Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Mimi sijahama CHADEMA na wala sitegemei kuhama, mimi ni Mbunge mteule kwa hiyo nitawatumikia Wananchi kwa imani ambayo waliniamini, labda chama changu kitakavyoamua kama itakuwa vinginevyo basi itafahamika.
"Niliahidi kutokusaliti chama changu na kwa maana hiyo siwezi kuwasaliti wananchi...
Wanaonifuatilia humu wanajua mimi ni CCM. Lakini ni ile iliyokuwa CCM ya Mwalimu (RIP mzee wetu), siyo hii CCM ya sasa iliyojaa ulaghai mtupu.
Kutokana na CCM kukengeuka, nimejikuta (siko peke yangu, tupo wengi sana) sina namna bali kuunga mkono jitihada na harakati zote zinazofanywa na vyama...
Habari
Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba tangu alipoingia madarakani bwana John Joseph pombe magufuli kauli zake na vitendo vyake ilikuwa ni kuua upinzani hasa CHADEMA.
Tumekuja mpaka 2020 kwenye uchaguzi mkuu tukashuhudia ambayo kila mmoja wetu anajua pamoja na kauli tata kwamba wapinzani...
KWANINI CCM WAMESHINDA, NA WAPI WAPINZANI WAMEJIKWAA.
TATHIMINI INALETWA NA DON NALIMISON.
1. KWANINI CCM WAMESHINDA?
Tuangalie pande mbili Chanya na Hasi.
Tuanze na MATOKEO Chanya:
CCM ndio Chama kinachoshika Dola na hata Uchaguzi umefanyika TUME ya Uchaguzi ikiwa chini ya Dola ya CCM...
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.
By JJ MANYIKA
Najua fika kuwa mlitegemea hili anguko ila mlifanya siasa kwa mazoea kwa kudhania kuwa Tanzania ya 1995- 2015 bado ni ile ile.
Hapana kabisa Tanzania ya leo sio kama hiyo mliodhania na kufikiria, sio Tanzania ambayo inahitaji wanaharakati au wanasiasa wajanja wajanja kama mlivyokuwa...
Huu ndio ukweli ninaowaeleza msije mkajichanganya mkagomea Bunge la awamu hii.
Nu kweli uchaguzi hakua wa haki lakini hampaswi kususia Bunge.
Kwasababu hata mkisusa hamta gain chochote mnatakiwa kufahamu watanzania bado hawajaamka na asilimia kubwa elimu ni tatizo so hata mkizira wao hawana...
Honestly, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi ya CHADEMA, ningepata shida sana kuamua hatima ya mbunge Aida Khenan na madiwani wake 10 na wengine watano toka maeneo mengine ambao "inadhaniwa walishinda"..
Natumia kauli ya " inadhaniwa walishinda", kwa maana nzuri kabisa..
Magufuli na CCM pamoja...
Baada ya vituko vya tume za NEC na ZEC ,sasa wamekuja na mtego wakutaka kutushirikisha kuhalalisha wizi wao
Naomba vyama hivi viwili na wakimjumuisha rungwe (Chauma) na NLD sio mbaya wafanye yafuatayo
1.Wasikubali kushirikishwa kwenye serikali ya muafaka wa kitaifa kule Zanzibar na pia...
Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja.
Kwa sababu hiyo, tarajieni kuona wale wale waliowadhulumu haki zenu wakigeuka wema kwenu na...
Hakuna siri tena lile anguko la CHADEMA ambalo lilitabiriwa tangu Dkt. Slaa afanyiwe figisu na kuhama CHADEMA sasa limetimia.
Kiuhalisia lazima aliyesababisha anguko hili Watanzania wanatakiwa kumfahamu maana kuna watu walijitolea mali,muda na uhai wao sababu ya hiki chama.
Kuna watu wamepigwa...
Hapo mwanzo ilikuwa ukisema CHADEMA itakufa kifo cha mende walikuwa wanabisha lakini leo watu wanamaliza tanga ndugu kwa kuandaa maandamano ya kumsindikiza marehemu ambaye alianza na Mungu na kumaliza na kifo cha aibu. Ukosefu wa mikakati bora ndiyo uliokigharimu chama chetu kufutika katika...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili.
Ndugai ambaye amekuwa katika nafasi hiyo katika Bunge la 11 amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo na kuirejesha leo katika ofisi makao makuu...
Nauliza tu kwa wale wabobezi wa masuala ya Haki za Binadamu kama itakuwa ni halali kwa viongozi wa CHADEMA kuwazuia Wabunge wake wa Viti Maalumu ( Wanawake) kwenda kuapishwa na kushiriki vikao vya Bunge.
Iwapo CHADEMA itakuwa imepata 5% ya kura za jumla walizopigiwa wabunge wote basi...
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho.
Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi...
Jana usiku walikamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bukoba Mjini, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ambaye pia alikuwa meya wa Manispaa ya Bukoba, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Kashai na wanachama wengine wanne.
Hawa wamelala mahabusu polisi na kupelekwa Mahakamani kwa makosa ambayo...
Taarifa kutoka Wilayani longido mkoani Arusha ni kwamba katibu mwenezi na wanachama wake wa kutosha wamehamia CCM Tarehe 30 oktoba 2020.
My Take:
Hongera kwao kwa kujitambua.
Kutokana na kura za ubunge walizopata CHADEMA wanaweza kupata wabunge wa Viti Maalum kati ya 12 na 18.
Sasa wazo la wao kususia bunge na mabaraza ya madiwani limekuwa gumu kwa sababu kuna wanawake wanaoamini bora kutumia fursa hiyo kuliko kuiachia iende bure.
Katika kikao chao, Halima Mdee na...
Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini.
Naomba nitoe msimamo wangu, mimi Aida nimechaguliwa kwa mujibu wa sheria na ni mbunge halali wa Nkasi Kaskazini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.