chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hapajulikani Polisi walipomficha Freeman Mbowe

    Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nani alipambana na CHADEMA akashinda? Huyu nae akiendelea, hafiki mbali na anaeweza kwenda na kuiacha CHADEMA iko imara

    Naomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea. Wanaopambana na CHADEMA wanapambana na nguvu za Mungu na ndio maana hiki chama mpaka leo kipo imara. Wanapoteza muda tu na resources zao bure tu. Yule aliesema...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu

    Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi. Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
  5. JamiiForums Tanzania Alietudanganya kuwa CHADEMA ni nguvu ya umma yuko wapi?

    Pamoja na yote yanayotokea kwa mwenyekiti na chama kwa ujumla, lakini maisha mtaani yanaendelea kama kawa hakuna dalili ya kuyumbishwa. Nguvu ya umma yuko nayo Zuma tu peke yake.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Lissu: Wote waliowahi kubambikizwa mashitaka waliishia kuwa Wakuu wa Serikali

    Hivi ndivyo kaandika kupitia Twitter:
  7. JamiiForums Tanzania Sijasikia wananchi wa kawaida wakiwalilia mashujaa wa CHADEMA waliotiwa nguvuni

    Wanaopika vitumbua wako busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao. Waliotiwa nguvuni wanajinasibu kuwa ni wapigania haki na wakombozi wa taifa hili dhidi ya udhalimu wa CCM. Je ni kweli? Mbowe na Pambalu wamegeuka kuwa mashujaa wa kupigania haki...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Lissu anautaka Uenyekiti CHADEMA?

    Lissu ni Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, asipokuwepo Mwenyekiti basi yeye anachukua mamlaka. Nimeshtushwa na kauli ya Lissu kuzuia wanachadema wasimuwekee dhamana Mbowe, je anataka Mbowe aozee jela ili aupate Uenyekiti wa Chadema? Mbona yeye yuko ubeleji kwa kuwa aliwekewa dhamana? Je, TAL ana...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma kimesema kuwa endapo Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe asipoachiwa ifikapo saa kumi kamili jioni leo July 22, 2021, kesho wataitisha maandamano bila kikomo mpaka pale Mwenyekiti atakapoachiwa. #MillardAyoUPDATES
  10. JamiiForums Tanzania Sio sawa CHADEMA kudai ni Chama Kikuu cha upinzani wakati Bungeni wana kiti kimoja

    CHADEMA hawajitambui kwa kujiita chama kikuu cha upinzani huku bungeni wana kiti kimoja tu cha kuchaguliwa na wananchi. Wamekua hawakubali ukweli kwamba hawana ridhaa ya wananchi kuongoza nchi hii. CHADEMA huku wakifuata ushauri wa mabeberu wasiyoitakia heri nchi wamekua wakidai wameporwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kama kweli tuna uchungu na CHADEMA tuache kuandamana kweye mitandao tuwe mfano

    Wanaukumbi. Wafuasi wa Chadema popote pale walipo tuache kutoa matamko kwenye mitandao huku tumejificha mara makongamano ya online kila mmoja yupo chumbani kwake. Tuingie uwanja wa mapambano bila sisi wafuasi wa Chadema kufanya hivyo hamna wakutufanyia. Yaani Chadema wanatafuta chambo kwenye...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufungua kesi kushinikiza Mbowe aachiwe

    Tutakwenda kufungua kesi Mahakama Kuu ili kushinikiza Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe aweze kuachiwa. Haya yamesemwa na John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA. Akihojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC)
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasipoe, ushindi uko karibu

    Kwenye hii ishu ya katiba mpya na haki ya mikutano ya kisiasa iliyoko kwa mujibu wa katiba, kwa vyovyote vile Samia atakavyoamua kudeal na Chadema, Chadema bado wataibuka washindi. 1. Ni kwa faida ya legacy yake mwenyewe kutogeuka dictator Kama angekuwa mwanafunzi mzuri wa hayati Magufuli...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA haijahodhi mchakato wa Katiba bali inaongoza mapambano, anayetaka ajiunge nayo

    Makamu Mkiti wa CHADEMA akiongea leo kwenye Forum ya Maria Space inayoongozwa na Mwanaharakati Maria Sarungi iliyoshirikisha watu zaidi ya elfu 6 duniani kote, amesema, “Kama makundi mengine ya vyama vya kiraia, vyama vya siasa, NGOs, viongozi wa dini wanasita au wanaogopa dola kujitokeza...
  15. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharula tarehe 22/7/2021

    Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani , kwenye Mkutano wake wa dharula aliouitisha Maalum. Bado haijafahamika ajenda zitakazojadiliwa , lakini suala la Kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa chama...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

    Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako. Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge. Mama katika...
  17. JamiiForums Tanzania Sitakubali Rais Samia ahujumiwe

    Serikali hii ilianza vibaya. Walianza kwa kujitenga na Magufuli bila kujua watanzania wengi walimpenda, na hata ambao hawakumpenda walihuzunishwa na kifo chake kwakua walimzoea. Hapa tulipofikia, wale waliotakiwa kuridhika na serikali kutokua chini ya Magufuli, hawaridhiki na serikali iliyopo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Eid imegeuka siku ya wenye madaraka kuwatesa wenzao bila hatia

    Ni aibu sana kusikia watu wanatuma salamu za eid wanajibiwa kwa matusi. Page za viongozi zimejaa matusi badala tutakiane baraka Kama Taifa. Siku ya ibada takatifu Kama Leo ili viongozi wa kitaifa wawe wanaozungumza na wananchi na waumini kuwaeleza mipango ya kesho, kinyume chake hata wao...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitisha Mkutano wa dharula na waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya chama Mchana huu

    Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam . muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona . wote mnakaribishwa ====== Mbowe hajulikani alipo ...
  20. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Katiba lalaani kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA huko Mwanza

    Huu hapa ndio ujumbe wao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…