chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama Mbowe atahamia CCM, labda akipewa Uwaziri. Ni AI lakini hakuna ajuaye kesho yetu!

    Sidhani kama Mbowe atahamia CCM, labda akipewa uwaziri. Ni AI lakini hakuna ajuaye kesho yetu! AI lakini kesho inawezekana ikawa AI ya kweli!
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ijifunze kutoka Mataifa yaliyoendelea. Hakuna chama cha siasa kinafanya harakati kwa sasa

    Kutumia mbinu za miaka ya 40 na 50 katika era ya Science na Technology ni kukosa ubunifu.
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Niwaombe radhi niliowabishia kwamba Chadema ni SACCOS ya Mbowe

    Niombe mpokee radhi yangu. Katika harakati zake kumbe kuna watu waliujua mchezo wa Mbowe kuwauza wanachama. Siwezi kubisha tena kwamba Mbowe alimuuzia ugombea urais Lowasa. Siwezi kubisha tena kwamba kuwapa vyeo vikubwa kina Dr.Mashinji na Katambi haikuwa bahati mbaya. Sote tunaona Mbowe...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kisiasa, influence ya Freeman Mbowe ndani ya chadema ni amazing sana.

    Hahusiki na chochote ndani ya chadema lakini viongozi na wana chama wa chadema wanaweweseka na ukimya wake, lakini zaidi sana kuonekana kwake kwenye hafla za nchi kitaifa kumewatia kiwewe zaidi. Huenda viongozi wa chadema na wanachadema wote kwa ujumla wamesaha kwamba, Freeman Mbowe wakati wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kudumu ndani ya chama ni mambo ya CCM, ndio athari za kina JK. CHADEMA tujisahihishe, tubadili katiba yetu, tumnyopoe Mbowe Kamati Kuu.

    WE WANT A CLEAN BREAK WITH THE PAST Haya sasa, tumekwama naye maisha. Kwa aliyofanya jana huwezi kusema ignore the traitor. Huwezi kumu ignore. Ni kiongozi wa kudumu ndani ya chama kwa mujibu wa katiba. Na kwa sababu tumempa hadhi kubwa ya kiongozi wa maisha, kila atakalosema na kulifanya...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Historia ya CHADEMA: Ilipotoka ilipo na iendako

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ndicho chama kikuu na chenye nguvu zaidi cha upinzani nchini Tanzania. Kikiwa kimeanza kama kikundi kidogo cha wasomi, kimekua na kuwa tishio kubwa zaidi la kitaasisi dhidi ya utawala wa miongo mingi wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chama...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwakibinga: Heche anatumiwa na CCM kudhoofisha upinzani na kuhakikisha kuwa Lissu anaendelea kusalia kizuizinini

    Mchambuzi wa masuala ya jamii na siasa, Filipo Mwakibinga, anatoa tahadhari kwa wanachama wa CHADEMA kuhusu mienendo ya viongozi wao mbele ya vyombo vya habari. Mzungumzaji anahoji kwanini John Heche yuko huru wakati Tundu Lissu anashikiliwa na polisi, licha ya kuwa wote wawili walitoa matamshi...
  8. MSUKUMA02

    JamiiForums Tanzania Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego

    Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sogezeni Mbele Mkutano wa Baraza Kuu hadi pale itakapoamuriwa Upya!!

    Sogezeni Mbele Mkutano !!. Kuna Mapinduzi ya Uongozi chamani . Mbowe kumulikwa na Media Leo ,na kupewa mapicha mapicha, ni sehemu ya Mpango Ovu. SOGEZENI MBELE MKUTANO WA BARAZA KUU. Sababu mnazo za kutosha !!. Hamna ruzuku!!.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chadema jipange kuwakabiri Mamluki hawa kuwakomesha kisheria. Msiwadharau, wana backing ya wahuni

    Makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefungua shauri katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma wakilalamikia kitendo cha kuvuliwa nafasi zao za uongozi kiholela na bila kupewa fursa ya kusikilizwa, kinyume na katiba ya chama hicho. Akiashiria msingi wa shauri hilo mbele ya...
  11. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Chadema kwa Matusi Haya Bila Kumchukulia Hatua Huyu Mnakosa Sifa ya Kujiita Makamanda. Shikisheni Adabu!

