CHADEMA kuweni makini mkianza maandamano ya amani

Kiti

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
359
234
Mtakapoanza maandamano ya amani nendeni na simu zenu zenye video kamera ili kuwa na ushahidi wa watakaoanzisha uvunjaji wa amani na kuwatambua hata kwa sura.

Ni wazi magaidi ambao siyo wa CHADEMA watataka walianzishe ili lawana ziende CHADEMA.

Nawasilisha.
 
Dress rehearsal imeshaanza kwa vijana wasio wanachama wa CHADEMA kuita press conference kuusema uongozi. Watu wa aina hiyo wanaweza kujitokeza kuanzisha fujo ili CHADEMA walaumiwe. Haijalishi kama wengi hawata waamini mradi sababu ya kukichukulia hatua CHADEMA ipatikane.

Amandla...
 
Kwakuwa silaha waliyochagua nibambikizi hayo wala hayatashangaza ila ni yakutarajiwa muda na wakati wowote.
 
Chadema akili kubwa wameisha ngamua hii mbinu ya maccm

Mipango umesukwa kupandikiza magaidi ilivwapate uhalali wa kukifuta

Msajili yuko standby

Ndo maana katibu mkuu myika kwenye press conference aliukwepa huu mtego

Tofauti na ushauri wa akina kigogo eti cdm wafa vutugu wakati mazingira hayaruhusu
 
Tofauti na ushauri wa akina kigogo eti cdm wafa u vutugu wakati mazingira hayaruhusu
 
Kwahiyo mmempuuza Lisu aliesema hamtahangaika na Mbowe?

Ndio, kama mlivyompuuza dhalimu kuhusu chanjo ya Covid. Kile kibanda chake cha ushirikina hapo muhimbili kimeondolewa, na chanjo na barakoa zinavaliwa na waliokuwa misikule wake kama sio wao. Kabudi inabidi apewe chanjo kidogo akachanje mapapai maana nayo dhalimu alisema yalikutwa na Corona.

Ila dhalimu alikuwa kiboko, ule ujinga alikuwa anaongea alikuwa macho makavu, na watu na elimu zao wakawa wanamsifia! Nakubaliana na mdau aliyesema mtu mweusi ni tumbili aliyechangamka.
 
Kwa hiyo hiki ulichoandika hapa kitaondoa ugaidi wa mbowe na kumuweka huru?

Mkuu dhalimu wako alishafariki! Acha kuweweseka! Tupo na mama!

Mama yuko vizuri, si unaona mwenyewe jinsi magaidi yanavyokamatwa? Kumbe dhalimu wako alikuwa analea magaidi bhana!

Makofi kwa mama!
 
  • Thanks
Reactions: G4N

Mama wa kambo si mama.
 
Chadema akili kubwa wameisha ngamua hii mbinu ya maccm
Mipango umesukwa kupandikiza magaidi ilivwapate uhalali wa kukifuta
Msajili yuko standby,

Ndo maana katibu mkuu myika kwenye press conference aliukwepa huu mtego

Tofauti na ushauri wa akina kigogo eti cdm wafa vutugu wakati mazingira hayaruhusu
Kwanza CHADEMA wanatakiwa kufanya kila linalowezekana kumdetach kigogo kwenye propaganda zao mitandaoni.

Kigogo toka afe mwendazake hana la maana tena hivyo kutafuta relevancy kaamua kuattach propaganda zake kwa CHADEMA ili aendelee kuwa relevant twitter.
 
Dress rehearsal imeshaanza kwa vijana wasio wanachama wa CHADEMA kuita press conference kuusema uongozi. Watu wa aina hiyo wanaweza kujitokeza kuanzisha fujo ili CHADEMA walaumiwe. Haijalishi kama wengi hawata waamini mradi sababu ya kukichukulia hatua CHADEMA ipatikane.

Amandla...
Intelejensia itabaini nadhani
 
Mtakapoanza maandamano ya amani nendeni na simu zenu zenye video kamera ili kuwa na ushahidi wa watakaoanzisha uvunjaji wa amani na kuwatambua hata kwa sura. Ni wazi magaidi ambao siyo wa CHADEMA watataka walianzishe ili lawana ziende CHADEMA.
Nawasilisha.
Wewe inaelekea unawajua chadema lakini huwajui viongozi wa chadema..ni watu wawili tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom