CHADEMA yaita Press Conference kesho Julai 10, 2026

CHADEMA yaita Press Conference kesho Julai 10, 2026

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,170
Reaction score
60,528
Kesho Ijumaa tarehe 10/7 saa tano asubuhi Katibu Mkuu wa Chadema Mhe John Mnyika atazungumza na Watanzania kupitia vyomba vya habari Makao Makuu ya chama Mikocheni.

Wote mnakaribishwa.

HMyNWi7W4AAtfJn.jpeg
 
bilashaka yoyote,
heche kuvuliwa uongozi chadema kwa ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama :1Head:
Bunkum
Mpiga ramli wa Busweri au my wa Kihongosi na dua la kuku.
 
Back
Top Bottom