A
Anonymous
Guest
Bado imekuwa changamoto hasa kwa watumiaji wa vyombo vya moto.
Aidha ni kama Jeshi la Polisi halijajiandaa ama basi limekaa kisiasa zaidi.
Unafanya Aplication kwenye mfumo, Unalipia, unaweka appointment date ukifika unaelekezwa kwenda WILAYA nyingine kwaajili ya ukaguzi. Tatizo ni Eti Katika Wilaya husika hakuna Vehicle Inspector!
Mamlaka husika ione namna yakutatua hilo haraka iwekanavyo ikiwa ni pamoja na kuongeza muda wa ukaguzi.