chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mmawia

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama. Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama. Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro. Tujadili wana Jf --------------- Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mwanga, Mkoani Kilimanjaro...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini hila za Chadema dhidi ya Amani na Umoja wa waTanzania hushindwa kila wanapojaribu kuchochea chuki, ghasia, maafa, na migawanyiko?

    Je, hii inawathibitishia Chadema kua wajinga wa kuharibu taifa lao kwa vurugu na fujo waliisha Tanzania? Je, hii inamaana kwamba hakuna hila zenye nguvu ya kuuteteresha umoja, mshikamano na amani ya waTanzania, hivyo tamaa za vyeo na madaraka za vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi haviwezi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Sitamani kurudi CHADEMA, chanzo ni kauli ya Makamu Mwenyekiti wake

    Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo wakati akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026, na Nijuze, amesema hawezi kurudi CHADEMA kutokana na sentensi iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho kuwa anaiua CHADEMA "Kutamani kurudi nitakuwa muongo. Sitamani kurudi...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maandamano haramu ya CHADEMA yakwama, wananchi wadinda kujitokeza kufanya ghasia, waendelea kuchapa kazi zao kama kawaida kwa amani

    Licha ya hali ya hewa kua na mvua za hapa na pale maeneo mengine ya Dar Es Salaam, hali ya kiusalama ni shwari na wananchi wanaendelea na shughuli zao za kila siku kama kawaida, NYOMI LA SABASABA SIO LA KITOTO, huku mtaani maduka yakiwa yamefunguliwa kama kawaida watu wakipata mahitaji yao...
  5. Uhumbwe

    JamiiForums Tanzania Chadema hawajui wanataka nini

    1. Mara nyingi huwa najiuliza hivi kweli chadema wanajua wanataka nini? Mara nyingi wamekuwa wanachagua njia yenye miba sana kwa wafuasi wao ili wakijichoma wao wapige kelele 2. Kwanza lazima wakubali Nchi ina Uongozi kwahiyo kuheshimu mamlaka ni lazima sio hiyari..... maana mwisho wanaoteseka...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Chadema wanashida sana za kisaikolojia vianzishwe vipindi vya redio vitoe guidance and counseling Kila siku jioni tuwaokoe

    Wafuasi wa Chadema wanahitaji tiba akili, otherwise tutakuwa na watu wenye upungufu wa afya ya akili wengi sana nchini na Africa mashariki. Imagine from nowhere mtu anaanza kutukana watu na ikizingatia mtu anayemtukana hata hana habari naye huu ni ugonjwa si akili ya kawaida. Imagine mtu wa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Lembrus Mchome atimuliwa Chadema

    Uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro unapenda kuufahamisha umma kuwa haumtambui ndugu Lembruce Mchome kama Mwenyekiti wa Jimbo la Mwanga, kinyume na jinsi anavyojitambulisha katika shughuli mbalimbali. Aidha, uongozi unapenda kuutaarifu Umma kuwa Mwenyekiti halali anayekaimu nafasi hiyo kwa sasa ni...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CHADEMA moja ya mafanikio yao, wamefanikiwa kuichonganisha Serikali na wananchi wake. Chuki ipo juu sana

    Hamjambo! Walianza na harakati za ufisadi miaka hiyo. Enzi hizo. Kukemea mafisadi, kuyataja mafisadi. Waliopo na ambao hawapo. Enzi hizo kina Slaa na wenzake. Walipaza sauti. Kipindi hicho utekaji na mauaji yalikuwa kama Hayapo alikuwepo Mzee Kikwete. Na kama yalikuwepo basi ni kwa kiwango cha...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tanga, ahamia CCM

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tanga, Rashid Jumbe Hamza, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, hali iliyomfanya kuona hana sababu ya kuendelea kuwa upande wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA kuendelea Agosti 5, 2026

    Kesi ya Mgawanyo wa Rasilimali za CHADEMA iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Katibu Mkuu imeahirishwa mpaka Agosti 5, 2026. Taarifa hiyo imetolwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Said Issa aiburuza CHADEMA kwa Msajili kutetea uanachama wake

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amemtaka aliyekuwa kada wa chama hicho Said Issa Mohammed kufuata taratibu za kikatiba ili kupata suluhu ya uanachama wake ambao ulifutwa. Mnyika amesema hayo leo Julai 6, 2026 akiwa nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Vita uchaguzi wa Lissu na Mbowe ulitengenezwa lengo CHADEMA ipasuke

    Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amefunguka kuhusu changamoto zinazovikabili vyama vya upinzani nchini, akidai kuwa kuna njama za makusudi zinazofanywa na serikali ili kuvigawa na kuvidhoofisha vyama hivyo. Amesema hayo katika mahojiano...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Azam FC wamewaiga CHADEMA

    Kitendo cha Azam FC kusema kuna upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika hivyo wanaona ni bora kuhamisha timu yao na kuipeleka Zanzibar ama kwingineko, ni kama kuitikia wito wa CHADEMA kuhusu haki kwenye changuzi za Tanzania. Sababu zilizotolewa na Azam FC kuhusu upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Katazo la kuandamana haliwahusu Simba ba Yanga ila CHADEMA pekee?

    Wakati mwingine huwa siwaelewi CCM wanaposema maandamano ni jambo baya. Au hawajui maandamano ni kitu gani! Kuandamana ni mfuatano wa watu mmoja akimfuata mwingine. Sasa ubaya wa CHADEMA kuandamana unatokana na nini? Kwa siku mbili mfululizo mashabiki wa Simba na Yanga wamekuwa wakifanya...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema atakapobanduliwa chadema unadhani anaweza kujiunga na chama gani cha siasa nchini?

    Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani. Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema, Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Crisis: Heche Accused of TSh 70M Financial

    CHADEMA’s stability is threatened by explosive claims of financial irregularities involving Heche. Accused by Sugu and Lema of mishandling donor money, including TSh 70 million that never reached the party, the crisis has escalated with strong calls for his resignation.
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Waache "ushamba"

    Chadema ya Tundu Lissu na John Heche wamekuwa na utamaduni mbaya sana hasa kuhusu VIFO.Kwanza wamekuwa VINARA wa kushangilia VIFO vyote vya Wanaccm na Viongozi wa Serikali "Utamduni" ambao hatukuwahi kuwa nao wakati wa Uongozi wa Mzee Freeman Mbowe. Lakini pia wamekuja na utamaduni mpya tena...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa kudinda kutibua minywele kama wengine, Godbless Lema anaweza kubanduliwa Chadema?

    Na kwamba, Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele? Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana? Je, suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hakuna mahala Kiongozi wa CHADEMA ametukana . Wanachofanya ni kuuleza umma wa Watanzania namna taifa lao linavyoporwa na wanaCCM wachache

    Nimeshangazwa sana na kauli ya Mwigulu Nchemba (PM) kuwa wanaChadema wanafanya harakati na kutukaa viongozi. Ameenda mbali na kudai huko nyuma Chadema walikuwa wakimtukana hayati JPM Napolingana na hii hoja maana viongozi wa Chadema wanaeleza kwa hoja namna CCM inavyotumika kitafuna pesa za...
Back
Top Bottom