Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu.
Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa.
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na kamati maalumu ya wanaCCM hawakuzidi hata watu ishirini.
Ndio maana inawafanya CCM kudhurumu uchaguzi na kukaa madaraknai kwa nguvu. Katiba inasababisha kuwa tume ya uchaguzi isiwe huru
Leo...
Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco
Nyomi ya watu ilikuwa si ya kawaida, hali ya hewa na mazingira vilikuwa vizuri sana, na mwitikio wa wananchi umeonyesha wazi kuwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema wakati maandamano yakiendelea Oktoba 29, Boni Yai pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Amani Golugwa, walimpigia simu na kumueleza kuwa watu kutoka Ikulu walikuwa wanataka kuzungumza na viongozi wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Pwani kimesema kasoro zilizobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikikwamisha maendeleo ya halmashauri pamoja na Mkoa wa Pwani kutokana na usimamizi usioridhisha wa mapato ya umma.
Kauli hiyo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesikitishwa na kauli ya ndugu Samia Suluhu Hassan aliyoitoa hivi karibuni kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa William Samoei Ruto.
Ndugu Samia alimtaka Rais Ruto awakamate na kuwachapa mikwaju wanaharakati mwanaotoka Tanzania na akasema kuwa...
Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu uliofanyika AICC jijini Arusha.
Anasema tukio la ajabu kabisa, wakili mmoja alikuwa akipigwa mahakamani kama watu wanaua nyoka. Niliona wakipiga wakili Mahinyila. Na wengine ukiwauliza...
Yule shehe aliyesema atawakata watu vichwa hata kuhojiwa hajahojiwa, hiyo ndio maana halisi ya double standard ya jeshi la polisi.
Kama Chadema ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa, baada ya tukio la Temba, leo viongozi wote wa Chadema kuanzia Heche hadi Mkiti wa tawi wangekuwa...
Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu kichwa chake kitakuwa kina shida. Mimi nakiheshimu sana chama cha CHADEMA kimeleta upinzani nchini...
Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa.
Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo..
Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil...
05 May 2026
Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA
MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA
https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s
Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
chadema
chande
jaji
jaji chande
kamati
kamati kuu
kikao
kikao cha kamati kuu
kuu
maamuzi
mkuu
mwanasheria
mwanasheria mkuu
mwanasheria mkuu wa chadema
rais
rais samia
ripoti
ripoti ya jaji chande
samia
Uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi ambao binafsi sitokuja niusahau. Kwani ni uchaguzi ambao CCM walipata pigo, na aibu ya Karne.
Kwa miaka mingi CCM wamekuwa wakiiba kura za wapinzani, kitendo Cha Strong opposition party kushiriki uchaguzi kilikuwa ni faida Kwa CCM, kwani turnover ya wapiga kura...
Mbinu ya CHADEMA YA "Win the crowd, and fate will kneel before you" IPO ASILIMIA 70% KUELEKEA KUIANGUSHA CCM.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Katika Falsafs za siasa. Zipo mbinu nyingi Sana za kuishinda serikali iliyopo madarakani.
2. Elewa, Serikali inaweza kutawala nchi, lakini...
Kwanza ninachokiona Kabisa mama Hajui Chochote kuhusu nchi. Nimefatilia kiundani sana unaona waliompinga ndani walikuwa sawa ila Wengi sasa wanamsapoti kwa kuyapenda maisha yao sababu waliompinga sasa hawapo.
Je, kunanini nyuma ya pazia.
Ata Ulaya matajili wachache wanafanya shinikizo la kila...
Natoa wito kwa walimu Tanzania nzima kujiunga na Chadema na kuchukua kadi na kuichangia Chadema kwa gharama yoyote.
Haina maana walimu kuwa tunakatwa pesa nyingi kuichangia CWT wakati ni kibaraka cha mafisadi wa CCM
Najua kwa uweza wa Mungu mtanisikiliza na kuanzia Jumatatu mtaanza kujiunga...
02 May 2026
KONGAMANO KUBWA LA VIJANA WA CHADEMA CHASO 2026, UKUMBI WAFURIKA
https://m.youtube.com/watch?v=O9I_Z6gJWfA
CHADEMA Students Organization (CHASO) Tarehe 02/05/2026 wasomi wa vyuo vikuu na vya kati Mkoa wa Dar es Salaam na vyuo jirani watakutana katika kongamano la 2026 kujadili hali...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema chama hicho kitaanza rasmi operesheni ya mikutano ya hadhara nchi nzima mwezi huu, ikiwa ni sehemu ya mikakati yake ya kisiasa na kijamii inayolenga kuhamasisha mabadiliko ya Katiba pamoja na kudai uhuru wa...
CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti ya Jaji Chande Siku ya Jumanne Mei 5, 2026, Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, 2026 na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, alipokuwa akifanya Mkutano na Waandishi wa habari kuhusu maazimio ya Kamati Kuu uliofanyika Aprili 28...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.