chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Nicolas J Clinton Gabone

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isijisalimishe kisiasa

    CHADEMA ISIJISALIMISHE KISIASA, HISTORIA HAIANDIKWI KWA KUNYAMAZA RAI YA, Nicolas Jovin Clinton Gabone Kwanza kabisa, historia ya mijadala ya maridhiano ya kisiasa hapa Nchini inahitaji kutazamwa upya. Je, maridhiano hayo yamewahi kuleta mabadiliko, au yamekuwa yakitumika kupunguza presha ya...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tone tone ya Chadema imekwama? Na vipi ile ya CHAUMMA?

    Hii ni fedheha kwa uongozi wa kitaifa wa chadema. Ingekua ni Ulaya wanapaswa kujiuzulu. Ni wazi chama kimewashinda. Swali ni je, hivi ni kweli viongozi wa chadema taifa wameshindwa kabisa kuhamasisha wana chadema kuchangia milioni 334 tu? Au hawakubaliki wala hawaheshimiwi tena na wanachama...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 THRDC: Tunaishauri CHADEMA na Tundu Lissu kutafuta suluhu kwa njia ya mazungumzo

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma. Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Wa Zamani Auwawa Kwa Risasi Zambia. Halafu Utasikia CHADEMA Wanasema Tanzania Hakuna Amani. Lini Mlisikia Waziri Akipigwa Risasi Tanzania?

    Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuwa na Maneno mengi sana Embu Soma hapa 👉 Waziri wa zamani wa Uchukuzi wa Zambia na aliyewahi kuwa Mbunge wa Lunte, Mutotwe Kafwaya amefariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati wa operesheni ya pamoja ya Vyombo vya Usalama iliyofanyika katika Makazi ya...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tilisho na Wafanyabiashara wote, waungeni Mkono CHADEMA mfanye biashara kwa uhuru

    CCM na Serikali yake washakata pumzi. Wana CCM wanategemea kula kupitia kwenu. Nawashawishi Wafanyabiashara wote Tanzania kuiunga Mkono CHADEMA. Watanzania tushikamane tusaidiane CHADEMA ili tujikomboe. Vinginevyo kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Mambo ya pingu mlikuwa mkicheka mkiona...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maporomoko ya Ardhi Yaua Watu 107 CAMEROON. Ingekuwa ni Tanzania Ungeona CHADEMA Wanailaumu CCM na serikali yake Maana Akili za CHADEMA wanazijua Wao.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwanza nitoe Pole Kubwa sana kwa Taifa la CAMEROON kufuatia vifo vya watu 107 vilivyotokea baada ya kuporomokewa na Udongo katika eneo la kuchimba Madini . Sasa ingetokea hapa Nchini ungeshangaa na kushangazwa sana kuona CHADEMA wanaanza kuilaumu CCM na serikali yake...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema badala ya kuomba michango mitaani jifunzeni kwa Madam Esta Bulaya amewekeza kwenye kilimo cha kisasa

    Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini. Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Maridhiano bila Tundu Lissu inawezekana, CHADEMA njooni

    "Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo! "Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ally Hapi: Kauli ya Mary Chatanda kuwafuta CHADEMA ilikuwa ni tambo tu za kisiasa

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Salum Hapi, amesema kauli ya Mary Chatanda kuhusu kuwafuta CHADEMA ilikuwa ni tambo za kisiasa na haipaswi kutafsiriwa kama yenye nia mbaya. Hapi amesema hakufahamu muktadha kamili wa kauli hiyo kwa kuwa hakuiona video ya Chatanda akieleza, hivyo...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania CCM hatukutaka kabisa Lissu na Heche wawe wenyeviti. Hawa jamaa hawafai wataiua CHADEMA. Tunaona pengo la Mbowe.

    Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali. Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kuhusu update ya michango ya CHADEMA

    Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi? Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mbowe afukuzwe uanachama CHADEMA. Afulumushwe aende akaungane na vibaraka wenzake Chaumma.

    Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe. Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM. Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jumuiya ya Kifalme ya Afrika yapongeza Tanzania kwa kuwashirikisha Majaji wa Afrika kwenye tume ya uchunguzi wa Kijinai matukio ya 29 Oktoba, 2025

    Jumuiya ya Kifalme ya Afrika imepongeza uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kuwashirikisha wataalamu wa sheria na majaji kutoka nchi nyingine za Afrika katika Tume ya Uchunguzi wa Kijinai inayochunguza matukio ya vurugu na uhalifu yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tuhuma zinazomkabili John Heche, wenyeviti 15 wa CHADEMA Morogoro wasusia kikao cha mkoa

    Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro, Barnabas Okola, amesema kikao cha wenyeviti wa mikoa kilichofanyika Agosti 13 kilitarajiwa kuhudhuriwa na viongozi 30, lakini waliohudhuria walikuwa 15. Amesema katika kikao hicho baadhi ya wenyeviti waliibua hoja kuhusu tuhuma za Makamu Mwenyekiti, John...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Chadema wenatengeneza bomu la nuklia la kisiasa hawataweza kuzuilika tena

    Tatizo la watu wengi hawaelewi tofauti ya Chadema ya Mbowe na Chadema ya Lissu. Chadema ya Mbowe alikuwa anapigana na CCM Kwa bunduki na mikuki. Chadema ya Lissu inatumia mbinu mpya imepeleka agenda yake moja kwa moja na watanzania na wameanza kuelewa agenda za kitaifa za muhimu. Kwa sasa...
  16. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania inahitaji Chama Dola au Dola Huru?

    Habari za wakati huu; Nachokoza mjadala kidogo ambao naamini kabisa ndio mjadala unaoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu. Mara nyingi nimekuwa nikisikia tuhuma kwamba Chama Tawala CCM kimeungana na serikali sana na hivyo kinaitwa chama dola.Katika siasa tunapozungumzia Chama Dola tunazungumzia...
  17. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mrema: Mnyika aliuza Account za CHADEMA za mitandao ya kijamii

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kueleza ukweli kuhusu kilichotokea kwenye akaunti za chama hicho za Instagram, X na YouTube, akimtuhumu kunufaika na...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo ndani ya CHADEMA, huenda John Heche akajiuzulu kabla ya kubanduliwa madarakani na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa mwezi ujao..

    Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%. Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
  19. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Mwashambwa na TlaahTlaah: Yuko wapi Kada huyu na kipi kinaendelea sasa kwenye Maisha yake, alipotoka kwenye matibabu India 2011?

    2011-Kwenye Uchaguzi mdogo wa Ubunge- Jimbo la Igunga.Musa Tesha-Kada wa CCM akatolewa Mbuzi wa Kafara na wao kwa kumwagiwa Tindikali usoni ..ili tu CHADEMA ihusishwe kwa Ugaidi huo ifutwe. Uchunguzi ukawa unaelemea kwao..Kesi ikakoswa Dira na Mpango mzima uka buma: Swali: Kwa Lucas Mwashambwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna dau la milioni 1 kwa Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA kumpinga na kupiga kura ya kutokuwa na imani na Heche

    Taarifa za uhakika na za moto moto zilizotufikia Jana ni kwamba ni kweli kuna vigogo CHADEMA wamekula Pesa za CCM ili kuivuruga CHADEMA. CCM Walichofanya ni kuwanunua baadhi ya Viongozi wakubwa wa CHADEMA na kuwapa Pesa za kutosha ili kumvuruga Heche anayekwamisha Maridhiano na Samia. Rafiki...
Back
Top Bottom