Changamoto za SelcomPesa - Julai 30, 2026

Changamoto za SelcomPesa - Julai 30, 2026

n00b

Platinum Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
1,030
Reaction score
2,737
Inaonekana leo Julai 30 mfumo wa SelcomPesa una muskeli.

Kuna wengine mnapata changamoto hii?

Ni pale inapokuwa ushafika counter unatakiwa kulipia na mfumo ukakuumbua.

🤭

IMG_6298.png
 
Sio hao Makajanja mengi..tu Yas wenyewe wanajamba jamba
 
Back
Top Bottom