chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. W

    GE2020 CHADEMA, Makene akiweka video zote mikutano ya kampeni live mtakata tamaa na kampeni

    Ndugu zangu, Hili la CHADEMA kumnyooshea kidole Makene si sawa. Ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya. Akiweka kila kitu msianze kulaumu na kukata tamaaa, ndio maana baadhi ya viongozi wameteuliwa kutengeneza picha...
  2. Z

    GE2020 CHADEMA mkisema mtatoa Huduma za Afya bure, naomba mjibu hoja zifuatazo

    Nimeona CHADEMA ikijinadi kuwa ndani ya siku mia moja watahakikisha huduma za afya inatolewa bure kwa kushirikiana na taasisi binafsi. Kwangu hili itakuwa jambo jema kwa watu zaidi ya watu millioni 60 watapewa huduma bure kabisa bila kuchangia chochote. Lakini nina mashaka na ahadi hii 1...
  3. J

    GE2020 Je, Membe atapunguza kura za CCM au za CHADEMA?

    Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa 2015 Lowassa alipunguza kura za CCM na hivyo CHADEMA kufaidika. Mwaka huu ACT wazalendo ina mgombea urais mwenye nguvu zaidi ya yule wa 2015 naye akitokea CCM mh Bernad Membe. Tunajua kwa rekodi ya 2015 CCM tayari ina mtaji wa kura zaidi ya milioni 8 na...
  4. G Sam

    GE2020 Wapo wagombea wa CHADEMA ambao wakirudishwa na Tume basi kwa hawa CCM weupe moto utawaka. FA hamna kitu aisee

    Huyu mgombea wa ubunge Jimbo la Muheza kwa tiketi ya Chadema akirejeshwa na Tume na naamini atarejeshwa, basi kuna wana CCM nyeti zitaonekana waziwazi. Huyu Mwana FA ni mweupe mpaka anatia huruma, hapa ndipo ninapowaza Magufuli alitumia vigezo vipi kuwapitisha hawa utopolo. Ila na yeye si...
  5. YEHODAYA

    GE2020 Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa Darasa la Sheria akitumia daftari zake za Mwaka wa Kwanza Chuo Kikuu

    Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais. Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting. Lissu badala...
  6. Kadoda nguku

    GE2020 Mgombe Urais wa CHADEMA ayaseme pia na haya kwenye Majukwaa

    Yapo pia mambo ambayo wapinzani inabidi wayaweke wazi kwenye majukwaa. Tunapozungumzia wapinzani naamanisha CHADEMA na ACT-Wazalendo. Wasipoyasema sasa hawatapata tena muda wa kuyaongea baada ya uchaguzi, kwa sababu najua mara baada ya kutangazwa mshindi na kuapishwa siasa za majukwaani...
  7. MSAGA SUMU

    GE2020 CHADEMA tumieni huu muda vizuri wa kampeni, maana baada ya hapo tutakuwa na miaka 5 ya kuchapa kazi

    Magufuli ni mtu anayesimamia maneno yake, aliwahi kusema hakutakuwa na siasa za majukwaani mpaka 2020 na kweli imetokea hivyo. Tutakapo rudi baada ya uchaguzi hakutakuwa na siasa za maandamano kwa hiyo Lissu ajitahidi kuutumia huu muda vizuri majukwaani na sio kueleza amepigwa risasi ngapi...
  8. N

    GE2020 CHADEMA itachaguliwa na nani?

    *CHADEMA WATACHAGULIWA NA NANI?.* Chadema wanataka kuchukua dola lakini mpaka sasa wameshagombana karibu na kila chombo wanachotaka kwenda kukiongoza. Polisi hawafai Mahakama Haifai Takukuru Haifai Usalama Haufai Tbc Hawafai Clouds Hawafai Uhuru Hawafai Channel Ten Hawafai Tume Ya...
  9. W

    GE2020 Kituko: Tundu Lissu na CHADEMA wanaamini mkoloni angetoa ''haki'' waafrika wasiongemkataa

    Ndugu zangu, Nikiwa katikati ya shughuli zangu nimesikia kituko toka kwa Lissu na wafuasi wa CHADEMA eti..''pamoja na maendeleo aliyoleta mjerumani alikataliwa na waafrika sababu hakutenda haki'' kwa lugha rahisi ni kuwa mjerumani angetenda hiyo ''haki'' Lissu na wenzake wangefurahia tu...
  10. E

