Tanzania ni nchi inayotembea juu ya mabega ya wakulima na wafugaji.
Kila sahani tunayoweka mezani ni matokeo ya jasho lao—wakati mwingine jasho la mwisho kabisa.
Lakini cha kushangaza ni kwamba, kadiri mahitaji ya chakula yanavyoongezeka…
ndivyo simulizi za umasikini, madeni, na mapambano...
Wakuu nahitaji muongozo wenu wapi ninapoweza kununua au kuchonga spare part hii ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku cha punje(pellets),nataka disk yenye matundu madogo pungufu ya 3mm,nimejaribu sehemu mbalimbali wanashindwa hii kazi pakiwemo kwenye ile taasisi fulani kubwa ya serikali ya...
REUTERS: Wahouthi wamekuwa wakiwalazimisha raia wa Yemen kujiunga na wanamgambo wao na kuhudhuria mikutano ya kila wiki inayobwabwaja "Kifo kwa Amerika" “Kifo cha Israel” kama sharti la kupokea msaada wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa.
Raia mmoja aliyekimbia makazi yake aliiambia Reuters...
Kuna mwenye kujua history ilianzaje mpaka wahenga wakagundua mtoto akizaliwa akae miezi SITA bila kula chochote hata maji..
Na je mwanzo pengine walikuwa hawana hio akili wakawa wanalishwa ndani ya miezi miwili au mitatu tumbo halijakomaa je ilikuaje wali survive kweli hao watoto?
Kuna...
Juzi kati nilikuwa nyumbani Missenyi, Kagera nikaenda shambani na kuibuka na hiki kiazi. Kwa Dar sijawahi bahatika kuviona, ila kwetu vipo sana na vilikuwa chakula changu pendwa. Ilibidi nikisafirishe sasa hivi najimegemea kipande kidogo kidogo nakula kwa samaki kibambala.
Kwa nyumbani tunaika...
Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe unakwenda kuwapiga tafu watu katika harusi yao. Lakini ukifika, unakutana na ujumbe kuwa: “Chakula...
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo uzito wa mwili unachukuliwa kuwa changamoto kubwa kwa wengi, ni kawaida kuona matangazo mengi ya dawa au virutubisho vinavyodai kuchoma mafuta mwilini kwa haraka. Hata hivyo, ukweli wa kisayansi ni kwamba hakuna dawa yoyote ya kienyeji au ya viwandani inaweza...
KARIBUNI MIFUGO PLUS
Mashine ya kutengeneza chakula cha kuku, samaki, na mifugo mbalimbali km, sungura,ngombe, mbuzi ngurue
Mashine Zipo chake Pia zipo kwenye Of Baada ya Lak 4
Njoo Oficini Lipia Kwa Bei ya 380 Ujanja Kuwai wateja wangu PIGA SIM 0612323330
Mdau wa JamiiForums.com ametaka kupata uhalisia endapo mayai ya nyoka ni salama kwa bonadamu.
"Inasemekana Mayai "Egg's" yote yakiwa fresh ni salama,Sasa swali linakuja jee hata Mayai "Egg's" ya Nyoka "Snake" yakiwa fresh yanafaa kwa binadamu kula na asipate madhara yeyote?Kwa wale wataalamu wa...
Njaa ya siku 2 mnaijua mnaisikia ?
Akili ina ji reset kwenye default settings LIWALO NA LIWE
Ni kipindi hicho miaka ya nyuma kuna muda nilipata changamoto za kiuchumi, sikuweza kupata chakula kwa siku 2
Mpaka akili ikaja ya kuwinda sherehe na misiba, hakuna kitu.
Kuna nyumba walikuwa...
Hii imetokea Kenya Count ndogo ya Awendo.Majirani zetu watani zetu na ndugu zetu mnaojinasibisha mnajua sana kingereza kuliko sisi mnakwama wapi.
Issue kama hii huwezi ikuta Tanzania
Kugombea ugali
Count ya Awendo ukitoka Isebania unafika Migoro Awendo iko mbele yake.
Source Mwananchi Agost 28...
Kumekuwa na changamoto mashuleni inayohusu chakula wanachokula wanafunzi kuwa na dawa ya kuhifadhia nafaka.
Hii hutokana na utaratibu mbovu wa kuhifadhi mahindi unaofanywa na baadhi ya shule kiasi kwamba mahindi husagwa yakiwa na dawa na kupelekea kwa shule wanazokula dona au mahindi...
Anonymous
Thread
chakula
elimu
kukagua
maafisa
mashuleni
ombi
shule
wanafunzi
wao
zao
🤔 Swali hili ni la kawaida sana miongoni mwa wengi wanaotamani kuingia katika sekta ya huduma za chakula. Jibu ni la kuvutia na la kushangaza kwa wakati mmoja.
🙆♂️ Ukweli ni kwamba: Biashara ya catering si rahisi kama unavyodhani, hasa ikiwa huna uzoefu wa kupika kwa wingi. Lakini hii...
Mimi sio muumini wa kunawaishwa mikono na maji ya vikombe au majagi kwenye vibobo vilivyozoeleka sana sehemu nyingi hapa bongo, huwa napendelea zaidi kwenda kunawa mikono bombani kabisa na maji ya kijipimia mwenyewe, sasa inakera unafika Bar kubwa kabisa au mgahwa wa hadi halafu hakuna bomba za...
Wadau , tupeane mbinu za kukwepa kula chakula ugenini pale unapokaribishwa Pasipo kuzusha sintofahamu kwa wenyeji wako hadi wajisikie vibaya..
Na sababu za kutokula ugenini kunaweza changiwa na mambo mengi ; mazingira ya uandaaji chakula, kupikiwa chakula usichoendana nacho kiimani mfano pork...
Kama ulikuwa hujui, kila kipande cha chakula tunachoweka mdomoni ni zawadi kutoka kwa Mungu. Maandiko yanatufundisha kwamba kila kitu kizuri hutoka kwa Baba wa nuru (Yakobo 1:17).
Hizi hapa faida za kushukuru na kuombea chakula:
1. Ni njia ya kumheshimu Mungu Mtoaji – Unaposhukuru, unatambua...
Wanaukumbi.
Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea.
Huu ndio ukweli wa kikatili wa njaa iliyotengenezwa kwa Israeli.
https://x.com/zohranmamdani/status/1954508053077713175?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.