chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itakosekana katika orodha ya kihistoria ya wajenzi wa Ikulu

    Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo. Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia. Maendeleo hayana vyama!
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama CHADEMA haitampitisha Tundu Lissu kura yangu nitampa Magufuli

    Bila kupepesa macho mtu anaeweza kuleta siasa za ushindani kwa chama tawala mwaka huu na hata lolote kutokea kwenye sanduku la kura ni TL. Nawashauri CHADEMA wisifanye kosa la 2015 la kubadili gia angani kumuacha Dr.Slaa aliekuwa kajipanga sawasawa na wakamteua Lowassa kuwa mgombea wao. Matokeo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia SMS akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena

    Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Reginald Massawe amesema mbunge wa zamani wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari alimtumia ujumbe mfupi akiuliza kama anaweza kuhakikishiwa nafasi ya kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena.
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jesca Kishoa Kafulila kuchukua fomu kugombea Ubunge CHADEMA Iramba ni kejeli na dharau kama si matusi kwa vijana wenzako

    Awali NI kupongeze Sana,kwa kitendo chako Cha kijasiri kuwa licha ya changamoto na matatizo lukuki iliyopitia CHADEMA umebaki imara! Ni lazima nikusifu kwa kuwa hats ndani ya familia yako changamoto hizi zilitamalaki. Hongera Sana! Ni bahati mbaya sana huku ndani JF tunatumia majina bandia...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kuzidiwa: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atuhumiwa kumnyanyasa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Daniel Shilla. Ameagiza akamatwe na Jeshi la Polisi

    Hii ni aibu kubwa sana kwa Mtu mzima ambaye ni juzi tu ameteuliwa kutoka ccm Arusha na kuwa RC wa Morogoro .
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mbona Takukuru wanakamata wagombea ubunge wa CCM pekee ina maana Chadema hakuna rushwa?

    Najiuliza tu. Maana kwanza alikamatwa Dr Kigwangalla akigawa baiskeli lakini akajitetea na kutoa vifungu vya sheria vinavyomlinda. Kisha akakamatwa Kibajaji bado sijajua imeishaje lakini leo kakamatwa Serukamba. Ndiposa najiuliza hiyo rushwa inatolewa huko chama tawala pekee? Au CHADEMA bado...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 06: Aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita amechukua fomu kuomba ridhaa kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Aliyewahi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita amekuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya Urais Tanzania kupitia CHADEMA Isaya anayekuwa mgombea wa 6 kuchukua fomu hiyo Kaulimbiu yake ni "Mageuzi ya mfumo wa elimu, upanuaji na uongezaji wa ajira kwa vijana na...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 2: Dkt. Mayrose Kavura achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA

    Mtia nia nafasi ya Urais Dkt. Mayrose Kavura, akikabidhiwa fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA na Mkurugenzi wa Uchaguzi Chadema Munisi, Leo Jumanne 07/07/2020, Makao Makuu ya Chama Kinondoni jijini Dar es salaam.
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 5: Leonard Toja Manyama ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA

    Leonard Toja Manyama amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Bwana Manyama ni mwalimu na mtaalam wa mipango miji, kauli mbiu yake niamini nikuvushe. Ameeleza vipaumbele alivyonavyo endapo atakuwa Rais wa Tanzania. "Atairejesha Rasimu ya...
  10. dosama

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM kushirikiana na magereza na polisi kupandisha bendera Dodoma, jeshi la polisi Same washusha bendera za CHADEMA

    Hapa makada watiifu wa CCM Same wakishusha bendela za CHADEMA ambao wana kikao cha ndani kuelekea uchaguzi mkuu 2020
  11. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum CHADEMA, Sabreena Sungura Atia nia kugombea ubunge jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Wananchi CUF

    Mhe. Sabreena Sungura Atia Nia Kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Kupitia Chama Cha Wananchi CUF. Sabreena Sungura Mwanamama Jasiri Na Mpambanaji. #2020WanawakeTunawaaminia.
  12. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/ Tundu Lissu

    CHADEMA, Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu. Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu. Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey...
  13. jmushi1

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana CCM wanaotaja Membe kuteuliwa na CHADEMA bila kumtaja Lissu, ni propaganda chafu. Membe hawezi kuteuliwa bila ridhaa ya Lissu!

    Wanajamvi, Naona kama kuna panic ya hali ya juu humu jamvini, ya members wengi maarufu humu mfano Troll JF johnthebaptist, wakidai kuwepo na kikao cha mwenyekiti wa CHADEMA na Membe kuhusu nafasi ya kuiwakilisha chadema kwenye uchaguzi mkuu wa rais mwaka huu Oktoba. Lakini kwa uelewa wangu...
  14. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

    Former Foreign Minister ,Top Diplomat and retired Senior Spy meets CHADEMA top officials at Dar es Salaam aimed #Election2020 discussion. The event followed by former Membe (former CCM cadre) who recently returned his Membership Card of the very powerful and influential party in Africa as its...
  15. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

    Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema, Hemed Ally, ametema zake cheche hizo mbele ya wananchi huko Bagamoyo. Msikilize....
  16. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Ruvuma: CCM bado ina nguvu kubwa; CHADEMA yaimarika, CUF yafifia; ACT-Wazalendo yachomoza

    Ni matumaini yangu kuwa kichwa cha habari hii kinatoa tahmini ya jumla juu ya mkoa huu wa Ruvuma. Niko hapa kwa takribani juma moja katika kufanya tathmini binafsi ya kisiasa kuelekea Oktoba mwaka huu. Nimepita Songea na Mbinga; Nikaenda Tunduru na Namtumbo; nikasonga hadi Peramiho na sasa niko...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wanaccm mmejifunza nini kwa CHADEMA? Hii ndiyo maana ya "CHADEMA ni msingi"

    Magufuli, Polepole na Bashiru walinunua weee wakanunua weee wakuchukua viongozi wengi Chadema. Wakajisahau jambo moja kubwa ambalo ni wao kuibua vipaji vyao na kuacha kutegemea toka Chadema. Mungu mkubwa, leo kila kona vijana wapo na Chadema tena vijana machachari, wajengaji wa hoja kuanzia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bilionea Daniel Shilla wa CHADEMA atakiwa kuripoti polisi Ifakara baada ya kuandamana bila kibali

    Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi. Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua fomu na kuzunguka na wapambe mjini humo. Maendeleo hayana vyama! Pia soma > Uchaguzi 2020 - Bilionea...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yawasha moto Mbeya Mjini, mjumbe wa kamati Kuu aanza ziara ya kutoa semina kata zote, hii hapa ni kata ya Nzovwe

    Sitaki kuleta porojo, muda wa maneno matupu umekwisha, kwa sasa ni vitendo, ushahidi huu hapa
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT, mkishindwa kuwa kitu kimoja na kuachiana majimbo mtawafaidisha CCM

    Sijui nini kinaendelea kati ya CHADEMA na ACT juu ya kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu, ila napenda tu kuwatahadharisha kuwa wakishindwa kukaa pamoja na kuja na mpango mkakati wa pamoja juu ya namna bora ya kushirikiana katika uchaguzi huu,basi watakaofaidika na hali hii...
Back
Top Bottom