Uchaguzi 2020 CHADEMA isisahau viunga vya miji

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,092
Kwa sasa muelekeo wa kampeni kwa CHADEMA japo ni mzuri sana lakini hicho chama lazima kiwe makini mno na strategy yao ya sasa ya kukamata Miji. Ndiyo maana unaona wanaruka kwa ndege kutoka mji mmoja kwenda mwingine.

Hata hivyo ukiangalia Strategy ya CCM

1. Kwanza imetengeneza front zaidi ya moja, kuna ya waziri Mkuu, na Makamu wa Rais

2. Kuna front ya Magufuli

Hii strategy ni hatari sana kwa sababu wanawafikia watu wengi sana

Pia kuna hili suala la Magufuli kupita katika viunga vya miji kwa gari na kuweka mikutano kabla ya kuingia mijini, hii inasaidia sana kupata kura pembezoni miji mahali ambako CHADEMA hawafiki.

Kitu kingine ni kuwa CHADEMA isidharau technic ambayo CCM wanatumia ya kusomba watu kutoka kwenye viunga vya miji na kuwaleta mikutanoni, hawa watu ni wajumbe wazuri wa kusambaza ujumbe kwa wenzao huko watokako.

CHADEMA inabidi ifanye yafuatayo

1. Kila kanda Isambaze vijana waende nyumba kwa nyumba.

2. Itengeneze front zaidi ya moja ya kampeni na ziende kwa barabara na kuweka mikutano mingi nijiani kadri iwezeanavyo.

3. Ije na comprehensive media stratergy, japo tumepiga kelele sana juu ya suala hili nashangaa Chadema inashidwa kutumia hata smartphones za awaida na kuchukua video za mikutano live na kuirusha kwenye social media LIVE, mbona hii ni rahisi sana!

Asikudanganye mtu, kuwa na sera nzito peke yae haitoshi, Inabidi uwafikie watu wengi zaidi. CCM wanawafikia watu wengi kutokana na kutumia fronts nyingi, rafu kwenye access ya media na network yao pana.

CHADEMA inabidi ipandishe game yake iwe ni nyumba kwa yumba, mtaa kwa mtaa, mkoa kwa mkoa.

Sasa hivi CHADEMA ipo kwenye level ya mkoa kwa mkoa. Je mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba lini?
 
Leo tu Magufuli kapiga Nyamikoma, nyashimo, masanza , magu, kahangara, nyaguge, kisesa, Igoma, national, buzuruga mabatini na kesho atakua furahisha.

Nitajie Lissu juzi, jana na leo kapiga mikutano mingapi kama sio mitatu.
 
Leo tu Magufuli kapiga Nyamikoma, nyashimo, masanza , magu, kahangara, nyaguge, kisesa, Igoma, national, buzuruga mabatini na kesho atakua furahisha.
Nitajie lissu juzi, jana na leo kapiga mikutano mingapi kama sio mitatu.

Dah umeona eh!

Strategy ya kampeni ya Magufuli ya kupiga hadi ndani ndani vitongojini ni more effective kuliko ya kutegemea City/Town centers ambayo Chadema wanatumia
 
Ni kweli kabisa Mkuu. Wananchi wengi wako vijijini na hawana access na You Tube. Wanatakiwa wagawane, wengine waende bumper to bumper vijijini. Waachane na ndege, watumie usafiri wa barabara na mitumbwi il iwafikie wengi. Hamna ushindi bila kura za vijijini.
Amandla...
 
Too late to catch the bus.
If it’s too late, mgombea wenu jpm asingechanganyikiwa na kutoa vitisho kwa wapiga kura
C1307162-60B5-4B28-B7FD-7CBCE629D2B1.jpeg
 
Leo tu Magufuli kapiga Nyamikoma, nyashimo, masanza , magu, kahangara, nyaguge, kisesa, Igoma, national, buzuruga mabatini na kesho atakua furahisha.
Nitajie lissu juzi, jana na leo kapiga mikutano mingapi kama sio mitatu.
Lissu bado hajaanza kampeni. huko kote alikokwenda ni uzinduzi tu kafanya na ukichunguza utaona tayari keshaenda mikoa mingi zaidi kuliko mgombea wetu wa CCM!
 
