chakula

  1. Uponyaji na uzima

    Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

    Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi. Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za...
  2. Nyendo

    Ushawahi kushindwa kula chakula kwa uchafu wa mazingira au mpishi?

    Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa. Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema tobaa hiki chakula siwezi kukila tena. Usafi ni muhimu sana kwa mpishi kwani ukizingua kwenye usafi...
  3. BARD AI

    TBL: Kuleni chakula kabla ya kunywa

    Ili kufikia lengo la kupunguza matumizi ya pombe hatarishi kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2025, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imezindua kampeni ya Mdogomdogo inayohamasisha unywaji pombe usiozidi kipimo ambao ni hatari kwa afya ya watumiaji. Uzinduzi wa kampeni hiyo umekwenda sambamba na...
  4. M

    Chakula kipo tu. Tuleni kwa staha

    Chakula kilikuwepo, kipo na kitakuwepo tu. Kwa iyo tule kwa staha tu. Iwe jioni, usiku ama alfajiri. Siyo kuparamia na kufakamia matokeo yake kuvimbiwa na kukinai halafu kukimwaga. Wakati kuna wasiojaliwa kukipata wanalala njaa. Chakula hakitaisha kitakuwepo tu hakitaisha.
  5. DR HAYA LAND

    Kwa mara ya kwanza nimesikia Tanzania wametoa msaada wa Chakula kwenda Malawi baada ya kukumbwa na Kimbunga

    It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga. Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi. Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
  6. T

    Maboresho ya sheria na mfumo chini ya uongozi wa Rais Samia yanavyoutesa upinzani

    Amani iwe nanyi, Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa kujiuliza maswali yafuatayo: i) Je, dai la katiba mpya ni la Wananchi? ii) Kama ni la Wananchi ,kwa nini...
  7. mdukuzi

    Hayati Magufuli alivyomtimua mpishi wa Ikulu usiku baada ya kuzidisha chumvi kwenye chakula

    Leo nimeukmbuka wimbo wa Super Rainbow ulioimbwa na Eddy Sheggs ¶akafatia na kuweka chumvi kwenye chai,tulikuwa na wageni wakatoka bila kuaga,akafatia na kuweka sukari kwenye mboga tukaona haviliki tukalala na njaa.¶ Back to the topic...uajua waafrika wengi ukifikisha umri wa kustaafu Miaka...
  8. Hemedy Jr Junior

    Jinsi ya kumwandaa mwanamke kisaikolojia kwenye harakati za kula "chakula cha usiku"

    Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. • Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
  9. HIMARS

    Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  10. DR HAYA LAND

    Kwakuwa sauti zimeongezeka kuhusu Bei ya Chakula hasa mchele na unga, basi Serikali naomba ituruhusu wafanyabiashara tuingize mchele kutoka nje

    Nimewasiliana na ndugu zangu kutoka China, nimeona endapo Serikali itatupatia clearance tunaweza kumletea mraji wa mwisho mchele grade one kwa thamani ya Pesa isiyozidi 2000. Naomba tutumie mfumo kuruhusu Biashara uria. Pia sukari kutoka Brazil ni bei rahisi sana hivyo hakuna haja Tena ya...
  11. E

    Rais Samia zuia vibali vya chakula kwa sasa, utalaumiwa lakini Taifa litakukumbuka kama mkombozi wa kiuchumi

    Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo. Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita. Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia. Wamisri walikuwa utumwani misri...
  12. Naanto Mushi

    Naunga mkono msimamo wa serikali juu ya kutoingilia bei ya chakula, tatizo ni kwamba katiba yetu bado inasema 'Tanzania ni nchi ya kijamaa'

    Masuala ya bei ni masuala yanayohusu uchumi wa soko, yaani bei huwa inaamuliwa na nguvu za demand and supply au huwa tunaita 'Price mechanism'. Muasisi wa falsafa hii ni baba wa uchumi, na mwanafalsafa wa Uskochi Adam Smith kupitia kitabu chake kilichoandikwa zaidi ya miaka 240 iliyopita (1776)...
  13. Roving Journalist

    Waziri Bashe: Bei za vyakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi 2023

    BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
  14. N

    Serikali yaeleza sababu kuu 4 za kupanda kwa bei ya chakula nchini

    Serikali yaeleza sababu kuu 4 za kupanda kwa bei ya chakula nchini :- 1. Athari za janga la Uviko-19 2. Athari za vita ya Ukraine 3. Mabadiliko ya tabia nchi 4. Kupanda kwa bei ya mafuta duniani Kupanda kwa gharama za maisha imesababishwa na kupanda kwa mfumuko wa bei duniani na ndio maana...
  15. Idugunde

    Bashe umefeli juu ya suala la chakula

    Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu? ==== Waziri wa kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema uwezo wa kuhifadhi chakula umeongezeka kutoka tani laki 200,000 mpaka laki 500,000 hivyo wakati wa msimu wa kuvuna watanunua mahindi na mpunga...
  16. Mamujay

    Usile Chakula cha Msibani au kwenye Sherehe bila kuomba

    Haloo habari ya saizi Kama mada tajwa hapo juu Kama umepata nafasi kuhudhuria maharusi, msiba hakikisha unaomba kabla hujala utanishukuru baadae
  17. Lycaon pictus

    CDM mkija na sera ya kufunga mipaka ili bei ya chakula ishuke mtapotea vibaya sana

    Pengine mmesahau, hii sera ya kufunga mipaka ambayo Bashe anaitekeleza ni sera ya CDM. Wakati wa uchaguzi wa 2020 Salumu Mwalimu kila alikokwenda alisema kuwa CDM ikishika madaraka wananchi watauza mazao yao kokote kule, ilimradi tu wamelipa kodi ya serikali. Ilikuwa sera moja bora sana. Sasa...
  18. Bwanamaya

    Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Wapendwa kama ambavyo nimeandika hapo, naomba msaada wa kitaalamu jinsi ya kuendesha biashara hii. Sijafungua ila nimesha fanya maandalizi ya chumba pamoja na vifaa baadhi, ishu kubwa itakuwa kwenye ku-manage pesa na wafanyakazi nk.
Back
Top Bottom