chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

    Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu . Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa...
  2. kajekudya

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

    Kuna watu humu wanajipa moyo eti CHADEMA hii ya Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Halima, Bulaya Matiko na Wenzake wanaweza kuishinda CCM ya Magufuli, Bashiru Ali, Mangula, na mfumo mzima wa Chama Cha Mapinduzi. Kama Kuna mtu anawaza hivo na anamanisha na ana amini Mawazo yake hayo yanaweza kuwa...
  3. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Mungu amekupa nafasi nyingine kuishi uushuhudie ukuu wake katika taifa hili

    Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake. Habakuki 2:4 Imani ni neno ambalo tunatumia sana, lakini wakati mwingine tunaweza kufanya liwe ngumu sana. Imani ina maana tu “imani au tumaini kamili”; neno pia lina maana ya uaminifu na kujitolea...
  4. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Meatu linawindwa sana na CHADEMA

    Kama kuna jimbo ambalo CHADEMA wanaliwinda kwa udi na uvumba basi la Meatu lipo juu kwenye list! Ni jimbo ambalo lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na mfanyabiashra mwenye kiwanda cha vintwaji JAMBO kilicho mkoani Shinyanga Jimbo kwa sasa lina wagombea wawili Leah Komanýa wa CCM na Mwl...
  5. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri wa dharura kwa CHADEMA juu ya Wapiga kura hewa na vituo hewa vya kupigia kura

    Kufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations). Hii ni katika mbinu za kufanikisha Ushindi wa Chama TAWALA CCM. CHADEMA hima waanze kukusanya orodha ya majina ya...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

    Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo atafanya mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ya mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi. Endelea kubaki...
  7. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tahadhari kuhusu Uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa vya Kupigia Kura

    Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo. Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnasema nini kuhusu uraia pacha?

    Tunafahamu msimamo wa CCM kuhusu uraia pacha, diaspora, je, CHADEMA mnasemaje Kama mkishinda?
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yashindwa kuzitolea majibu Rufaa 16 za Wagombea udiwani wa CHADEMA Mbeya Mjini, Wananchi watinga kwa DED kuulizia

    Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua maana ya maswali kama haya tunayouliza humu mitandaoni. Sasa ni dhahiri kwamba Wilson Mahera hana...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joshua Nassari amuomba radhi Rais Magufuli kwa mabaya yote aliyomtendea akiwa CHADEMA!

    Mbunge mstaafu wa Chadema Dkt. Joshua Nassari ameomba radhi rasmi kwa Rais Magufuli kufuatia mambo maovu aliyomfanyia kabla hajahamia CCM. Nassari ambaye alikuwa akiongea kimasai amewaomba radhi wanaccm na wana Arusha wote kwa machukizo aliyowasababishia akiwa CHADEMA. Nassari amewataka...
  11. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maendeleo yapi CHADEMA wataleta tofauti na ya chama kilichopo madarakani?

    Kuna mambo inabidi ifike hatua muwe mnaongozwa na akili badala ya mapenzi ya vyama au mihemko isiyo na faida siasa sio Kama ushabiki wa mpira siasa inagusa maisha yetu. Kuna mambo nimeona hapa wakiaminishana eti akiingia Tundu Lissu na CHADEMA kiujumla ndio watakuwa na maisha Bora hiv Nani...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wale wanao hitaji muda wa ziada

  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee wa miaka 90 Askari mstaafu ajitolea kuwa wakala CHADEMA

    Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani za Uchaguzi: CCM na CHADEMA zinakubaliana kwenye Bima kwa Wote, Maslahi ya Wafanyakazi na Bei nzuri za mazao!

    Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama. Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko. Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote...
  15. Securelens

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

    Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea. Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hujuma dhidi ya CHADEMA na wapinzani kwa ujumla, ni matokeo ya uvumilivu wa wapinzani unaotafsiriwa kimakosa kama uoga

    Huu ndio ukweli ambao wapinzani tunapaswa kuutafakari na kuchukua hatua sahihi. Wameengua wagombea wa upinzani tukaa kimya, wakatuchukila poa, lakini kama tungesimama imara, leo hizi figisu za kuapisha mawakala pengine zisingetokea. Tusisahau walianza katika zile chaguzi za marudio...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yailaumu NEC kwa vifo vya mawakala watano wa chama hicho

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amewalaumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa vifo vya mawakala watano wa chadema katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo – Sumbawanga Mnyika amesema mawakala hao wamefariki walipokuwa wanawahi ofisi za Mkurugenzi kuapishwa kutokana na utaratibu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chief kalumana Mgombea Ubunge wa CHADEMA Bukoba mjini akamatwa, Mabomu yapigwa uapishwaji wa Mawakala

    Chief kalumana inasemekana amakamatwa na polisi akiwa eneo la kuapishwa mawakala na mawakala wa chadema hawajaapishwa hadi sasa. ===== Jeshi la polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia nguvu kuwatawanya wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na mgombea ubunge jimbo...
  19. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Mikoa yetu katika Ilani za CCM na CHADEMA

    Wakati watanzania wakiendelea kutafakari kable ya kuamua watakichagua chama gani kushika dola, miongoni mwa mambo yanayoweza kuwaongoza ni namna ambavyo vyama vya siasa vimezingatia mahitaji ya maeneo wanamoishi wapigakura, na hivyo kata, wilaya na/au mikoa yao. Mbali na kuangalia mahitaji ya...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mawakala wanne CHADEMA wafa ajalini

    Mawakala wanne wa CHADEMA wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema. Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi
Back
Top Bottom