    GE2020 Chini ya CHADEMA, elimu ya msingi itakuwa miaka tisa

    Nimeisoma ilani ya CHADEMA sura ya tano ibara ya saba kifungu "e" nimekiambatanisha hapa chini, kinasema ili kuboresha elimu shule ya msingi itakuwa miaka tisa, binafsi ningependa shule ya msingi iwe miaka mitano, lengo la shule ya msingi kama lilivyo ainishwa na Friedrich Froebel ni kumuandaa...
  11. mkiluvya

    CHADEMA wakaziwa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kanda ya Pwani

    Tuseme ule ukweli tuu, kitendo cha Mbowe kuwafukuza TBC hakikuwa cha ustaarabu hata. Jamaa walikuwa wanafuata taratibu zao tuu kama kawaida, daily wanalia uhuru wa habari afu wao ndo hivi daaah Say something!
  12. Civilian Coin

    GE2020 Ushindi wa CCM Oktoba 2020 itakuwa ni fedheha kwa CHADEMA na ACT Wazalendo na upinzani wote

    USHINDI WA CCM OKTOBA 2020 ITAKUWA FEDHEHA KWA UPINZANI HASA CHADEMA NA ACT. Niliwaambia wapinzani waungane waunde Umoja utakaoitwa MUMAFI (MUUNGANO WA MABADILIKO YA FIKIRA) lakini wamekubali kugawana kura kiulani Sana, kwa ubishi huu wa kujifanya mnajua Sana kuliko watazamaji wanaojua Nini...
  13. B

    GE2020 Wagombea Ubunge wa CHADEMA walioenguliwa wapo zaidi ya wiki moja Dodoma Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    1 September 2020 Dodoma, Tanzania Bila Uwoga SUGU ailipua TUME ya UCHAGUZI, Amtaja Katibu wa CCM, - "Amani ya nchi Ipo mikinoni Mwao" Wabunge Wa CHADEMA Walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi Katika Majimbo Mbalimbali Wamekutana Na Waandishi Wa habari jijini Dodoma Kuiomba Tume Ya Uchaguzi...
  14. P

    Ushauri kwa Mbowe: Vunja kitengo cha mawasiliano cha CHADEMA, kisuke upya

    Wapendwa wakuu humu jamvini: Huu ni wakati wa Kampeni na Uchaguzi mkuu. Nguzo kubwa ya ushindi katika uchaguzi ni communication (mawasiliano). Kwa maana ya kwamba lazima wapiga kura wafikiwe kwa ujumbe na ilana ya chama kwa ufasaha na kwa haraka, na ujumbe huu urudiwe mara kwa mara kwenye media...
  15. M

    GE2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

    Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuitikisa jiji la Mwanza katika mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Furahisha. Tayari maandalizi yamekamilika na maandamano makubwa ya kumlaki yanasubiriwa kuanza wakati wowote kutoka sasa Tayari mgombea huyo ameshafanya mikutano...
  16. N

    CHADEMA mnatuangusha, mnashindwaje ‘Live Streaming’ hata YouTube? This is unacceptable

    Muda huu naangalia ACT-Wazalendo wako kila sehemu Live YouTube. CHADEMA hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same. Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura. CHADEMA ni chama kikubwa, badilikeni...
  17. MIMI BABA YENU

    Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

    Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
  18. William Mshumbusi

    GE2020 Kuna tatizo kidogo na namna CHADEMA wanavyonadi sera zao. Ubunifu ni kidogo sana na wanashindwa kwenda sawa na matarajio ya Umma

    Ingawa mgombea wao Ameanza kunadi Sera zao, lakini hayapo uzito Mambo yanayowagusa wengi. NI Kama anasema tu juu juu na kukazia maswala binafsi yanayomuhusu yeye na watu wa chama chake. Ajira, kilimo na biashara kila moja kinaweza kumuathiri kila mtu Ila mgombea anashindwa kuonesha kila ajenda...
  19. Replica

    GE2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

    Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii...
  20. BAVICHA Taifa

    GE2020 Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Huu hapa ni Muhtasari wa Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Yaliyomo kwenye Ilani
Back
Top Bottom