Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali...
Makamanda baada ya orodha ya wateule ma DC kutoka kila mmoja ameanza kejeli ooh UVCCM wametoswa wamechukuliwa waliounga juhudi. Tatizo liko wapi, kwanza ni Watanzania sio Wakenya.
Pili, mbona nyie mlimpa ukatibu mkuu Dk Slaa toka CCM, mkampa Lowassa nafasi ya ujumbe wa kamati kuu ili hali wapo...
Kila mwana CHADEMA sasa hivi anasikika akinog'ona kwa maneno na maandishi. Mama ndio kiongozi maana amerudisha uhuru wa kuongea na kufanya ziara za kisiasa.
Pia, wanafurahi sana pale wanapoona askari wa miguu (infatry soldiers) waliokuwa bega kwa bega na JPM wakipata madhira.
Mbaya na isiyofaa...
SABAYA FOR CHANGE (S4C)
Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama kwa upande wa sabaya mmeamua kupambana na Serikali?"
UFAFANUZI WA KWANZA:
Well, Hatupambani na...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia harakati mbalimbali za wanasiasa hapa nchini, zikiwamo oparesheni mbalimbali za vyama vya kisiasa na nyingi zikiisha kwa mafanikio makubwa, kwa faida ya vyama husika. Kati ya chache ninazo zikumbuka ni operation ya kufufua uhai wa chama cha mapinduzi...
Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno.
Hebu jionee mwenyewe.
Katika dunia tunayoishi nyakati hizi hakuna kishawishi chenye nguvu kama fedha. Maandiko yanasema katika Biblia takatifu fedha ni jawabu ya mambo yote na pia ni shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha. Usipokuwa mwangalifu sana na fedha inaweza kutumika kukumaliza. Si kila fedha...
KWENYE HILI LA SABAYA, CHADEMA INAIFUNZA JAMBO CCM
Anaandika Mbatizaji Mkuu
Unaemwona pichani ni Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema, huyu ndugu alikamatwa na dawa za kulevya kidhibiti kipo na kufikishwa Mahakamani, akafunguliwa mashtaka na hivi karibuni ilikuwa siku ya hukumu yake...
Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata kuikosoa serikali ambayo inaongozwa na chama chake.
Mtazamo niliokuwa nao juu ya Gambo akiwa RC...
Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine.
Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi?
Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya...
Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini.
Wakati umefika vyama vya siasa vianze...
Huenda uwepo wa wanachama waliofukuzwa chadema almaarufu covid-19 ni mojawapo wa sababu za Rais Samia Suluhu Hassan, kuchelewa kutimiza ahadi yake ya kukutana na chadema. Kwa utambulisho wa Nusrat Hanje jana jijini Mwanza kama mbunge wa chadema hii inaashiria mama anawatambua hao covid-19...
SHINIKIZO LA CHADEMA KUKUTANA NA RAIS LINATIA MASHAKA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Baada ya Mhe Rais kula kiapo Cha kuliongoza Taifa hili, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wake Mzee Freeman Mbowe waliutangazia umma kuwa wamemwandika barua Rais ya kutaka...
Chama ambacho kipo nchini na kinafanya siasa kila siku zaidi ya miaka ishirini kinaanza kuweka mawe na kuzindua mashina kina hali gani sasa!
Kinampango wa kukamata dola? Kwa staili hii watakamata dola?
Kama watakamata dola itakuwa lini? Maana kama baada ya miaka ishirini ndio wanaanza ujenzi...
Kwa muda huu saa10:30 asubuhi msafara wa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe umewasili hapa katika viwanja vya Mahakama Kuu Mbeya kusikiliza hukumu ya mwanachama wao Mdude, ambaye alishitakiwa kwa makosa ya madawa ya kulevya, uhujumu uchumi nk
Wafuasi wa CHADEMA wamewasili hapa tangu saa 2...
CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao.
Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu...
Kwanza hongera kwa kuleta wazo hilo lakuomba uwepo wa uhamasishaji na elimu kwa wananchi kuchangia kupata katiba mpya ikiwa serikali itasingizia uviko umeshusha uchumi.
Ni wazo zuri na la kizalendo kwa kinga ya vizazi vijavyo. Ushauri wangu muondokane na agenda yakujinga kwa uchaguzi 2025...
Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa .
Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu...