CHADEMA ni chama chenye nguvu na dira thabiti ya kumkomboa mnyonge barani Africa

Small Axe

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
652
462
Kila nikitafakari siasa za Tanzania na Africa kiujumla toka ukombozi mpaka nchi huru

Bado naona kwamba vyama vilivyo leta ukombozi toka kwa wakoloni vilikua na maono ya kuchukua serikali kwa mzungu na baadae ni kujisahau na kuwa wao ndio wakoloni kwakutumia jeshi,mahakama nk

Theory yangu ambayo bado haijapitishwa na jopo la wataalam ni kua chama cha siasa kikitawala zaidi ya milongo(decade). 3 hata kama kina sera nzuri vipi kina anza kua coloni yaani kutumia mabavu ili kushinda kwa maana kina kua kimepoteza mvuto kwa wananchi,propaganda chafu mabavu ndio survival yake

Mpaka kitakapo pata mbadara wa chama kushika atamu ndipo kitajifunza kikiwa nje na kikiludi kinajirekebisha makosa yalio fanyika baada ya kuvimbiwa madaraka

Na hata chama kingine kikiingia madarakani hivyo hivyo kitafanya vzr sn awamu ya kwanza ya pili ya tatu hata ya nne lkn baada ya hapo nacho kitalewa ma daraka

Kitaanza dhalau wananchi kinafanya kazi kwa mazoea mpaka hapo tena kitakapo pata mbadara

Tuludi nyumbani Tz..CCM kilifanya vzr sn kipinda cha JK wa kwanza kupambana na kutupatia uhuru..na maendeleo ya vitu na watu mpaka Mwinyi

Sasa mazoea tukashuhudia uozo mwingi lkn kikiji nasibu kitakaa madarakan lkn hali ya maendeleo ya mtunmoja moja ikizidi kudidimia

Nataka nimlekebishe msomi mwenye itikadi ya kijamaa ndgu Lumumba Mkenya..CHEDEMA ndio chama kinacho onyesha kuwatetea wananchi na hata watakapo weza kuchukua nchi kufanya viziri Zaidi ili kuonyesha utofauti kwa chama kilicho tangulia

Patrick Lumumba haijui siasa ya Tz vzr bila ushabiki wa mlengo wa ujamaa tumeona mengi mauozo mengi wananchi wakidanganyishiwa na pipi

Nina muelewa sana mbunge wa kahama japo wengi wanaona kama anaigiza elimu yetu inasaidia nn watoto wetu wakati wanasoma hawapati ajira wapo mitaani na hawakopesheki na ambao hawakusoma wanaskills za kutosha za mikono mwisho wasiku ni wastage of time

Marekebisho ya elimu yanahitajika ndio maana wengi ni njaa zinawasumbua
 
chadema ni chama makini. ndiyo chama pekee chenye itikadi mujarab kuwa mamlaka ya nchi yanatoka kwa umma, siyo kile chama cha wahuni kinachoamini mamlaka yanatoka kwenye mabavu ya polisi, mabomu na risasi za moto.
 
Zile sera mbadala mlizifukia wapi. Chadema haijawahi kusimamia kuanzisha jambo likawa
 
Zile sera mbadala mlizifukia wapi. Chadema haijawahi kusimamia kuanzisha jambo likafanikiwa
 
Kwann Bongo siku moja kusiwe kama US ambapo Democratic na Republican wanaongoza kwa kupokezana? Ila hapa chama kina zaidi ya miaka 50 madarakani maendeleo ni yaleyale hakuna jipya Lakini bado wanapigania tu madaraka, kuwaachia na wengine waongoze si jambo la aibu Bali ni chachu ya maendeleo na ishara ya ukomavu wa kisiasa!
 
chadema ni chama makini. ndiyo chama pekee chenye itikadi mujarab kuwa mamlaka ya nchi yanatoka kwa umma, siyo kile chama cha wahuni kinachoamini mamlaka yanatoka kwenye mabavu ya polisi, mabomu na risasi za moto.
Uko sahihi kabisa
 
Hao wanao hama kwanini wasihame kipindi cha nyuma zimebaki siku chache kuvunja bunge ndio unaona wakina hotly sun wana leta maneno ya kanga kwanini wasiseme na kujitoa mapema
Off course he is cheap politician alibebwa na chama hana impact nikama toothless dog mbwa kibogoyo
 
Kila nikitafakari siasa za Tanzania na Africa kiujumla toka ukombozi mpaka nchi huru
Bado naona kwamba vyama vilivyo leta ukombozi toka kwa wakoloni vilikua na maono ya kuchukua serikali kwa mzungu na baadae ni kujisahau na kuwa wao ndio wakoloni kwakutumia jeshi,mahakama nk
Theory yangu ambayo bado haijapitishwa na jopo la wataalam ni kua chama cha siasa kikitawala zaidi ya milongo(decade). 3 hata kama kina sera nzuri vipi kina anza kua coloni yaani kutumia mabavu ili kushinda kwa maana kina kua kimepoteza mvuto kwa wananchi,propaganda chafu mabavu ndio survival yake
Mpaka kitakapo pata mbadara wa chama kushika atamu ndipo kitajifunza kikiwa nje na kikiludi kinajirekebisha makosa yalio fanyika baada ya kuvimbiwa madaraka
Na hata chama kingine kikiingia madarakani hivyo hivyo kitafanya vzr sn awamu ya kwanza ya pili ya tatu hata ya nne lkn baada ya hapo nacho kitalewa ma daraka
Kitaanza dhalau wananchi kinafanya kazi kwa mazoea mpaka hapo tena kitakapo pata mbadara
Tuludi nyumbani Tz..CCM kilifanya vzr sn kipinda cha JK wa kwanza kupambana na kutupatia uhuru..na maendeleo ya vitu na watu mpaka Mwinyi
Sasa mazoea tukashuhudia uozo mwingi lkn kikiji nasibu kitakaa madarakan lkn hali ya maendeleo ya mtunmoja moja ikizidi kudidimia
Nataka nimlekebishe msomi mwenye itikadi ya kijamaa ndgu Lumumba Mkenya..CHEDEMA ndio chama kinacho onyesha kuwatetea wananchi na hata watakapo weza kuchukua nchi kufanya viziri Zaidi ili kuonyesha utofauti kwa chama kilicho tangulia
Patrick Lumumba haijui siasa ya Tz vzr bila ushabiki wa mlengo wa ujamaa tumeona mengi mauozo mengi wananchi wakidanganyishiwa na pipi
Nina muelewa sana mbunge wa kahama japo wengi wanaona kama anaigiza elimu yetu inasaidia nn watoto wetu wakati wanasoma hawapati ajira wapo mitaani na hawakopesheki na ambao hawakusoma wanaskills za kutosha za mikono mwisho wasiku ni wastage of time
Malekebisho ya elimu yanahitajika ndio maana wengi ni njaa zinawasumbua
Kama mwenyekiti wake analipwa deni hewa. Ambalo alijikopesha kwa mdomo. Je mkipewa dola si atahamisha pesa zote Uswisi
 
Chama la wana... Chama pendwa bila shuruti
tapatalk_1590166850924.jpg

Jr
 
Back
Top Bottom