Github sasa kila kukicha inakuja na changamoto mpya

Kaka laptop gani nzuri kwa budget ya laki tano ambayo nitakua natumia kwa programming
 
Changamoto ya saivi ni software nyingi zinaitaji memory kubwa. mfano vscode yevyewe bila extension nzito inaitaji kama ram GB1 ivi, postman/chrome naya ni kama 4 gb ivi

Ukitaka ku program simple API kwa ruby au python kwenye laptop ya ram 4gb inakua inakutesa

Kama budget ni 500k jitahidi kuongeza ongeza ifike hata 800k upate laptop ya 8ram 15-16inch screen
 
Hamia GitLab self-hosted... ukiwa na server yako codes zako zinakuwa salama pia, sasa hivi Microsoft wanatumia codes za kwenye GitHub repos ku-train AI model zao.
 
Changamoto ya saivi ni software nyingi zinaitaji memory kubwa. mfano vscode yevyewe bila extension nzito inaitaji kama ram GB1 ivi, postman/chrome naya ni kama 4 gb ivi

Ukitaka ku program simple API kwa ruby au python kwenye laptop ya ram 4gb inakua inakutesa

Kama budget ni 500k jitahidi kuongeza ongeza ifike hata 800k upate laptop ya 8ram 15-16inch screen
Model ipi nzuri
 
Kaka laptop gani nzuri kwa budget ya laki tano ambayo nitakua natumia kwa programming
Ukiwa makini kwa hiyo laki 5 utapata nzuri tu ya kuanzia, hakikisha RAM iwe ya stick moja, na iwe walau 8GB na i5 10gen ukikaza unapata, itakusukuma.
 
Back
Top Bottom