    Kweli huyu Yericko Nyerere anajitokeza hadharani na kumuita kiongozi wenu kwa matusi na nyie mko kimya? Tena ni mwenyekiti wenu Taifa anayeteseka kupambania sio Chadema pekee bali nchi kwa ujumla! Hatukatai watu kumpinga, hilo lawezekana kabisa ndio maana hata mwenyekiti wao anapingwa ingawa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanze kumobilize maandamano ya nchi nzima

    Hawa ccm wanatakiwa kupewa somo for once and for all. Watanzania wengi tupo tayari ku-sacrifice maisha yetu kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo. Huu upuuzi unatakiwa ukomeshwe for once and for all. Sasa wanachotakiwa Chadema waanze kumobilize waandamanaji taratibu kwenye mikutano yao ya hadhara...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA kimepitia misukosuko mingi kipindi hiki, hatutarudi nyuma. Tutaenda nao wanavyotaka

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hawaogopi chochote na kwamba wataenda nao wanavyotaka, "sisi tunawaambia, tutaenda nao wanavyotaka" Aidha, Heche amesema tangu wamechaguliwa kuongoza chama hicho wamewekewa mizengwe mingi sana ikiwemo kufungiwa kwa zaidi ya siku 300 na...
  14. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Hongera mahakama kwa kumtia hatiani Tundu Lissu

    Friends and Enemies, Lilikua ni suala la muda tuh kwa Tundu lisu kuweza kutiwa hatiani na kukutwa na kesi ya kujibu. Ni wazi kabisa alihusika kwenye uhaini,kuchochea fujo na vurugu kiasi cha kupelekea uvunjifu wa amani na vifo vya watu wengi wasio na hatia Kwa kuwa platform aliyoitumia ilikua...
  15. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Sioni dalili ya Lissu na CHADEMA kunyoosha mikono, Serikali iangalie njia nyingine

    Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman...
  16. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Si Mlisema Lissu Ni Kama Nelson Mandela? Sasa Mnalialia Nini? Basi Acheni Afikishe Kwanza Miaka 27 Gerezani Kama Mandela

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ningewaomba mkae kwa utulivu na muache kulialia na kupiga makelele yenu Maana Mlisema Lissu ni kama Mandera. Hivyo Acheni Lissu naye akae miaka 27 kama ilivyokuwa kwa Nelson Mandela. Sasa hata Miaka mitano bado kuifikisha akiwa gerezani nyie tayari Mmeanza kutia...
  17. Nicolas J Clinton Gabone

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isijisalimishe kisiasa

    CHADEMA ISIJISALIMISHE KISIASA, HISTORIA HAIANDIKWI KWA KUNYAMAZA RAI YA, Nicolas Jovin Clinton Gabone Kwanza kabisa, historia ya mijadala ya maridhiano ya kisiasa hapa Nchini inahitaji kutazamwa upya. Je, maridhiano hayo yamewahi kuleta mabadiliko, au yamekuwa yakitumika kupunguza presha ya...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tone tone ya Chadema imekwama? Na vipi ile ya CHAUMMA?

    Hii ni fedheha kwa uongozi wa kitaifa wa chadema. Ingekua ni Ulaya wanapaswa kujiuzulu. Ni wazi chama kimewashinda. Swali ni je, hivi ni kweli viongozi wa chadema taifa wameshindwa kabisa kuhamasisha wana chadema kuchangia milioni 334 tu? Au hawakubaliki wala hawaheshimiwi tena na wanachama...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 THRDC: Tunaishauri CHADEMA na Tundu Lissu kutafuta suluhu kwa njia ya mazungumzo

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma. Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Wa Zamani Auwawa Kwa Risasi Zambia. Halafu Utasikia CHADEMA Wanasema Tanzania Hakuna Amani. Lini Mlisikia Waziri Akipigwa Risasi Tanzania?

    Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuwa na Maneno mengi sana Embu Soma hapa 👉 Waziri wa zamani wa Uchukuzi wa Zambia na aliyewahi kuwa Mbunge wa Lunte, Mutotwe Kafwaya amefariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati wa operesheni ya pamoja ya Vyombo vya Usalama iliyofanyika katika Makazi ya...
Back
Top Bottom