CHADEMA NAOMBA MUNGU MSHINDWE MIAKA YOTE YA UCHAGUZI NA CHAMA CHENU KIFUNGIWE MAFISADI WAKUBWA NA LEMA ASHINDWE UBUNGE WA ARUSHA HILI LIKITU NI TAPELI
 
Kwa sasa muelekeo wa kampeni kwa CHADEMA japo ni mzuri sana lakini hicho chama lazima kiwe makini mno na strategy yao ya sasa ya kukamata Miji. Ndiyo maana unaona wanaruka kwa ndege kutoka mji mmoja kwenda mwingine.

Hata hivyo ukiangalia Strategy ya CCM

1. Kwanza imetengeneza front zaidi ya moja, kuna ya waziri Mkuu, na Makamu wa Rais

2. Kuna front ya Magufuli

Hii strategy ni hatari sana kwa sababu wanawafikia watu wengi sana

Pia kuna hili suala la Magufuli kupita katika viunga vya miji kwa gari na kuweka mikutano kabla ya kuingia mijini, hii inasaidia sana kupata kura pembezoni miji mahali ambako CHADEMA hawafiki.

Kitu kingine ni kuwa CHADEMA isidharau technic ambayo CCM wanatumia ya kusomba watu kutoka kwenye viunga vya miji na kuwaleta mikutanoni, hawa watu ni wajumbe wazuri wa kusambaza ujumbe kwa wenzao huko watokako.

CHADEMA inabidi ifanye yafuatayo

1. Kila kanda Isambaze vijana waende nyumba kwa nyumba.

2. Itengeneze front zaidi ya moja ya kampeni na ziende kwa barabara na kuweka mikutano mingi nijiani kadri iwezeanavyo.

3. Ije na comprehensive media stratergy, japo tumepiga kelele sana juu ya suala hili nashangaa Chadema inashidwa kutumia hata smartphones za awaida na kuchukua video za mikutano live na kuirusha kwenye social media LIVE, mbona hii ni rahisi sana!

Asikudanganye mtu, kuwa na sera nzito peke yae haitoshi, Inabidi uwafikie watu wengi zaidi. CCM wanawafikia watu wengi kutokana na kutumia fronts nyingi, rafu kwenye access ya media na network yao pana.

CHADEMA inabidi ipandishe game yake iwe ni nyumba kwa yumba, mtaa kwa mtaa, mkoa kwa mkoa.

Sasa hivi CHADEMA ipo kwenye level ya mkoa kwa mkoa. Je mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba lini?
Hata hujaelewa utaratibu wa Kampeni za Chadema, kwa sasa walianza na Kanda kwanza, kinachofuata Sasa ni Kampeni Mtaa kwa Mtaa, na Sasa wamemwahi Magu kufika katika miji mikuu yote meaning kazi ya Magufuli Sasa ni kwenda katika maeneo hayo alikowahiwa kujitetea na kujisafisha, hawezi tena kunadi Sera zake
 
Leo tu Magufuli kapiga Nyamikoma, nyashimo, masanza , magu, kahangara, nyaguge, kisesa, Igoma, national, buzuruga mabatini na kesho atakua furahisha.
Nitajie lissu juzi, jana na leo kapiga mikutano mingapi kama sio mitatu.
Mpaka Sasa Chadema wanafanya uzinduzi wa kampeni kikanda. Kesho wanamalizia Zanzibar. Baada ya hapo kampeni ya Kijiji kwa Kijiji inafuata.
 
Kwa sasa muelekeo wa kampeni kwa CHADEMA japo ni mzuri sana lakini hicho chama lazima kiwe makini mno na strategy yao ya sasa ya kukamata Miji. Ndiyo maana unaona wanaruka kwa ndege kutoka mji mmoja kwenda mwingine.

Hata hivyo ukiangalia Strategy ya CCM

1. Kwanza imetengeneza front zaidi ya moja, kuna ya waziri Mkuu, na Makamu wa Rais

2. Kuna front ya Magufuli

Hii strategy ni hatari sana kwa sababu wanawafikia watu wengi sana

Pia kuna hili suala la Magufuli kupita katika viunga vya miji kwa gari na kuweka mikutano kabla ya kuingia mijini, hii inasaidia sana kupata kura pembezoni miji mahali ambako CHADEMA hawafiki.

Kitu kingine ni kuwa CHADEMA isidharau technic ambayo CCM wanatumia ya kusomba watu kutoka kwenye viunga vya miji na kuwaleta mikutanoni, hawa watu ni wajumbe wazuri wa kusambaza ujumbe kwa wenzao huko watokako.

