chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. CHADEMA ni chama chenye nguvu na dira thabiti ya kumkomboa mnyonge barani Africa

    Kila nikitafakari siasa za Tanzania na Africa kiujumla toka ukombozi mpaka nchi huru Bado naona kwamba vyama vilivyo leta ukombozi toka kwa wakoloni vilikua na maono ya kuchukua serikali kwa mzungu na baadae ni kujisahau na kuwa wao ndio wakoloni kwakutumia jeshi,mahakama nk Theory yangu...
  2. TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). “Kwa mujibu wa taarifa tulizo nazo, kuna matumizi mabaya ya fedha za michango ya wanachama, ambayo kwa mujibu wa...
  3. CCM ikicheza na Waitara jimbo linaweza kurudi CHADEMA

    Nimekuwa na Interested sana na Siasa za Jimbo la Tarime vijijini kwa Sasa kuliko majimbo Mengine. Hii ni baada ya Naibu Waziri Tamisemi kuonyesha Nia ya kulitaka hili Jimbo kwa udi na Uvumba. Nini nakiona Tarime vijijini. Kuna Kosa kubwa la kiufundi linafanyika kwa chama changu NDANI ya Jimbo...
  4. Peter Lijualikali aweka wazi uozo ndani ya CHADEMA

    Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Peter Lijuakali ameweka bayana mambo mbalimbali yaliyojificha katika chama juu ya matumizi mbalimbali ya Chama ikiwemo fedha zinazopatikana na kuingia katika Chama kile, Mheshimiwa...
  5. CHADEMA yatimiza miaka 28 tangu kuanzishwa kwake. Asante Mungu kwa kuilinda

    Ifuatayo ni orodha ya Wajumbe wa mwanzo kabisa wa Mkutano mkuu
  6. J

    Tamko la wazee Chadema: Mbowe ndiye kiongozi pekee barani Afrika asiyelipwa posho wala malipo yoyote na chama chake, anajitolea!

    Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe. Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe: Mosi Mbowe ni mwenyekiti...
  7. Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

    Mbowe anazidi kubamizwa.
  8. S

    Asiwadanganye mtu, CHADEMA ilionekana tishio sana na mambo inayokabili ni mkakati uliopangwa - hata NCCR Mageuzi wakipanda watakabili hayo hayo!

    Watu wengi wasichoelewa ni kwamba vurugu na mkanganyiko inaoukabili Chadema kwa sasa ilikuwa ni programu maalum iliyopangwa ili kuimaliza Chadema baada ya kuona nguvu za Chadema na kukubalika kwake kwa wananchi kulizidi kuongezeka. Mkakati uliopangwa ilikuwa kutumia kila mbinu ili ikiwezekana...
  9. W

    GE2020 Hata mwaka huu 2020 CHADEMA, ACT et al hawana wagombea ubunge, udiwani nchi nzima watakuwa baadhi ya maeneo, kuambulia wabunge kiduchu

    Ndugu zangu, Pamoja na kelele nyingi mitandaoni bado vyama vya upinzani hususani CHADEMA, ACT et al hawana na hawataweza kuwa na wagombea ubunge na udiwani kila mahali kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Vyama vyote vya upinzani havitaweza kutoa wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya arobaini...
  10. Tetesi: CHADEMA kufutwa?

    Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
  11. Mlioikopesha hela Chadema mna leseni za kukopesha ? Riba mnayopata mnalipia Kodi TRA?

    Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali. Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa? Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao? Tatu Riba ambayo iko kwenye...
  12. I

    CHADEMA chama bora cha siasa Afrika

    Chama cha demokrasia, CHADEMA, kinabaki na kinaendelea kuwa moja ya vyama bora cha siasa Afrika. ni chama pekee japo hakikushika dola bado, kinakidhi matakwa ya umma na kikatiba ya kuiongoza nchi. Chama hichi ni mpango wa Mungu. japo wale walioko madarakani wamekuwa wakikisakama Chama hichi kwa...
  13. J

    Nimeipitia katiba ya CHADEMA hakuna namna Mwenyekiti anavyoweza kugusa fedha ya chama bila baraka za kamati kuu

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama. Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje...
  14. F

    TAKUKURU Ikimaliza Kuichunguza CHADEMA Watumie Ripoti ya Wizi wa Mali za CCM ya Bashiru Kuichunguza CCM pia

    Katika kuendeleza mashambulizi dhidi ya CHADEMA na Mbowe, serikali ya CCM imeiagiza TAKUKURU kuchunguza tuhuma za ubadhilifu wa fedha ndani ya CHADEMA. Mbali na ripoti ya CAG kueleza wazi kuwa kulikuwa na kasoro kadhaa katika taarifa za fedha za vyama vyote, vikiwemo CCM na CUF, TAKUKURU...
  15. GE2020 Ni kwanini TAKUKURU haijamchukulia hatua Dkt. Mayrose Majige wa CHADEMA kwa kutangaza kugombea Urais kabla ya muda?

    Tume ya uchaguzi ya Tanzania (NEC) ndiyo pekee yenye mamlaka ya kutangaza muda wa kuanza kampeni kwa vyama vyote vya sasa, kwa nafasi zote za zinazogombewa katika uchaguzi mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Tume hiyo ya uchaguzi bado haijatowa ratiba hiyo na hivyo kuonya kwa...
  16. J

    Nimejipa jukumu la kuiombea CHADEMA katika kipindi hiki kigumu wanachopitia, bila upinzani imara CCM itayumba

    Ukiwa juu ya siasa za vyama utaona wazi namna wananchi watakavyoihitaji Chadema kuliko makamanda wa Ufipa wanavyowahitaji. Kwa kuwa chama kikuu cha upinzani kinapita katika wakati mgumu na mimi naamini kwamba Siasa siyo uadui, basi kwa hiyari yangu mimi Yohana nimejipa mzigo wa kuiombea Chadema...
  17. GE2020 Chadema na ACT Wazalendo njia panda wagombea ubunge wao wengi wanatoka mkoa mmoja tu

    Watangaza nia ya kugombea ubunge vyama vya Chadema na ACT wazalendo wanawapa ugumu na kuviweka njia panda vyama vyao kwenye maamuzi. Chadema watia nia wengine wanatoka mkoa wa Kilimanjaro wakati ACT wazalendo watia nia wengi wanatoka Pemba. Na wengi wanafahamiana. Na wenyeviti wa hivyo vyama...
  18. Chadema kutumia watu wasiojulikana kutukana viongozi sio ustaarabu wa kisiasa

    Ustaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa. Hakuna ubishi kuwa serikali ya CCM chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri. Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo...
  19. Live from EA Radio Super Breakfast: Mtangaza Nia Urais wa JMT Kupitia Chadema, Dr. Mayrose Majinge Yuko Live, Mubashara

    Wanabodi, Wenye access fuatilieni hii Wanabodi, kiukweli huwa nasikiza Radio asubuhi mara chache sana, niwapo njiani kwenye gari, na station ninayosikilizaga sio EA Radio, lakini leo nimeamua kuisikiliza hii Redio Redio baada tuu ya kuona hili tangazo ili nimsikie huyu dada. Watangazaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…