Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,236
Picha huongea zaidi kuliko maneno matupu , jionee mwenyewe .

IMG_20200605_233450.jpg
 
Alichokisema lwakatare jana ni ukweli mtupu,akili za machadema zimejaa plastiki kwao uzushi na uongo ni sera za chama.Ona huyu pimbi anavyokurupuka,huo ni mkutano wa lwakatare?

Nini tofauti ya akili zako na za nguruwe pori( ngiri)?Lwakatare ndio baba wa siasa za bukoba,nyie manyumbu wa chadema lazima mkae.
 
Alichokisema lwakatare jana ni ukweli mtupu,akili za machadema zimejaa plastiki kwao uzushi na uongo ni sera za chama.Ona huyu pimbi anavyokurupuka,huo ni mkutano wa lwakatare? Nini tofauti ya akili zako na za nguruwe pori( ngiri)?Lwakatare ndio baba wa siasa za bukoba,nyie manyumbu wa chadema lazima mkae.
Kunywa maji lita moja pumzika ndugu Rwaka pressure isikumalize
 
Alichokisema lwakatare jana ni ukweli mtupu,akili za machadema zimejaa plastiki kwao uzushi na uongo ni sera za chama.Ona huyu pimbi anavyokurupuka,huo ni mkutano wa lwakatare? Nini tofauti ya akili zako na za nguruwe pori( ngiri)?Lwakatare ndio baba wa siasa za bukoba,nyie manyumbu wa chadema lazima mkae.
Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu huwa ni wengi kuliko wanyama wengine, Rwakatare kasema ukweli mtupu kwa mtu fala pekee ndiyo ataona ni ukweli mtupu, Akili zake mwenyewe ndizo zimejaa plastic na kamasi za kujaa sufuria mbili za Gongo, Lwakatare ni mshamba sana anawezaje kujua aliye na Akili na asiye na Akili wakati yeye mwenyewe hana Akili ni juha wa kutupwa, kama Rwakatare ndiyo baba wa siasa huko bukoba ni Aibu kwani bukoba yote ni vilaza kuliko Rwakatare?

Kamwambie Lwakatare hivi watanzania wa sasa siyo wajinga kama anavyofikiria ajipange upya huo ujinga wake kwa sasa hauna nafasi tena, asake njia zingine hii ya sasa kafeli zaidi hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atakaa kumsikiliza Rwakatare zaidi ya mabwege kama ninyi pekee.
 
Back
Top Bottom