Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Mimi ni mpenzi wa Chadema wa kufa Mtu, naichukia CCM kuliko kitu chochote. Ndio kitu kinachoongoza kati ya vitu ninavyovichukia.
Lakini ikatokea Chadema ikashindwa kihalali kabisa bila hila wala wizi wa kura wa Aina yeyote, yaani Watanzania wakaichagua CCM kwa moyo mweupe kabisa bila mashakani...
Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka.
Kwa nini nasema hivyo?
Kwa sababu hawa misukule wa CHADEMA ni wapumbavu kabisa.
Sijawahi kuona watu walio watupu kichwani kama hawa watu.
Katika...
Haya mambo huwa yana ugumu wake.
" Tutashirikiana na kusaidiana katika Shida na Raha hadi kifo kitakapotutenganisha"
Sasa sijaelewa hapa kada wa CCM David Kafulila aka tumbili kama ataizingatia ahadi hii ya uaminifu katika ndoa wakati mkewe Kishoa atakapopambana na kada maarufu tena daktari wa...
Msikilizeni huyu kijana.
Baadhi ya wasanii walikuwa wakifanya mambo machafu.
Mambo yasiyoendana na maadili ya Watanzania.
CCM iwe makini katika kuchagua wasanii wa kufanya kampeni.
=======
Kila baada ya miaka mitano ukichagua hovyohovyo itakugharimu wewe, mke wako, mdogo wako, mama yako...
Ndugu,
Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA.
Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanywa na CCM ndani ya muda mfupi, hama hama ya madiwani na wabunge, kukosa wawakilishi wenyeviti wa vijiji...
Kuna Mambo ya ajabu nimeyashuhudia na ninaendelea juu ya huyu Lissu na Chadema yake.
Habari zake za kampeni zilikua zinahujumiwa na baadhi ya Vyombo vya habari zisitoke au kupungua umuhimu,lakini zinatoka.na watu wanahudhuria mikutano yake.
Sijaona bango hata moja la Lissu lakini watu...
Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
_____
1. Kama Tume ya Uchaguzi (NEC) ikifanya makosa, ukaikosoa lakini ukanuniwa na CHADEMA, basi una haki ya kuamini kwamba makosa ya NEC yanaagizwa na CHADEMA. Penye neno CHADEMA, waweza kuweka CCM.
2...
Sio siri tulio wengi tumejawa mate mdomoni na hatuamini hiki kinachoendelea kwenye mikutano ya chama cha CHADEMA.
Kutokana na Sekeseke kilichopata, Kazi kubwa ya kimaendeleo iliyofanya na CCM ndani ya muda mfupi, hama hama ya madiwani na wabunge, kukosa wawakilishi wenyeviti wa vijiji na mitaa...
SALUM MWALIMU: MNAAMBIWA MZAE WAKATI HUDUMA YA MAMA NA MTOTO NI MBOVU
Mgombea mwenza wa Urais kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu akiwa Wilayani Same amesema, Rais Magufuli anawaambia watanzania wazae wakati huduma ya mama na mtoto ni mbovu.
Amesema Serikali ya Dkt. Magufuli ambaye bi Mgombea wa...
Wakati Wagombea wengine wakiishiwa pumzi , Rais Mtarajiwa wa Tanzania Mh Tundu Lissu leo tarehe 12/9/2020 bado yuko Mkoani Morogoro akiendelea kuelimisha wananchi kuhusu madhara ya ukandamizaji na udikteta na kuichakaza ccm bila huruma
=========
UPDATES
Picha : Akiwa kazuiliwa na wananchi...
CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk
Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni.
Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.
Hiyo...
Ukitaka kujua watu wana mapenzi gani na timu iwe Simba au yanga angalia uwingi wa uvaaji nguo za timu kwenye uwanja.
Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA wanaohudhuria ni wasiojulikana ni chama gani.
Huoni zile...
Ukiangalia kiundani unaona kwa nini CCM inaweza shinda uchaguzi huu kiurahisi sana.
Ni namna walivyojipanga katika Kampeni zao. Kila Mkoa na Wilaya unaona kuna mtu mwenye Ushawishi ndani ya Chama anasaidia kufanya kampeni za wagombea Ubunge au Udiwani. Nimeona Kinana, Kikwete, Ndugai, n.k...
Nikiri wazi sikuwa nimeisoma ilani ya Chadema hasa baada ya kuona mgombea wao hana mwelekeo mnzuri na kuisadia nchi hii. Leo baada ya kumsikia ndugu Polepole nilishtushwa na kipengere kinachohusu madini wakati anafanya mrejeo wa ilani ya Chadema. Baada ya kuitafuta hiyo ilani na kukisoma hicho...
Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo.
"Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa Wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima...
Wapendwa watanzania wenzangu,
Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kikiomba michango kutoka kwa watanzania katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazokikabili chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Watanzania tuna utaratibu wa kuchangiana...
Natumaini mko wazima. Nimeona nitumie haki yangu kikatiba kutoa maoni kuhusu kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea.
Niseme kwamba iko wazi CCM wako kimkakati zaidi kwenye kampeni zao. Hawafanyi makosa kirahisi. Ila tatizo ninaloliona ni upande wa upinzani kwa CHADEMA. Kwa kweli mwenendo wao...
Haya haya haya Mwana FA usiyempenda yupo mlangoni anakugongea.
Kazi unayo Mwanaccm uliyetaka kubebwa.
===
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana siku ya Tarehe 10 September 2020 ilitoa ilitoa majibu ya rufaa zilizokatwa na Wagombea mbalimbali ambao waliondolewa awali.
Katika Jimbo la Muheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.