Mimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:-
Pumba mahindi 700kg
Concentrate 50kg
Mashudu 200kg
OlaQuindox 500mg
Bokhash 10kg
Dcp 10pkt
Pig booster 10pkt
Toxic binder 1kg
Jumla tani 1 ya chakula.
Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana.
Je wanajamii...
Watanzania kuna mambo mengi sana hawajui, na wamekuwa wakidhani na kujisifu kuwa ni wagunduzi wa mapishi mbalimbali, jambo ambalo si la kweli, ila kwenye mapishi ya asili ni kweli hayo ni ya kwetu kabisa, na unaweza usiyaone nchi nyingine.
Sisi watanzania tumekuwa tukijisifia sana kuhusu...
NEEMA LUGANGIRA - AKIBA YA CHAKULA, LISHE BORA NA VITA DHIDI YA UDUMAVU
https://m.youtube.com/watch?v=-CFktS9RDBY
Neema Lugangira mbunge wa viti maalum asasi zisizo za kiraia azungumzia mikakati ya Akiba ya Chakula ( food security ) ya Tanzania.
Udumavu uliokithiri katika kaya za kiTanzania...
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
Dunia imefika mbali sana kwa sayansi na teknolojia hasa kwenye majeshi na njanja za matibabu.
Kama inavyosemekana kuwa waliomshambulia Fr Kitima walikuja kama wateja na kuagiza vinjwaji na vyakula wakaenda kula wakati wakisoma target yao, baada ya kushambulia wakakimbia.
Kama hawa watu...
Ma bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha...
ULAJI CHAKULA CHA AINA MOJA WATAJWA CHANZO CHA UDUMAVU, SYLVIA SIGULA AHOJI BUNGENI
Serikali imesema kuwa moja ya sababu za udumavu wa watoto katika baadhi ya mikoa nchini ni tabia ya ulaji wa chakula cha aina moja, licha ya mikoa hiyo kuongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula.
Kauli hiyo...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Zuberi Homera, ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbarali kuwakamata wafugaji wote wanaodaiwa kuingiza mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima na kuharibu mazao.
Dkt. Homera alitoa agizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Chimala, ikiwa...
Wakuu wanawake wana njaa Sana .
Na hawana akili za kuwaza mbali
Hajji Manara yupo sahihi , Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo .
Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka nimegungua hilo.
Mchele au wali na ngano huwa vinatumika sana maeneo yenye Waislam wengi. Kwa Afrika, Kaskazini mwa Afrika mchele na Ngano huwa vinaliwa sana eneo hilo. Eneo la Kaskazini lina Waislam wengi. Ukija kusini mwa Equator kuna Wakristo wengi, Eneo...
SHULE ya awali ni kituo cha kuwalelea au kuwasomesha watoto wadogo ambao hawajaanza elimu ya msingi (darasa la kwanza)na kwa sasa serikali imeagiza kwa shule zote za msingi zinazomilikiwa na serikali zimetakiwa kuwa na madarasa ya wanafunzi wa Awali.
Na kwa msingi huo hata miundo mipya ya idara...
Ikitokea umeagiza chakula hotelini au mgahawani halafu wakati ukiwa unakula hiko chakula ukakutana na nzi, mende au nywele kwenye hicho chakula ukikataa kulipia utakuwa sahihi?
Ndugu yangu, kumbuka kila wakati, katika dunia hii sio wote wanaofurahia mafanikio yako ya kimaisha, ya kikazi au ya kibiashara. Kwa sababu hiyo yamkini kuna watu wanapanga mbinu za kukuangamiza. Na wengine wanaweza kukuchukia tu hata kama huna pesa au cheo, wakatafuta njia ya kukuondoa duniani...
Suala la lishe ni muhimu sana, lakini naona mpango wa chakula cha mchana kutolewa kwa wanafunzi inaendelea kubaki kuwa changamoto. Mtoto anatoka nyumbani saa 12/1 asubuhi anarudi saa 10/11 jioni ndio anapata chakula cha mchana, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba; watoto wa shule huwa wako...
Habari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
Baada ya kushiba ndiyo tunagundua chakula kimezidi chumvi, ama imepungua au kama ni mihogo baada ya kushiba ndiyo tuna gundua ni michungu.
Kama ni juisi baada ya kushiba ndiyo tunagundua sukari imezidi ama imepungua.
Kwanini ni baada ya kushiba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.