CHADEMA inabidi ifanye yafuatayo

1. Kila kanda Isambaze vijana waende nyumba kwa nyumba.

2. Itengeneze front zaidi ya moja ya kampeni na ziende kwa barabara na kuweka mikutano mingi nijiani kadri iwezeanavyo.

3. Ije na comprehensive media stratergy, japo tumepiga kelele sana juu ya suala hili nashangaa Chadema inashidwa kutumia hata smartphones za awaida na kuchukua video za mikutano live na kuirusha kwenye social media LIVE, mbona hii ni rahisi sana!

Asikudanganye mtu, kuwa na sera nzito peke yae haitoshi, Inabidi uwafikie watu wengi zaidi. CCM wanawafikia watu wengi kutokana na kutumia fronts nyingi, rafu kwenye access ya media na network yao pana.

CHADEMA inabidi ipandishe game yake iwe ni nyumba kwa yumba, mtaa kwa mtaa, mkoa kwa mkoa.

Sasa hivi CHADEMA ipo kwenye level ya mkoa kwa mkoa. Je mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba lini?
Unachoongelea kingekuwa very meaningful kama mambo yote yangekuwa determined na ballot box alone. Unfortunately, kama tulivyoona wagombea walivyoenguliwa kwa sababu za kipuuzi, ballot will be just a formalities....
 
Kwa sasa muelekeo wa kampeni kwa CHADEMA japo ni mzuri sana lakini hicho chama lazima kiwe makini mno na strategy yao ya sasa ya kukamata Miji. Ndiyo maana unaona wanaruka kwa ndege kutoka mji mmoja kwenda mwingine.

Hata hivyo ukiangalia Strategy ya CCM

1. Kwanza imetengeneza front zaidi ya moja, kuna ya waziri Mkuu, na Makamu wa Rais

2. Kuna front ya Magufuli

Hii strategy ni hatari sana kwa sababu wanawafikia watu wengi sana

Pia kuna hili suala la Magufuli kupita katika viunga vya miji kwa gari na kuweka mikutano kabla ya kuingia mijini, hii inasaidia sana kupata kura pembezoni miji mahali ambako CHADEMA hawafiki.

Kitu kingine ni kuwa CHADEMA isidharau technic ambayo CCM wanatumia ya kusomba watu kutoka kwenye viunga vya miji na kuwaleta mikutanoni, hawa watu ni wajumbe wazuri wa kusambaza ujumbe kwa wenzao huko watokako.

CHADEMA inabidi ifanye yafuatayo

1. Kila kanda Isambaze vijana waende nyumba kwa nyumba.

2. Itengeneze front zaidi ya moja ya kampeni na ziende kwa barabara na kuweka mikutano mingi nijiani kadri iwezeanavyo.

3. Ije na comprehensive media stratergy, japo tumepiga kelele sana juu ya suala hili nashangaa Chadema inashidwa kutumia hata smartphones za awaida na kuchukua video za mikutano live na kuirusha kwenye social media LIVE, mbona hii ni rahisi sana!

Asikudanganye mtu, kuwa na sera nzito peke yae haitoshi, Inabidi uwafikie watu wengi zaidi. CCM wanawafikia watu wengi kutokana na kutumia fronts nyingi, rafu kwenye access ya media na network yao pana.

CHADEMA inabidi ipandishe game yake iwe ni nyumba kwa yumba, mtaa kwa mtaa, mkoa kwa mkoa.

Sasa hivi CHADEMA ipo kwenye level ya mkoa kwa mkoa. Je mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba lini?
Kutafuta wadhamini ile ilikua ni strategy 1 ya kujitangaza ya lisu tayari,ile imesaidia maana alipita maeneo mengi kwa gari.saiv ajikite tu yale maeneo ambayo hajatia mguu bado
 
Mkuu hujaelewa strategy ya Chadema kabisa mkuu wangu. Lissu alichofanya mpaka sasa ni kumwaga sumu kanda zote. Huko Magu ana kazi ya kwenda kujisafisha. Yaani amezifanya kampeni za Magu kuwa za kujilinda na kupangua makombora kila Leo. Hapo sasa ndo hatua ya mchwa inafuata mkuu wangu. Tuonane field
 
Alafu jambo lingine,CCM wanapita pale ambapo Lissu keshapita au alikuwepo wiki moja nyuma,wanaondoa sumu zote alizoacha Lissu.
 
Kuna vijiji huko ndani kabisa,mpaka sasa wanajua mpinzani mkuu wa JPM ni yuleyule wa Uchaguzi uliopita Lowasa.
Lissu wanamskiaskia lakini wanahisi ni mpya kaja na chama chake kipya.
 
Back
Top Bottom