Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , leo kimetangaza siku ya kufanyika kwa mkutano mkubwa kabisa wa chama hicho ambao ni Baraza Kuu la Chama , uliopangwa kufanyika Jijini Mbeya July 31 2021 . Taarifa hii imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho , Freeman Mbowe , Jijini Mwanza .
Kikao...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama ilivyotangazwa na Serikali.
Wito huo umetolewa leo Jumatatu, tarehe 19 Julai 2021 na Mwenyekiti...
Wanaukumbi.
Chadema mnapewa onyo kwa barua na Jeshi la Polisi msikusanyike. Mnaiposti barua kwenye Mitandao na kujitapa kwamba tutakusanyika tuone polisi watafanya nini.
Polis wanawakamata; mnarudi kwenye mitandao kuomba michango mtoe waliokamatwa daah hii ni biashara au deal la Mbowe na...
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA.
Leo...
Ukweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania.
Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba mpya kama njia ya kuonekana wanatetea wananchi ili kuchafua amani ya taifa letu.
Hawa watu ni watu...
Kwa mara ya kwanza jana (tar.17/07/21) nilipata joto halisi la ongezeko la kodi katika miamala ya simu za mkononi. Niliumia sana kwani nilishindwa kutoa kiwango fulani cha pesa kwa ukosefu wa hela ya kutolea. Lakini katika tafakuri yangu, nilijikuta namsifu sana Mhe. Rais Samia kwa ujasiri wake...
Ndugu Freeman!
Mara nyingi umesikika ukitaka sana siasa za uungwana, siasa za akupigaye shavu la kushoto basi mgeuzie la kulia. Hilo ni jambo zuri lakini hiyo falsafa yako inafanya kazi katika nchi za watawala ambao ni sober minded, siyo katika nchi ambayo watawala wameamua liwalo na liwe kwenye...
Kuna kila dalili Chadema sasa wameanza chokochoko, mifano ipo mingi.
Mfano tukio lililo tokea mkoani Mwanza, viongozi kutoa matangazo kwa wanachi kuhudhuria mkutano wa ndani ambao haukufuata taratibu, hilo sio sahihi.
Chadema acheni ukorofi na ukaidi, heshimuni sheria na taratibu zilizowekwa...
Mkakati mpya ambao ni mbadala wa makatazo ya CCM na Polisi kwenye kampeni takusisimua akili za Watanzania juu ya katiba mpya vijana wa vyuo vikuu Mwanza leo wameendesha kampeni ya kutoa elimu kijiweni au maskani lengo likiwa nikuwafikia wananchi bila kuzimwa na akili na fikra za watawala.
Mbinu...
Hawa jamaa wanalia lia wakati walisema "watamnyoa" hebu wamnyoe tuone,mbona wanalia akiwaonyesha kuwa yeye ndiye mwenye mkasi, hizo ni salaam tu.
Mlionyeshwa maua mkatoa upanga, ubabe na matusi, haya sasa, mama ana mamlaka yote kisheria, hata hiyo katiba akiamua hamtaiona
Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya
Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya
Pia soma
Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya
Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais
Tukiwa wadogo tulionywa na wazazi pamoja na jamii kuwa katika jambo lolote ni lazima ujipange ili ufanikiwe na waswahili wakaongeza kwa kusema "Asiyekubali kushindwa si mshindani." CHADEMA wamekuwa wakisahau methali hii ya wahenga na kuwa wahanga katika mengi kwa sababu Chama Cha Demokrasia na...
Chadema kuweni makini na huyu mama wanawake huwa wakatili zaidi ya wanaume,kauli yake inaongoa zaidi kwa kirefu ,"nasikia wameanza chokochoko tumejipanga"
Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi.
Peoples.........!
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/kjYGNCmYC7
"Zao la korosho pekee linatutosha sana watu wa kusini kuondosha umasikini lakini chama tawala hawataki watu wa Kusini tuondokane na umasikini. Sasa dawa yao ni kuwaondosha madarakani" Isihaka Mchinjita ( @Isihakamchinji1 ) Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mkoa wa Lindi. https://t.co/RLYYxU4KGP
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14...
Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma.
Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia.
Tafiti za kisayansi...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk, Philemon Sengati, kulia akizungumza na wagonjwa wa Corona alipowatembelea katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ambapo alikuta hakuna idadi ya wagonjwa wengi kama ilivyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii.
Na Marco Maduhu, Shinyanga.
SERIKALI mkoani Shinyanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.