vibaya kwahy alikuwa ana jaribu kupaki vizuri mtu kama huyo una mfanyaje?