Migogoro ndani ya CHADEMA

Migogoro ndani ya CHADEMA

1Monster

New Member
Joined
Jul 8, 2026
Posts
3
Reaction score
3
CHADEMA kwa sasa imeendelea kutikiswa na migogoro mbalimbali ya ndani ambayo imevuta hisia za wanachama na umma kwa ujumla.

• Kumekuwa na kesi na mjadala kuhusu mgawanyo wa mali za chama.

• Kumekuwa na tuhuma zilizotolewa hadharani dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama kuhusu matumizi ya fedha za chama, huku kukiwa na wito wa kutolewa kwa ufafanuzi.

• Ndani ya chama kumekuwa na madai ya kuwepo kwa makundi yanayopingana kuhusu uongozi wa Mwenyekiti

• Tofauti za kimsimamo na kauli za viongozi mbalimbali zimeendelea kujitokeza, zikiwemo zinazowahusisha Viongozi wa juu wa chama jambo lililozidisha mjadala kuhusu mshikamano wa chama.

Mlolongo wa matukio haya unafanya Chama kisiaminiwe na wananchi kabisa kwa sababu chama hakina maelewano kabisa.
 
Back
Top Bottom