Unapo jisaidia haja kubwa hakikisha unafanya haya ili kuepusha bawasiri ya kujitakia.
1. Hakikisha ukifika chooni unachuchumaa na kutulia subiri haja itoke yenyewe.
.yaan epuka kuisukuma haja yako kwa kujikamua kwa njia yeyote ile. Lakufanya una chuchumaa tu tulia ukikaa sana huja yenyewe...
Nipo Morogoro.
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ina maeneo ya biashara ambayo wafanyabiashara wadogo hupanga kwa gharama ya shilingi elfu hamsini. Hata hivyo, maeneo hayo yamechukuliwa na baadhi ya wafanyakazi pamoja na watu wenye fedha, ambao huwapa vijana wapangaji kwa shilingi laki tatu...
Mikopo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu imeanzishwa kwa lengo jema, hasa katika kipindi hiki ambacho changamoto ya ajira imekuwa kubwa nchini. Mfumo huu umekuwa msaada muhimu kwa wengi katika kujiajiri, kukuza biashara ndogo ndogo na kuinua uchumi wa wananchi. Hata hivyo, bado kuna...
Ki ukwel watumishi wengi tunapata changamoto kubwa sana hasa wakati wa kutaka kuhama kupitia mfumo wa e-uhamisho kwani unakuta mtu una vigezo vyote vya kuama taasisi moja kwenda nyingine lakini ukiomba kwenye mfumo unakataa na kuandika "your designation has staff deficit in your organisation"...
Habari Wana nzengo
Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
Ni mwanamke mtu mzima 43 years.
Alipata miscarriage 3.
Akawa hapati tena ujauzito.
Sasa amepata tena ila dalili sio njema.
Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili.
Gino anasema yupo sawa mimba bado ipo akampa madawa ya kunywa ya kubalansi homoni.
Lakini mimi nina mashaka...
Utafanyaje utapogundua mwenza wako ni
1. Msagaji
2. Wali nazi?
Utafunika kombe mwanaharamu apite ama utachukua maamuzi magumu?
Utathubutu kuwaambia watu uhalisia ama utakufa na siri yako?
NI JAKAYA KIKWETE;
Jana nilitoa picha ya Marais 6 wote waliowahi na wanaoendelea kuongoza Taifa letu nikichukua mitazamo yenu kuhusu nani kwano unampa namba 1-6 kwa utendaji.
Kwangu mimi (wenyewe wanaita mimi kama mimi) kwanza nitatoa heshima kwa Marais hayati Nyerere na Mzee Ruksa kwa kuwapa...
Wana JF,
Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..?
Japo sijui jf kwa sasa...
Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi ni wiki Sasa hakuna maji, na hakuna maelezo yoyote ya lini maji yatatoka.
Kwa sasa ndoo ya maji inauzwa Tsh 1000 mtaani. Sijajua changamoto ni nini lakini waziri wa maji amekuja hapa mara mbili na viongozi wanaahidi kutojirudia kwa hii...
Anonymous
Thread
changamotochangamoto ya maji
hakuna maji
halmashauri
inauzwa
kilindi
lini
maji
makao
makao makuu
ndoo
wiki
wilaya
Mimi ni mmoja wa wadau wa shughuli za ushirika katika Wilaya ya Manyoni, na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayohusu uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo.
Kwa mujibu wa taratibu za kawaida, zabuni mbalimbali hutangazwa kwa uwazi kupitia mbao za matangazo na...
Anonymous
Thread
chama
chama cha ushirika
changamoto
katika
kilio
manyoni
ndani
ushirika
uwazi
zabuni
Je, wajua kuwa changamoto za uzazi si kwa mwanamke pekee, bali zinawahusu pande zote mbili mwanaume na mwanamke? Ubora wa mbegu za kiume ni miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia familia nyingi kushindwa kupata mtoto.
Ungana na Dkt. Matilda Ngarina, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na...
Naomba kuwasilisha kilio cha wafanyakazi wa afya kutoka mikoa ya pembezoni kama Kigoma, Mara, Kagera, na Katavi, ambao wamepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo lakini wanakutana na changamoto kubwa sana ya kifedha.
Wafanyakazi hawa, wakiwemo manesi, madaktari, na hata wanaosomea udaktari bingwa...
Anonymous
Thread
afya
changamoto
kero
kutoka
masomo
mikoa
mikoa ya pembezoni
serikalini
wafanyakazi
Tunaiomba mamlaka husika kuboresha mfumo wa Ajira Portal. Vijana wengi tunapata changamoto kubwa kupata usaidizi kuhusu mfumo huo kwani namba za mawasiliano hazifanyi kazi na email hazijibiwi.
Hali hii inatulazimu kutumia fedha nyingi kwenda Dodoma kwa ajili ya kupata msaada wa huduma ambazo...
Anonymous
Thread
ajira
ajira portal
changamoto
mfumo
mfumo wa ajira
portal
vijana
#HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini.
Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
biashara
biashara na uwekezaji
changamoto
dangote
heche
john
john heche
katiba
katiba mpya
kuboresha
kuboresha mazingira
kufungua
kutatua
maridhiano
mazingira
mpya
njia
pamoja
rais
rais samia
samia
serikali
sifa
uwekezaji
wawekezaji
Wakazi wa Kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro, wameendelea kuishi katika mazingira yenye hatari kubwa za kiafya, kiusalama na kimazingira kufuatia kutofanyiwa usafi wa mara kwa mara maeneo yaliyopitiwa na miradi mikubwa ya serikali ikiwemo Bomba la Mafuta la TAZAMA na Grid ya Taifa ya Umeme...
Sote ni mashuhuda kwamba,
katika majukwaa mbalimbali humu JF, kumezuka na kuibuka wimbi kubwa sana la baadhi ya wadau wa JF kujidhirisha pasina shaka yoyote kwamba wao ni kundi la mamluki wa vibaraka fulani wa mabwenyenye ya magharibi,yaliyokita kambi humu nchini, lakini pia ni wazi kwamba wao...
Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa.
Wakuu nimekuwa nakumbwa na changamoto ya kumwaga mbegu, kila ninapo lala usingizini.
Changamoto hii ina kama miezi kadhaa, mwanzoni nili dhani ni issue normal pengine ni kutokana na issue za semen retention au wenge la ukuaji.
ila kadri siku zilivyo kwenda mambo ni yale yake, kila niki lala...
Madereva wa bajaji wamekuwa chanzo cha malalamiko kwa abiria kutokana na ukosefu wa utaratibu unaoeleweka katika utoaji wa huduma.
Mara nyingi, abiria hulazimika kubishana na madereva kuhusu nauli kwa sababu hakuna bei maalumu zilizowekwa wazi. Hali hii husababisha usumbufu, kupoteza muda, na...