Changamoto ya malipo ya Udahili kutosomeka Chuo Kikuu UDOM

Changamoto ya malipo ya Udahili kutosomeka Chuo Kikuu UDOM

fikiricodes

New Member
Joined
Sep 15, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Habari

Tangu Tarehe 9 tumelipia malipo ya serikali kutoka NMB kwenda kwenye control number UDOM NMB wamerudisha meseji malipo yamepokelewa lakini kwenye account ya KUOMBA CHUO UDOM hayajafika.

Tumepiga namba za simu za UDOM SUPPORT 0752811050, 0734986486, 0752550837, 0734986490 na 0752994657 Lakini hakuna msaada wowote zaidi zinaita na hazipokelewi leo tarehe 11 hazipatiani kabisa.

Changamoto hiyo Imepelekea kukosa kuomba chuo kwa dirisha la kwanza

IMG-20260811-WA0004(1).jpg

IMG-20260811-WA0005.jpg
 
Mfumo wa udom wa maombi hasa wa postgraduate ni shida sana, sijawahi kufanikiwa
 
Back
Top Bottom