Wanaukumbi.
Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea.
Huu ndio ukweli wa kikatili wa njaa iliyotengenezwa kwa Israeli.
https://x.com/zohranmamdani/status/1954508053077713175?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanaukumbi.
Baadhi ya Watanzania wenye huruma ni utu wamakusanya misaada na kuipeleka GAZA, kama vile Chakula na mahitaji mengine muhimu kwa watoto.
Tunawashukuru Watanzania waliojitolea kidogo walichokuwa nacho.
Shirika la Ujerumani lililotaka kuchunguza ili liiwekee vikwazo Israel kwa Kusababisha Njaa na Mateso kwa Wa gaza limegundua kuwa ni maigizo yanayoandaliwa a Hamas kuhadaa Dunia kampeni ambayo imefanikiwa kwa maigizo kama hayo kwa zaidi ya miaka miwili hadi mashirika yakaamua kuchunguza hiyo...
Wanaukumbi.
Abu Obaida:
•Al-Qassam Brigades are ready to cooperate positively and respond to any request by the Red Cross to deliver food and medicine to enemy prisoners.
•We condition this on the opening of humanitarian corridors in a regular and permanent manner to allow the passage of food...
WAZIRI KOMBO AWAHAMASISHA VIJANA WA TANZANIA KUCHOCHEA MABADILIKO YA MIFUMO YA CHAKULA DUNIANI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na vijana viongozi kutoka Tanzania wanaoshiriki katika mageuzi ya mifumo ya chakula kupitia...
TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai 2025, jijini Addis...
Wakuu sijawahi kula nikasema hiki chakula kitamu na kinazidi na chakula cha nyumbani.
Niseme ukweli chakula cha nyumbani kwetu hata kama kimepikwa na mama yangu mwenye umri wa miaka 74 bado huwa nakiona kitamu na kila ladha asili kuliko chakula chochote cha hotelini.
Nimeenda kwenye hoteli...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesisitiza umuhimu wa kuchukua hatua madhubuti na za pamoja katika kuimarisha mifumo ya chakula ili kuhakikisha ushiriki endelevu wa Tanzania katika ajenda za maendeleo ya kimataifa.
Waziri...
Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.
Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.
Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo
Siku pekee ambazo sina...
Kuna watu wanne
Mtu wa kwanza Mtu mzima miaka 28
Mtu wa pili miaka 11.
Mtu wa Tatu miaka 6
Mtu wa Nne miaka 4
Kwa hawa watu, ni kiasi gani cha chakula (Mchele na unga) utawatosha kwa mwezi mzima, naomba wenye kujua makadilio wanisaidie katika hili?
Maana naitaji kujua unga utakua kiasi...
Naitwa Diana ni msichana ambaye Kwa Sasa Naishi mwenyewe ,lakini mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu watatu JUMLA tutakuwa wanne,nimejaribu kuandaa budget ya chakula, hii itakua kama stock na nitatengeneza kabati special kwaajili ya stock iyo tu, nitanunua vitu kiujumla kama nilivyo...
Umasikini wa chakula umepungua kutoka 21.6% hadi 8.0%hii inamaanisha kwenye kila watanzania 100 ni 8 tu ndio wanashida ya mlokamili tunaposema CCM na Rais Samia wanachapa kazi muwe mnatuelewa,Benki ya Dunia sio CCM.
Hata kama mnapiga kelele ila mfahamu umasikini wa msosi Tanzania kwa mujibu wa...
Hakuna kitu rahisi katika ulimwengu haya mabadiliko tunayotaka ni namna nzuri ya ukoloni kudhibiti akili za wafuasi dhidi Nguvu kubwa inayotawala,siwezi kukataa kuwa maendeleo kwa namna fulani yanahitaji uwazi na uwajibukaji(sheria) ila sheria siku zote ipo upande wa Msimamiaji.
Inshu ya...
Wanadai hujaongeza posho yao miaka 10 sasa vilevile posho yao ya maji na umeme imegomewa wizarani. Mh.Rais mwenye nchi ni wewe malalamiko haya wameyawasilisha bungeni mara nyingi na yamepelekwa sehemu husika lkn imeshindikana.
Kila la kheri mh.Rais
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Ulaji upo!
Katika utawala utaulizwa haya maswali Makuu. Na utatakiwa kuyajibu kwa ufasaha;
Unaapa kutumikia Jamhuri, tuambie kipi rahisi Kula chakula na vipofu au chakula cha waliolala?
Ukijibu hilo litafuata swali la mwisho, kipi kitamu, chakula cha vipofu au chakula cha waliolala?
Majibu...
Sasa unaweza kujua chakula cha kuku kitakutosha kwa muda gani bila kubahatisha.
Feed Tracker hukusaidia kufuatilia matumizi ya chakula kila siku kulingana na idadi na aina ya kuku.
✅ Hakuna tena kukosa chakula ghafla
✅ Panga ununuzi mapema
✅ Punguza upotevu na gharama
✅ Kuku wako wawe na afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.