Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Wameanza Wakala wa Majengo ( TBA) kuwadai moja kwa moja wabunge kodi za pango bila kupitia ofisi ya Katibu wa bunge.
Ulipoombwa mwongozo bungeni waziri wa ujenzi mh Kamwelwe alisema mikataba hiyo ni binafsi kati ya TBA na wabunge hivyo wabunge wapambane na hali zao.
Kinachoendelea ni benk...
Pamoja kuwa chama kikuu cha upanzani kiko katika hari mbaya sana kwa sasa ni kama mtu anapumulia mashine ya ugonjwa wa Korona katika chumba cha wagonjwa mauti uti lakini kinahistoria za ajabu kuibuka kidedea au kukimbiza dakika za majerui.
Chadema kimepita katika misukosuko mikubwa huko nyuma na...
Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.
Semeni yote...
Msifikiri kuwa Waitara Mwita (Naibu Waziri TAMISEMI) kaanza leo kuropoka ropoka (off-course pengine hajaropoka kaongea ukweli), ameanza siku nyingi na ndiyo tabia yake hiyo. Huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa ni Mwanachama wa CCM na kwa sababu hufanya siasa kama biashara akakimbilia CHADEMA kwa...
Itakumbukwa kuwa ngome ya Chadema ilikuwa ni Kilimanjaro na Arusha ambako walikuwa na wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 12.
Lakini hadi leo Kilimanjaro inabakiwa na Mbowe pekee kwani waliosalia wanatimkia Nccr mageuzi ilhali Arusha atabakia Lema.
Hii maana yake ni kwamba Kaskazini siyo ngome ya...
Ujumbe wangu ni mfupi tu kwa viongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA.
Jitafakarini upya kuhusu mwenendo wa chama, mifumo ya uongozi, sera za Chama, namna mnavyoshughulika na masuala ya ndani ya chama, masilahi ya mtu mmoja mmoja chamani, umoja wa chama n.k. Haya mambo yaangaliwe kwa jicho...
Siasa ni sayansi.
Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga.
Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao.
Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana...
Mbowe na Zitto na wengineo mara zote wamekuwa wakitaka mamlaka za nchi ziitishe lockdown ya nchi nzima ili kuepuka uenezwaji wa janga la corona.Jambo jema.
Lakini mimi nina wazo tofauti nataka kuwashauli kwa nini endapo serikali imegoma kuitisha lockdown wao wasiwashawishi wanachama wao wabakie...
Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge.
Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za...
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA
JANGA LA CORONA NA YANAYOENDELEA BUNGENI
1.0 UTANGULIZI
Ndugu zangu Watanzania,
Kamati Kuu ya Chama chetu CHADEMA, ilifanya kikao chake cha kwanza kwa mfumo wa kidigitali kupitia jukwaa lake la CHADEMA Digital, siku ya Jumamosi...
Ndugu watanzania wenzangu,
Natumaini mko salama jioni hii.
Nimejaribu kwa sehemu kufanya analysis zangu kwa ufupi majibu ambayo jana Ester Bulaya alimjibu Lijuakali. Nitajikita zaidi na hizo kauli zake (What do these quotes reflect in reality? ).
“Mbowe ndiyo accounting officer? Ester...
Mbunge Lijualikali amesema Chadema hakuna demokrasia na swala la kwenda karantini KUB Mbowe aliwalazimisha bila kufuata wowote.
Lijualikali amesema Mbowe amedai wabunge waliohudhuria bungeni baada ya yeye kuwakaza wanafuata posho. Adai wabunge waliokwenda karantini wanawaomba wao akina...
WAKILI wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Spika wa Bunge Job Ndugai (MB) na aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Ndanda kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Cecil Mwambe, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Katika kesi hiyo ya kikatiba namba 10 ya mwaka...
Sasa utaratibu wa taarifa na elimu kuhusu Corona ni kama vile umevurugika kwa sababu kila mwenye msuli anaongea na kutoa lawama kwa " mchawi" wake.
Alianza KUB Mbowe na wabunge wa Chadema kwenda karantini ilhali bungeni kuko shwari na maisha yanaendelea.
Sasa wamekuja wakuu wa mikoa huko...
Taarifa za ndani zinasema kuwa anaandaliwa Mzee Mabere Nyaucho Marando kuwa mgombea urais kupitia CDM.
Mwanasheria huyo nguli ambaye pia ni watu wa mwanzo kuasisi mfumo wa vyama vingi ataibuka kama upepo wa kisuli octoba 2020 hili kufuana na Dkt Jonh Pombe Magufuli.
Tetesi kitaa zinasema, wale maswahiba wakubwa wa JK enzi zake, Abdulrahman Kinana a.k.a. Mzee wa Tembo, na Bernard Membe a.k.a Jasusi, wanaungana nguvu kuchapisha tiketi yao ya kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020.
Msidhani msigwa kakurupuka kuanza kumsafisha Kinana. Chadema wamejifunza toka...
MBUNGE wa Kilombero, Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Peter Ambrose Lijualikali (35), amekuwa mbunge wa 17 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuondoka bungeni, kujiengua ama kupoteza sifa za kuwa mbunge.
Lijualikali alitangaza kuondoka Chadema, jana...
Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na ujangili. Ninakiri tuhuma hizo hazikuwa za kweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya...
Tokea Lijuakali atoe hoja yake juu ya chama chake Cha Chadema baadhi ya wafuasi wa Chadema wametokea kupotosha hoja ya msingi ya Bwana Lijualikali sijajua ni kwasababu ya uchama wao au kukwepa kwa makusudi hoja ya Lijuakali.
Lijuakali ajalalamika kuhusu kuchangishwa pesa Kama wanavyodai wapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.