chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Chadema walimpenda sana Job Ndugai na alipoenda India walimlilia, kwa sasa Chadema wanampenda Rais Samia!

    Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu. Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji wa haraka. Aliporejea Freeman alienda air port kumpokea na kumsindikiza hadi nyumbani kwake...
  2. J

    JamiiForums Tanzania CCM imebadilisha wenyeviti mara 4 lakini wenzao CUF na Chadema wako wale wale Prof Lipumba na Mbowe

    Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi. Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Umoja ni Nguvu: Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Njombe wafikia pazuri

    Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima. Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe...
  4. JamiiForums Tanzania Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

    Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu. Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA tayari kuuwasha moto. Arusha mpo?

    Kilimanjaro na Manyara mkae tayari, the game is about to start, Mama waamshe wanao waambie Makamanda wameingia Mjini tayari kukiwasha, hii haifi ina tabia ya kusinyaa tu ikimwagiliwa kidogo inakuwa mbuyu.
  6. JamiiForums Tanzania Tunaposema CHADEMA ni taa ya nchi hatutanii, hebu angalia video hii

    John John Mnyika alishaweka angalizo mapema sana kuhusu chanjo ya COVID-19, sasa angalieni kilichosemwa leo .
  7. J

    JamiiForums Tanzania ACT wazalendo ni imara Zanzibar huku Tanganyika afadhali ya Chadema!

    Zitto Kabwe amesema wanaoibeza ACT wazalendo kushiriki uchaguzi mdogo Kigoma ni Washamba. Mimi nadhani Zitto Kabwe ndio mshamba kwa sababu anadhani ACT wazalendo ya Zanzibar ndio hii ya Tanganyika. Chadema ni bora zaidi mara 10 kuliko ACT wazalendo kwa siasa za Tanganyika. Zitto Kabwe ana...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa maneno ya Lissu, basi chadema haina political figure yoyote nchi nzima

  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

  10. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Biswalo, Chadema tujitafakari kwa kina!

    KWA HILI LA BISWALO, CHADEMA TUJITAFAKARI KWA KINA! Na, Julian Chacha – RORYA Hivi karibuni kumeibuka utaratibu mpya wa kuitumia CHADEMA kama daraja la kupitisha hoja zenye maslahi binafsi kwa baadhi ya watu. Sisi wanachadema tuanelewa kwanini chama chetu kipo kilipo, hawa wanaojaribu kununua...
  11. JamiiForums Tanzania Tamko la CHADEMA kuhusu uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama Kuu

    Itakumbukwa kwamba tarehe 11.05.2021 Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitangaza uteuzi wa nafasi za Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Mahakama Kuu ya Tanzania uliofanywa na Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan. Kutokana na unyeti wa nafasi hizo katika kusimamia haki nchini tumeona ni muhimu kusema...
  12. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hongereni kwa kuweka mpira kwapani mdogo wenu Zitto Kabwe analialia huko Muhambwe!

    Heri nusu shari kuliko shari kamili. Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi. Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya uchaguzi Leo wakati wananchi wanapiga kura kwa utulivu na amani Zitto Kabwe anaturejesha kwenye...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Mabina wa CCM na Mawazo wa Chadema vilikuwa vya kinyama sana, baadhi ya maeneo watu ni makatili sana!

    Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe. Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi. Hii dunia kuna binadamu makatili jamani. Eid Mubarak!
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Julai 1, 2021 rasmi CHADEMA wanarejea kwenye ukorofi

    Ndugu zangu, Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 Freeman Mbowe aliutangazia ulimwegu jinsi alivyohusudu utawala mpya wa Jakaya Kikwete huku akiwaponda wanasiasa wengine kama Prof. Lipumba aliyelalamikia madhaifu ya tume ya uchaguzi. Mbowe na CHADEMA walirukaruka kama ndama wakifurahia Serikali mpya...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA yawatakia heri ya Sikukuu ya Eid El Fitri Waislam wote wa Tanzania

    Hii ndio Taarifa yao walioisambaza kwa vyombo vya habari .
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa CHADEMA ratibu ukusanyaji ushahidi dhidi ya Sabaya maana ukatili mwingi walifanyiwa wanachama wa CHADEMA

    Hii ina mantiki kubwa. Ukatili ulio mwingi walifanyiwa wafuasi wa Chadema, ni vema CHADEMA ikaratibu ukusanyaji wa ushahidi dhidi ya Sabaya ili haki itendeke. Waandae waathirika waweze kutoa ushahidi wa kweli na si vinginevyo. Walindwe dhidi ya vitisho vya Sabaya na genge lake etc........
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kampeni Kigoma ni shwari kabisa hakuna malalamiko labda kwa vile Chadema hawashiriki!

    Kampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana. Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo wao CCM inapeta tu kama kumsukuma mlevi wa mataputapu.. Eid Mubarak!
  18. JamiiForums Tanzania Chadema ina mgombea Buhingwe?

    Kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buhingwe huko Mkoani Kigoma, wapiga Kampeni wa vyama vinavyoshiriki kwenye uchaguzi huo, ni LAZIMA kila siku waitaje CHADEMA. Kuishambulia huko CHADEMA kunatokana na nini wakati CHADEMA haina Mgombea (Ninavyojua mimi) kwenye jimbo hilo?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

    CHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini. Niwapongeza wanaofanya kazi hii na kuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA na NGO's waitishe maandamano ya amani kudai Katiba ya Warioba na Tume Huru ya Uchaguzi

    Muda ni sasa, kesho ipo karibu sana na tutashtukia tayari 2025 hiyo. Hatuna Tume Huru wala Katiba mpya. Kama tuna pesa za Mwenge wa Uhuru tunakosa vipi pesa ya kumalizia Katiba ambayo ipo tayari kwa 90%? Kama tuna pesa za kufanya SENSA ya watu na makazi mwaka 2022 tunakosaje pesa ya kumalizia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…