chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Achilia mbali ruzuku na michango, CHADEMA ina vyanzo gani vya mapato?

    Binafsi naamini kuwa chama cha siasa ni taasisi. Naamini hivyo pamoja na kutowahi maishani mwangu kujiunga na chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko. Kama taasisi, chama hujiendesha kwa gharama. Kuna kuwalipa waajiriwa wa chama, kugharimia shughuli za kila siku za chama,kugharimia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe azindua siasa mpya za CHADEMA huku akitangaza idadi rasmi ya wanachama

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema baada ya kuzuiliwa mikutano ya hadhara kwa hila chama hicho kimeimarika maradufu. Akihutubia mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema katija ukumbi wa Mlimani City kiongozi huyo amesema chama hicho kiliamua kufanya siasa mpya za kuzunguka kata...
  3. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Lowassa kurudi CCM ni ahueni kwa "wasaliti"

    Tulioamua kuacha kuiunga mkono Chadema baada ya kumpokea "fisadi" Lowassa Julai 2015 tuliitwa kila aina ya majina mabaya. Juu kabisa ya orodha ndefu ya majina hayo ni "wasaliti." Dokta Slaa pia hakusalimika kutopachikwa jina hilo. Fast forward to March 2019, Lowassa aliyepelekea baadhi yetu...
  4. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais mkono wa CHADEMA umenyooshwa kwa maridhiano, mpira uko kwako

    Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkono wa Chama Kikuu cha Upinzani Chadema UMENYOOSHWA kwako kwa ajili ya MARIDHIANO. Je, utaupokea au utausukumia mbali!!? Alichosema Mwenyekiti wa Chadema kina umuhimu wa pekee. Upinzani kwa ujumla wake una wanachama na wafuasi kwa mamilioni katika...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wafanye maridhiano na wabunge na madiwani wao waliomwandikia barua Dr. Bashiru kuomba kuhamia CCM

    Binafsi naona kuna tatizo kubwa la kuhamahama kwa viongozi wa Chadema pasi na sababu za kueleweka na kuaminika. Juzi kaondoka mzee Sumaye na kabla ya hapo Dr Bashiru akiwa Zanzibar City alisema ana barua nyingi tu za wabunge na madiwani wa Chadema wanaoomba kuhamia CCM. Ni vema basi Chadema...
  7. Patriot

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi CHADEMA utawaumiza. Mlisusia uchaguzi wa mitaa, sasa mnajisogeza kwa manufaa ya ubunge wa mwakani

    Hili tulitabiri, viongozi wa CHADEMA mliwaponza waliostahili kugombea nafasi za ngazi za chini kwa kususia uchaguzi. Nilitegemea msimamo huo huo hadi mwakani kama CUF walivyoonesha msimamo wao Z'bar kwa miaka yote. Lakini kwa kujua ulaji wa viongozi huko Bungeni, hata kabla ya mwezi mmoja...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

    Habari kamili hii hapa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jijini Mwanza sare za CHADEMA zinauzwa wapi kwa ajili ya sikukuu ya kesho?

    Nimefika jijini Mwanza nikiwa na kijana wangu ambaye ni mfurukutwa wa CHADEMA tayari kushiriki sherehe za uhuru hapo kesho. Huyu kijana wangu anatamani siku ya kesho avae T shirt ya chama akipendacho cha CHADEMA lakini kwa bahati mbaya tulikozunguka kote hatujafanikiwa kuwaona wajasiriamali...
  11. idawa

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa. Chanzo: Mwananchi
  12. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ukiritimba wa Magufuli unavoiua CCM na Kuijenga Chadema na Popular Movement

    Ni ukweli usiopingika kwamba Magufuli amethibitisha kwamba yeye ni chuma. Pamoja na jitihada zake nyingi za kujaribu kujenga Tanzania Mpya na mafanikio ambayo tunayaona kuna maeneo ambayo kwa hakika kabisa anaenda kukiua chama cha Mapinduzi CCM na kuimarisha chama cha Upinzani hasa Chadema...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukutana Mlimani City ni matumizi mabaya ya Ruzuku ambazo ni kodi za watanzania ina maana hawana Ofisi mpaka wafanyie kikao Mlimani City?!!

    Huu ni muendelezo wa kutumia vibaya na kufuja Mali za umma kwa nini wakutane kwenye kumbi za gharama halafu eti ndo mnasema mtashika dolla labda dollars ya Marekani matumizi ya hovyohovyo ya Mali za umma utakuta wamejiandikia mahela meeengi ukizingatia mkewe ndiye mtunza hazina
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya Chadema yakutana Mlimani City

    Ni katika Maandalizi ya Uchaguzi wa kitaifa Mungu ibariki Chadema
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kustaafu Uenyekiti Chadema Desemba 2020 na kumwachia kijiti makamu wake Tundu Lissu

    Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lissu. Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa...
  17. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Madiwani wengine wawili wa CHADEMA jiji la Arusha watimkia CCM

    Hii imetokea Leo tarehe 6/12/2019 hii ni Taa nyekundu kwa CHADEMA
  18. J

    JamiiForums Tanzania Je, watunza hazina wa CCM na Chadema wana CPA (T)?

    CCM na Chadema ndio vyama vinavyopewa ruzuku kubwa na serikali, CCM ikikaribia sh bilioni 1 kwa mwezi na Chadema takribani sh milioni 326 kwa mwezi. Hizi ni fedha nyingi tena ni kodi zinazokusanywa kutoka kwa wananchi wanyonge hivyo zinahitaji matumizi yake yasimamiwe kwa mujibu wa kanuni na...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama hiki kinachozungumzwa chini chini juu ya CHADEMA ni kweli, basi tuendako wenye sifa walizonazo vibaka watagombea Uenyekiti

    Inasemekana (japo bado naendelea kulithibitisha hili) kwamba mmoja wa viongozi ‘waandamizi‘ kabisa ndani ya CHADEMA alisikika akimwambia mtu kuwa ili uwe Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA na uaminike basi ni lazima uwe angalau katika maisha yako ya ‘kutukuka‘ kabisa ndani ya CHADEMA uwe umekumbana na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Uhalisia uliopo ndani ya CHADEMA usiosemwa machoni pa watu

    Ameandika Professor FRANK JONATHAN PIUS. Hivi majuzi ulianza mchakato wa uchakuzi mkuu ndani ya CHADEMA kuwachagua viongozi wao wakuu wa kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano mbele, mchakato huu umeshuhudiwa ukigubikwa na vitimbi vya kila aina ndani ya chama hicho. Hivi majuzi...
Back
Top Bottom