chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Katibu wa chadema ndiye aliyetakiwa kutoa tamko la uwepo au hairisho la kikao cha baraza kuu la chadema

    Kwani taratibu za vikao ndani ya CDM zimebadilika lini? kwa nini katibu wa Chadema hatumuoni kutoa tamko rasmi juu ya kikao cha baraza kuu?
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kuvaa nguo zenye nembo ya CHADEMA siyo lazima uwe mwanachadema

    Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao. Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA. Maana ili uwe...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CHADEMA inawaogopa wanaowaita wasaliti?

    Adhabu ya msaliti ndani ya chama chochote ni kushighulikiwa kwa mijibu wa katiba ya chama hiko. Leo tunapomsikia makamu mwenyekiti wa Chadema akilalamika kuwa kuna wasaliti ndani ya chama chake na kuchukua hatua ya kuhairisha mkutano wa baraza kuu forever inaakisi uwoga na kukosa machineries za...
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Baraza kuu la CHADEMA linapigwa chenga huku linalishwa na hela za donation na ununuzi wa Gali la Lissu ulipigwa chenga mwisho wa siku hela zikagongwa

    Kipi kinachozuia mkutano wa baraza kuu la CHADEMA ili hali mkutano utaendeshwa kwa Hela za donation mlizowatapeli wajinga? Warudishieni watu hela zao. Mnazugazuga mwisho wa siku hakuna mkutano ili hali mna hela za watu kama ilivyokuwa kwenye donation ya kununua gari la LISSU mlizugazuga mwisho...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maneno haya yanamhusu Mbowe na genge lake. Hawatafanikiwa kuibomoa Chadema kwa fedha za CCM

    Mbowe anapoteza muda👇
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yasogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, Viongozi Kushiriki Kesi ya Mwenyekiti wao Lissu

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeazimia kusogeza mbele kikao cha Baraza Kuu la chama hicho hadi tarehe nyingine, ili kutoa nafasi kwa viongozi wakuu wa Chama kushiriki kikamilifu katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA. Akizungumza na waandishi wa habari...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa kusogeza Mbele Mkutano wa Baraza Kuu kama nilivyoshauri, CHADEMA imepiga msumali wa Kichwa kwa CCM, Samia ,na Msajili wa Vyama!!

    Lissu ndio Mwenyekiti !!. Na Heche ndio Makamo Mwenyekiti !! Kama nilivyoshauri HAPA Ngoja tusubiri tuone CCM na Genge lao la Dola, watakuja na GIA gani !! Ila kwakua ni Wajinga, Watakuja na Mpango wa kipuuzi kuliko wa awali !! Sisi tuko tayari kwenda nao kiulaloulalo !!.
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa chadema hakuna, pesa ama haikutosha au imeliwa.

    Nilijuwa tu ingekuwa hivi. https://www.youtube.com/live/WsIGb9vVMec?si=PlUY2O1nojL2QYr_
  9. Tindo

    JamiiForums Tanzania Wakati Chadema wamefukuza Covid 19 kwa kugoma wito wa chama chao, CCM waliwatetea hadi wakamaliza muda wao bungeni, leo wanasema Nchimbi

    Wakati wa sakata la Chadema kuwafukuza Covid 19 baada ya kugoma kufika kwenye kamati yao maadili, ccm na spika waliwalinda hadi wakamaliza muda wao wa ubunge. Ccm wote wakawa wanawachafua cdm kuwa hakuna demokrasia. Usiku wa deni haikuwahii kukucha, ccm wote sasa wanaonyesha kuwa wamemfukuza...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Heche amjibu Mzee Butiku: “Watanzania mpuuzeni, Chadema haifadhiliwi na Marekani”

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amemjibu Mzee Joseph Sinde Butiku kuhusu madai kwamba chama hicho kinapokea fedha na misaada kutoka Marekani. Heche amewataka Watanzania kupuuza madai hayo, akisisitiza kuwa CHADEMA haifadhiliwi na Marekani. Kauli hiyo imeibua mjadala baada ya...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hajui kuwa hakuna kiapo kisicholindwa na Sheria/kanuni sijajua kwanini chadema wanamtumia huyu madam

    Maria Sarungi ameandika post ambazo zimenifanya nimjue kuwa hana akili sawasawa, hajui mambo mengi sana, wajinga tu ndo wanaweza kuamini post zake. Kwasababu chadema Ina ujinga ujinga na upumbavu mwingi ndo maana wanamtumia sana Maria Sarungi Anyway ngoja nitoe elimu kidogo. Viapo vyote...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu: Kwa miaka 10 iliyopita, hakuna uchaguzi bora uliofanyika kama wa CHADEMA

    Mwanahabari mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu amesema Tanzania inapaswa kujipa muda katika kujenga mifumo bora ya kidemokrasia, akitolea mfano uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa mapema Januari 2025, kama miongoni mwa chaguzi za mfano zilizofanyika kwa uwazi...
  13. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo John Heche ameitisha Press ili kumjibu Mzee Butiku, CHADEMA ina wahuni wengi sana

    Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa? Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA chagueni mwenyekiti mwingine, Makosa ya uhaini yamemkosesha Lissu sifa ya kuwa kiongozi

    Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu. Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanazungumza na waandishi wa habari kutoka makao makuu

    Maandalizi ya kikao maalum cha Kamati Kuu ya CHADEMA yamekamilika katika Edwin Mtei House, Makao Makuu ya Chama, Mikocheni, Dar es Salaam. Kikao hicho kinafanyika leo, Jumamosi, Agosti 29, 2026, na kitaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. "Mzee Warioba kwa umri wake hana...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Vs CCM Mitandaoni: Uchambuzi wa Kudorora kwa Ushawishi wa Chama Tawala mbele ya Nguvu ya Hoja Kidigitali

    Wakuu, Kufuatia mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini, kuna mjadala mzito unaoendelea kuhusu "nani zaidi" kwenye makali ya hoja mitandaoni (X, JF, TikTok, na Instagram) kati ya CHADEMA na CCM. Ukweli uliopo ni kwamba CHADEMA inatawala mijadala kwa kasi na ushawishi mkubwa wa kisaikolojia, huku...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Butiku: CHADEMA wanafadhiliwa wala sio siri

    Mkurugenzi Mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, Hii nimeisikia kutoka kwenye moja ya podcasts zilizohusisha mahojiano kati ya waandaaji na aliyewahi kuwa katibu wa Rais Nyerere ndugu Butiku. una maoni gani?
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni lini mmewahi kuona CCM wako busy na mambo ya CHADEMA au chama cha upinzani?

    Mtakuwa wajinga mpaka lini? Ni lini mmewahi kuona CCM wako busy na mambo ya CHADEMA au chama cha upinzani? Nyie wapinzani mko kama fisi anayemnyemelea mtu anayetembea gizani akirusha mikono, mda wote fisi anamwaga mate akitarajia hatua mbili mbele mkono utadondoka auokote aule. The same kwa...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: CHADEMA wana viongozi bora kuliko CCM

    Nimeangalia mahojiano ya Tundu Lissu na John Mnyika kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Lissu, nikajiuliza vipi hao wanaohojiana ndiyo wangekuwa ni viongozi waandamizi wa CCM? Hii kesi inaonesha ni kwa kiasi gani CHADEMA ina viongozi bora na weledi kuliko viongozi waliopo CCM.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoa ufafanuzi kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ametoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu lini nafasi ya Makamu wa Rais inakuwa wazi, akisema tarehe rasmi ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais ni Septemba 4, 2026, kwa mujibu...
Back
Top Bottom